Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Mpita Njia, nakuaminia kabisa! hivi wale anaozungumza nao huwa anazungumzaga Kiswahili? Najua anafahamu kwani niliwahi kuzungumza naye akiwa Dodoma, au hajiamini kuzungumza Kiswahili?
Kama uliwahi kuzungumza nae, hilo swali unamuuliza nani na kwa maana gani?
 
Kama uliwahi kuzungumza nae, hilo swali unamuuliza nani na kwa maana gani?

Niliwahi kuzungumza naye lakini hakuzungumza muda mrefu na kuswitch kwa kiingereza... ndio maana nimeuliza hivyo. At the time I din't think about it...
 
Katika uzoefu wangu Bungeni, sijawahi kumuona Rostam akiwa amesimama kwa nia ya kutaka kuuliza hata swali la nyongeza. Sijawahi kumsikia akizungumza lolote Bungeni

Huyu mkulu huzungumza sana kwenye vikao vya mtandao, ambavyo hufanyika usiku baada ya vikao vya bunge, mara nyingi hudai kwamba ana powers za kum-do and un-do anybody,

halafu the dataz ni kwamba ni sasa tu ndio imeadilika baada ya noma ya Lowassa, ilifikia wakati kwa all the local political leaders, kuwa huwezi kumuona muungwana, mpaka upitie kwa huyu mkulu, namjua kiongozi aliyeapa "...kufa kuliko kupitia kwa mhindi..." kama alivyosema mwenyewe, hili ni tatizo la Mkapa, I hope siku moja atasimama kwenye mkono wa sheria kujibu yote haya,

Na pia aieleze mahakama, ni kwa nini palipojengwa ubalozi wa USA, kule Drive-In, kile kituo cha mafuta hakikuguswa, amri hiyo ilitolewa na nani na kwa nini?
 
Tena siku hiyo siku Rostama atakapo penyeza rupia Chadema akina mwafrika wa kike watapewa amri na wakubwa zao wa chadema kuambia stop kumshambuliwa mfadhili wetu!mara mnashangaa mwafrika wa kike anapo anza kunmsifi RA!Uzalendo hakuna tunajifanya wazalendo uzalendo haupo JF!Nendeni vijijini mkaonyeshe Uzalendo wenu!mpo maofisini mwenu mmeajariwa nje ya nchi mkiwa mme break kwa chai mnaingia JF for time past!Hey stop tha!!Mrudi nchini mjumuike kupambana na mafisadi!
Kila mara kuanza kusifiana kwa idadi ya ku post hapa JF!Hapa JF kinacho angaliwa idadi ya posts au Hoja???
Haya wote mlioko je ya nchi rudini tupambane na mafisadi!
 
Tena siku hiyo siku Rostama atakapo penyeza rupia Chadema akina mwafrika wa kike watapewa amri na wakubwa zao wa chadema kuambia stop kumshambuliwa mfadhili wetu!mara mnashangaa mwafrika wa kike anapo anza kunmsifi RA!Uzalendo hakuna tunajifanya wazalendo uzalendo haupo JF!Nendeni vijijini mkaonyeshe Uzalendo wenu!mpo maofisini mwenu mmeajariwa nje ya nchi mkiwa mme break kwa chai mnaingia JF for time past!Hey stop tha!!Mrudi nchini mjumuike kupambana na mafisadi! Kila mara kuanza kusifiana kwa idadi ya ku post hapa JF!Hapa JF kinacho angaliwa idadi ya posts au Hoja???
Haya wote mlioko je ya nchi rudini tupambane na mafisadi!

sir leem, salim sir leem, salim sir leem, salim sir leem, salim
sir leem, salim are you OK upstairs? inaelekea wewe ni mgumu kuelewa na mwepesi kusahau ...pole
 
Du hii tena mpya,mkuu mnyoofu unaweza kuanika details ziada???????

Nadhani jamaa anajua sana kwamba dili kama hizi huwa zinabuma sana na ndio maana anaamua kuwatuma watu wamfanyie kazi kama hizi ambazo anajua kuna siku zitabuma na kumuweka uchi.
Myoofu hebu muanike zaidi.
 
Tena siku hiyo siku Rostama atakapo penyeza rupia Chadema akina mwafrika wa kike watapewa amri na wakubwa zao wa chadema kuambia stop kumshambuliwa mfadhili wetu!mara mnashangaa mwafrika wa kike anapo anza kunmsifi RA!Uzalendo hakuna tunajifanya wazalendo uzalendo haupo JF!Nendeni vijijini mkaonyeshe Uzalendo wenu!mpo maofisini mwenu mmeajariwa nje ya nchi mkiwa mme break kwa chai mnaingia JF for time past!Hey stop tha!!Mrudi nchini mjumuike kupambana na mafisadi!
Kila mara kuanza kusifiana kwa idadi ya ku post hapa JF!Hapa JF kinacho angaliwa idadi ya posts au Hoja???
Haya wote mlioko je ya nchi rudini tupambane na mafisadi!
Kaka wape ukweli japo unawauma sana lakini ata wao wanatamani wafadhili.
 
