Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Huyo jamaa RA ni mafia kupindukia, watanzania tusipoungana kumshughulikia huyu mtu ataifikisha nchi hii kubaya, manake amewakamata viongozi wote wa JK nasikia yeye ndo anapendekeza wateule wake
 

Ni kweli kabisa, jamaa akianguka na JK ameanguka..ndio maana kuiba ataiba na mahakamani hatutamwona.

Kwanza hata huko Bungeni kwenyewe ukimwona ujue kwamba kuna soo linalomhusu yeye anataka kwenda kulizima kwa kuwahonga wabunge...
 
Huyo jamaa RA ni mafia kupindukia, watanzania tusipoungana kumshughulikia huyu mtu ataifikisha nchi hii kubaya, manake amewakamata viongozi wote wa JK nasikia yeye ndo anapendekeza wateule wake

Uzushi tu, hamfikiri hata kidogo ndio maana mtu kama RA anaonekana super intelligent. Jee huyo Raisi alipochaguliwa ulifanyika uchaguzi haukufanyika? Na RA ndio aliwatia mkononi wa Tanzania wote waliomchaguwa? Na hao viongozi wote unaosema ''amewakamata'' na yeye ''anapendekeza'' wametoka wapi? hawakuchaguliwa na wananchi?

Huyu RA ni mfanya biashara na kikubwa kinachowasumbuwa wengi ni wivu na chuki na ''agenda za siri'' si tu kwa RA bali hata kwa JK.

Hakuna chochote, tumeona madudu mangapi yaliyofanywa na Mkapa na viongozi waliokuwa wakati wake, nani anayasema hayo? na haya madudu yote yanayoibuliwa wakati huu wa JK hamuyaoni? mlikuwa mnathubutu hata kusema wakati wa mchonga? labda wengi wenu hamkuwepo wakati huo. Wachache waliokuwepo watakuwa mashahidi wa hili.

RA ni mfanya biashara kabla ya kuwa kiongozi na alikuwa na fedha kabla hajaingia kwenye uongozi, cha kujiuliza, jee, hawa waliopata fedha baada ya kuwa viongozi, wamezitowa wapi? na kweli wameingia uongozi kwa maslahi ya wananchi? leo unamkuta mtu kama Tibaigana, polisi tu, amestaafu tu ana kijiji kizima, fedha za upolisi ndio zilizomwezesha hilo? au na yeye wazee wake walikuwa matajiri, karithi?

Hebu tuwe wakweli kama hatuwezi basi tujaribu tu, kuwa wa kweli na kuyaona mambo kama yalivyo na si kwa chuki zetu binafsi. Sidhani kama RA au mwingine yeyote atakuwa juu ya sheria kwa anayoyafanya na kama kuna kosa lolote mnaloliona na kuwa na ushahidi nalo, si mnampeleka tu mahakamani? au?
 

Mkuu hili nakataa sio kweli wameanza biashara huko
Kama ni kweli Jee hao wazazi wake mbona hawapo kwenye list ya kuisaidia Tanzania kupata uhuru.
Kama hawakutaka kusaidia mbona hawakuwemo kweny list ya wahujumu uchumi.
Sasa kama huku hwapo na kule hawapo ninakataa kabisa labda aseme lingine
 
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, DDP pekee ndiye mwenye mamlaka ya kuendesha kesi za jinai. Ushahidi wote huo na zaidi ya huo, uko mezani kwa DPP kitambo. Ni uamuzi wa DPP kuamua kuna kesi au la. Mamlaka hii ya DDP haihojiwa na mamlaka yoyote, hata rais hawezi.
Pia tuna shria ya Private Prosecution ambayo nayo lazima
DPP atoe kibali.
Hiyo hakuna cha kumfanya the king maker, tuendelee tuu kupiga kelele za mlango ambazo hazimyimi mwenyenyumba usingizi.
 
Kwa mujibu wa mtandao wa bunge

GENERAL
Salutation Honourable Member picture

First Name: Rostam
Middle Name: Abdulrasul
Last Name: Azizi
Member Type: Constituency Member
Constituent: Igunga
Political Party: CHAMA CHA MAPINDUZI
Office Location: P.O. Box 11, Igunga
Office Phone: +255 754 555555
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: raziz@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Start Date: 28 December 2005
End Date: 30 August 2010
Date of Birth 31 December 1969
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
- BA (Economics) GRADUATE
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
No items on list

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Research on Business Managing Director
Africa Trade Development Director
Africa Tanneries Ltd. Director
Tanzania Leather Industries Ltd Director
Caspian Construction Ltd Director
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
No items on list

PUBLICATIONS
Description Published Date
No items on list

SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
No items on list

RECOGNITIONS
Recognition Type Recognition Date Reason Action Taken Issued by
No items on list
 
1.there is no wisdom,no insight,no plan that can continually succeed in evil.
2. You can fool some people for sometimes, but you can not fool all people all the time.
3. Time will tell
4.historically evil doers have always ended in tragedy.
 
