Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The King Maker huwa hafanyi press conference za kuzungumza na media direct bali huitisha press conference na kusoma statement yake baada ya hapo ndio basi, hakuna maswali.
Ni kweli utajiri wake ni wa familia, walifika Tabora kwa biashara ya watumwa. Iliposimamishwa walianza biashara ya meno ya tembo mpaka kesho. Hivyo jamaa ni jangili, mzingo hupakiwa kwenye ndege toka Tabora mpaka Nairobi. Pale hutumia passport yake nyingine kwenda aendako na hurudia Nairobi na kuja na ndege yake tabora.
Hata Bungeni ni yeye na Nimrodi Mkono ndio wanaotumia ndege zao kwenda bungeni wanapojisikia.
Akiwa Bungeni, haulizi swali lolote wala hachangii majadiliano yoyote.
Kitu kizuri kuhusu huyu jamaa, wananchi wa jimbo lake wakiwa na shida yoyote, huimaliza mwenyewe.
Ndiye aliyetoa fungu la kampeni ya JK ziwe za Kagoda au la, haijalishi, pesa katoa yeye na JK kaingia Ikulu. RA akianguka, mzee atakuwa hana pa kuegemea.
Huyo jamaa RA ni mafia kupindukia, watanzania tusipoungana kumshughulikia huyu mtu ataifikisha nchi hii kubaya, manake amewakamata viongozi wote wa JK nasikia yeye ndo anapendekeza wateule wake
Ndiyo,
Aliongea siku moja kuhusu suala la kutoa misaada katika kanisa la Kinondoni na ndo siku hiyo alimuumbua Mtikila kuwa alimpatia posho. Kubwa ninalokumbuka katia ya yale aliyoyasema ni kuwa yeye ni msafi sana na kwamba pesa zake amezipata kutoka kwenye biashara halali ya familia yake tangu miaka ya 1800 (sijui kama hiyo inahusisha na biashara ya utumwa)!!!
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, DDP pekee ndiye mwenye mamlaka ya kuendesha kesi za jinai. Ushahidi wote huo na zaidi ya huo, uko mezani kwa DPP kitambo. Ni uamuzi wa DPP kuamua kuna kesi au la. Mamlaka hii ya DDP haihojiwa na mamlaka yoyote, hata rais hawezi.mimi binafsi nafkiri hizi data za RA wanazo post wana JF zikusanywe zote na kufanyiwa kazi, naamini ziko mbazo ni kweli na ziko ambazo ni uzushi. kuanzia hapo tunaweza kuyatumia makosa ambayo ameyafanya na sisi tuna ushahidi nayo ili kujenga hoja ya kumuangusha au hata kumshitaki. naamini wapo watu madhubuti kabisa wanachohitaji ni ushahidi na siyo bla bla.
1.there is no wisdom,no insight,no plan that can continually succeed in evil.
2. You can fool some people for sometimes, but you can not fool all people all the time.
3. Time will tell
4.historically evil doers have always ended in tragedy.
Hii thread ukiisoma unaona kabisa kuna ubaguzi wa Rangi hapa....
Rostam ni mzalendo kama mzalendo yeyote... ni miongoni mwa mtu mwenye ngozi ya namna hiyo lakini anayejichanganya... dhambi yake kama ilivyo kwa wengi ni kuwa tajiri... Watanzania wanapenda maskini mwenzao kuliko tajiri.
intro ni:
![]()
![]()
Gideon Moi, son of ex-President Daniel arap Moi and a current (2007) member of the Kenyan parliament.[13]
![]()
Philip Moi, son of ex-President Daniel arap Moi.
It is understood that Philip has an estimated wealth of approximately $ 770 million and controls more hidden cash than Gideon, even though significant attention has been directed at the latter. (page 55).
Business links
Gateway Properties IncÄî1992 documentary evidence (page 55)
Paradise Holdings (page 55)
Sheraton Holdings (page 55)
Hahuru Investors (page 55)
General Commodity Dealers (page 55)
Kiharu Investors (page 55)
Concord HoldingsÄîConnected to Goldenberg (page 55)
Panafcon Engineering (page 55)
Tiger Farm Limited (page 55)
Ecta Kenya Limited (page 55)
Finance
He operates accounts in LondonÄôs Branch of HSBC and Standard Chartered Plc.
Barclays Bank (page 57)
The details of the account Philip Moi holds at Barclays bank are as follows:
Name of Bank: Barclays Bank Plc.
Address: Barclays Business Centre Hampstead High Street Branch, 28 Hampstead,London NW3 1 QB
Sort Code: 203616
Account Number: 90391158
As this information dates back ten years ago, it is possibly connected to Goldenberg
Credit Suisse Zurich, Switzerland. (page 57)
Rosanna Moi indicated that in October 2002, Philip Moi lost US Dollrs 15 million to an Italian family on a deal that failed to deliver. This money was paid to his family through PhilipÄôs Sandhurst Matrix Inc account held at Credit Suisse, Zurich
Sultanate of Brunei (page 57)
Philip is a close friend of Prince Hamid of Brunei. MoiÄôs family has invested heavily through Prince Hamid.The precise details of PhilipÄôs investments through these investments are not known. PhilipÄôs wife was planning to spend a vacation of Christmas 2003 in Brunei with their children.
Business Associates
Zara/Rosanna Moi (page 57)
Dr. Clemente (page 58)
Akasha Family (page 59)
Muzahim (page 59)
ripoti nzima ya Kroll hii hapa:
KTM report - Wikileaks
na hii ndio website yao ya rushwa:
Mars Group Kenya - Watching Out For You
Well, Lowassa and family are not too far behind.
Nyerere hakuwa mdini.Na Rostam hatumuachi kwa upambavu wa wengine.Ya kenya ni ya kenya na Tanzania ni tanzania hata kama tumeibiwa thumni ni nyingi. USA senator anafungwa kwa dola elfu hamsini au laki. na anaonekana ni bonge ya mwizi na hawataki kabisa kufananishwa na wengine ila na katiba yao. hivyo kama katiba inasema mwizi ni mwizi hata wa senti moja ni mwizi. Copy and Paste ndio inaiiua tanzania.