Kwa Mtandao alionao Rostam, sintoshangaa akapitishwa na CCM 2015 kuwa mgombea wa urahisi wa Tanzania, pesa anayo atajiuza kwa wapiga kura kirahisi na anakubalika sana na Mafisadi...kazi ipo
 
Mfanyabiasha yeyote mhuni anaye weza kusajili kampuni mbili kwa majina tofauti.na yeye akiwa mmiliki wa yote hawezi kushidwa kuwatumia wengine kwa biashara zake za kihuni.

That is Rostam aziz...alikuwa ni kiongozi katika kampeni za kummaliza Magufuri...aliweka nadhili kwamba atalipia kwa miezi sita kama gazeti la Rai halitauza kwa kumwandika magufuri vibaya.

For Six month lilikuwa likimmaliza mzee wa kitoweo...wakati wote wako kwenye race moja 2005 kabla ya mzee wa nchi hajapata donge nono...alikuwa ni tishio kubwa sana kwa baraza lote la mawaziri..hasa wakati wa mzee wa uwazi na ukweli akisimama na kumsifia kila mara enzi za ujenzi.

Kijana pesa zake na biashara zake za kihuni zinazopata zinamuwasha.
 
Kwa Mtandao alionao Rostam, sintoshangaa akapitishwa na CCM 2015 kuwa mgombea wa urahisi wa Tanzania, pesa anayo atajiuza kwa wapiga kura kirahisi na anakubalika sana na Mafisadi...kazi ipo

hili mbona ndilo linaelekea kufanyika sasa hivi. Pesa ambayo this guy ameliibia taifa, ukiunganisha Kagoda, Richmonduli, EPA nk utagundua kuwa jamaa anaweza kuwapatia membaz wa NEC ya ccm kila mtu milioni 10 na wala asitie hata dent kwenye utajiri wake.
 
Ni wakati wa kumkumbuka marehemu Marijani Rajab na wimbo wake wa Pesa ni sabuni ya roho......
 
Kaka wape ukweli japo unawauma sana lakini ata wao wanatamani wafadhili.

Mkuu,

Yaani siamnini macho yangu.Kumbe hata wewe unaweza kununuliwa!!!Wafadhili wa namna hii wanapatikana CCM tu.There u cana find people being bought and worse enough with fisadi money.

Naamini kweli wapinzani wanahitahitaji wafadhili kama vyama vya siasa ili kukijenga chama.Lakini tofauti inakuja ni wafadhili wa namna gani.Wafadhili kama RA kuwa nao unagarantee kukiua chama, kama ambavyo inatokea hivi sasa CCM. CCM ni kokoro.
 
Mwanakijiji,

mwisho wa mwezi umekaribia, je waliokuahidi kuwa watakupatia full background ya Rostam Azizi wamefanya hivyo?

I mean waseme kabisa explicitly:

1. Alikozaliwa (maana hakuna uthibitisho kuwa alizaliwa TZ)
2. ALikosoma shule ya msingi
3. Alikopata pesa za kuanzia na kuendeleza biashara
4. Mwaka aliosoma chuoni na chuo alichosoma
5. Mwaka aliopata passport ya Tanzania (au kupata uraia wa TZ)
6. Vigezo vilivyotumika kumpatia passport ya Tanzania!

na mengine mengi... bado JF inasubiri utimize ahadi yako!
 
Bi mdogo wameniambia tarehe 31, na wamenihakikishia hivyo.. lakini kwenye maelezo yao kuna * wakiangaliza kuhusu Butiama.. so sijui kuna uhusiano gani kati ya maswali hayo na kitakachotokea Butiama.

Btw, kuanzia kesho jumatano, nzi yule mwenye kupanda kuta za Ikulu, na Wizara atakuwa Butiama akipeperuka kunusa nusa... kwa hiyo inawezekana J'tano tukawa na "live" reporting toka Butiama.. kwenye both Bongoradio na KLH News..
 
There you go, give 'em boyz mafisadi hell!

Always five steps ahead! Huyo nzi wetu tunamtakia mafanikio mema kwenye kuleta kila kinachojiri huko Butiama. Nimeanza kuweka uzito kwenye habari zinazovuja kuwa Rostam Azizi atatolewa toka kwenye uongozi wa ccm hasa baada ya gaffi yake ya kutaka kumsafisha Lowasa kwa kumtumia Balile!
 
Written by Mwananchi
Tuesday, 25 March 2008
Kuhusu uhusiano wake na Kampuni ya Richmond, alisema siasa za Tanzania zinatumika vibaya. Alisema yeye anafanya biashara ya ukandarasi, amejenga miradi mingi hapa nchini, lakini huo wa Richmond asiokuwa na uhusiano nao hata kidogo ndiyo unaochukuliwa kama kashfa dhidi yake.