1.there is no wisdom,no insight,no plan that can continually succeed in evil.
2. You can fool some people for sometimes, but you can not fool all people all the time.
3. Time will tell
4.historically evil doers have always ended in tragedy.

Umeandika kichungaji, kifalsafa!

umekata tamaa hujui la kufanya,

Kutaka nature iamue ni kutotaka kuwajibika,

lazima watu wafanye kitu fulani, kuzuia haya yote, kwa hiyo jela zisingekuwepo?? for so called time will tell, na kuwa mwisho wake utakuwa mbaya??

pole sana kwa maneno ya kukata tamaa!!! hujui ufanye nini??
 
Hii thread ukiisoma unaona kabisa kuna ubaguzi wa Rangi hapa....

Rostam ni mzalendo kama mzalendo yeyote... ni miongoni mwa mtu mwenye ngozi ya namna hiyo lakini anayejichanganya... dhambi yake kama ilivyo kwa wengi ni kuwa tajiri... Watanzania wanapenda maskini mwenzao kuliko tajiri.
 


Mtu anayekuibia wewe unamchukuliaje mkuu ndo uendelee kulamba viatu vyake?
 
Unajua nillikuwa napitia hii listi ya wala rushwa Kenya na mapesa waliyoiba naona sisi bado mwendo wetu ni mdogo mno...na itatuchukua miaka labda 20 kuwafikia hawa jirani zetu

hebu tazama hii hapa chini:

KTM report - Wikileaks

Kila nisomapo mambo ya hawa jamaa huwa namshukuru sana Mwalimu kwa urithi aliotuachia japo alikuwa mdini lakini kwa hili nampa 100

duh!

Huyu BIWOT ana ranchi ya hecta 100 AUSTRALIA! inamaan rift valley yote waliwauzia ma setla wa kiingereza au?
The looting of Kenya under President Moi - Wikileaks
 
Well, Lowassa and family are not too far behind.


Thanks Jasusi;

Nasikitika kusema kwamba naona utumbo mtupu toka kwa mtoa hoja!!! na kama vile anasema achana na rostam kaua wanane tu lakini kuna moi na wenzake wameua hamsini........ upuzi mtupu!!! kuuua ni kuua na ufisadi ni ufisadi

hakuna dhambi kubwa na yenye nafuuu


HIZI DSA NA OTHER BENEFITS ZITATUUA JAMANI, MH

CHINESE.....
 
Nyerere hakuwa mdini.Na Rostam hatumuachi kwa upambavu wa wengine.Ya kenya ni ya kenya na Tanzania ni tanzania hata kama tumeibiwa thumni ni nyingi. USA senator anafungwa kwa dola elfu hamsini au laki. na anaonekana ni bonge ya mwizi na hawataki kabisa kufananishwa na wengine ila na katiba yao. hivyo kama katiba inasema mwizi ni mwizi hata wa senti moja ni mwizi. Copy and Paste ndio inaiiua tanzania.
 
Umenishtua hiyo title GT , i tyhought unataka usalama wa taifa wam-kill jamaa, ili apumzike, in other words unaweza ukawa umesema jambo linaloendelea, Kuwa Mkuu anaweza kuamuru jamaa auliwe ili afunike kila baya walilofanya pamoja!
 

Kudos! Yaani tuache kushughulikia wezi wetu kwa sababu nchi nyingine nako wanaiba? Sasa tunashughulikia DECI ya nini wakati tuhela twenyewe tudogo kulinganisha na za Madoff!?

Kenya waibiane hadi wachoke! Wa kwetu wakichota hata thumuni tunao! Hawa wa kwetu mpaka pingu!
 
Hii ni KUFURU au KAFARA, people wanakwiba kama vile wana PEPO la wizi, wakati mwingine vitu vingine ni vigumu hata kuvifikiria.
Asanre kwa taarifa lete nyingine but kumbuka RA tunaye tu mpaka kieleweke.
 
Mkuu GT unakotupeleka sasa siko... yaani papa mkubwa papa, na papa mdogo kipapa!!!! Hapana, papa ni papa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…