Kama nilivyosema mwanzo naendelea kusema kuwa sihusiki na Richmond. Na bado nasema ungekuwa mradi wangu nisingeshindwa kuujenga kwa mwaka kampuni zangu zinalipa kodi serikalini zaidi ya Sh bilioni 100. Kwa maana hiyo kodi tu ninayolipa ndani ya miezi 12 ingetosha kabisa kuutekeleza mradi wa Richmond, alisema na kisha akaongeza:

Siasa ni mchezo wa ajabu sana. Richmond ambayo sihusiki wananibambikia kwamba ni kampuni yangu, lakini mradi wanaousifia sana kwenye Ripoti ya Kamati ya Mwakyembe wa Watsila Ubungo, nimeujenga mimi mwaka huu upo next to (karibu na) Dowans, ambapo pia niliomba kazi lakini sikupata. Huo wa Watsila ambao wanausifu hawanihusishi nao.

Alimshukuru Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge iliyoteuliwa na Spika Samuel Sitta kuangalia taratibu za zabuni ya kupata kampuni ya kuzalisha umeme wa dharura ya Richmond, Harrison Mwakyembe wakati akifanya majumuisho bungeni hakumhusisha Rostam na umiliki wa Richmond.

Mwakyembe alisema bayana kuwa Richmond si yangu, lakini wapi bwana, bado watu wanaendelea tu. Huu ni mchezo wa kisiasa tu, alisisitiza Rostam.

Kuhusu wazo la Rais Jakaya Kikwete la kutenganisha biashara na siasa, Rostam alisema yeye anakubaliana na wazo hilo, kwasababu katika nchi nyingi za dunia ya tatu mifumo haijakomaa kutenganisha biashara na siasa hivyo dawa pekee ni hiyo aliyokuja nayo Mheshimiwa Kikwete.

Alisema wapo baadhi ya watu wanaoingia kwenye siasa kwa nia ya kujiongezea pato au kuboresha biashara zao, badala ya kutumikia wananchi.

Sina tatizo na mwelekeo wa rais katika hilo. Kuna dhana nyingi hapa, nyingine sahihi na nyingine si kweli. Wapo wanaoingia kwenye siasa kufanya biashara, na wengine ni wafanyabiashara lakini wanaingia kwenye siasa kwa mapenzi yao ya siasa au kutumikia wananchi au vyote viwili.

Rostam alisema wafanyabiashara wote ni wajanja, na hakuna mfanyabiashara unayeweza kumfuatilia ukamkosa. Awe Rostam, Mengi, Mbowe au Bakhresa, utakuta vitu vinavyoonekana ni kashfa katika siasa, kumbe ni ujanja wa biashara. Katika siasa vitu hivi vinatumika kuvuruga mtazamo wa watu.

Angalia suala la (Freeman) Mbowe (la kukopa NSSF na hatimaye kuingia mgogoro nao hadi kufikishana mahakamani). Kibiashara ni kitu cha kawaida. Ndiyo ujanja wa biashara, lakini unapokuwa kiongozi hasa anayetafuta urais kama Mbowe, kisiasa inakuwa ni kashfa,� alisema Rostam.

Hata hivyo, alisisitiza kuwa ni muhimu kutenganisha biashara na siasa, kwani baadhi ya wafanyabiashara si waaminifu na matatizo haya ndiyo yamelifikisha pabaya taifa la Kenya.

Matatizo ya Kenya pamoja na ukabila hili la biashara limechangia sana. Wanasiasa wengi wao Kenya, wanatafuta madaraka kuneemesha biashara zao� Rais yuko sahihi. Hili lisiposhughulikiwa linaweza kuleta madhara

Baadaye, alisema Rostam.

Alisema hashangai kwa nini yeye aandamwe kwani anajua yapo makundi matatu yanayomwandama muda wote. Aliyataja makundi hayo kuwa ni wafuasi wa vyama vya upinzani ambao yeye ni mwiba nambari moja kwao, kundi la walioumizana ndani ya CCM wakati wa mchakato wa urais na siasa za walikotoka mikoani na wengine ni kundi la wanasiasa wenye hulka ya wivu.

Rostam alikuwa akihojiwa na gazeti hili kutokana na tuhuma mbalimbali zinazoelekezwa kwake siku za karibuni.
 
ROSTAM kawa poster boy wao sasa

hao watawala kama ukitaka kujua akizi zao hazimo basi jiulize wameshindwa vipi kutumia pesa kupanua bandari ya Dar huku pesa za kupigana vita kule Comoro wanazo?

says alot about us and our priorities
 
Rostam pays 100 million USD a yr in taxes????? TRA Mpoooo??Yeah right this fool has balls..ata bakhressa with his success will never say how much he pays in taxes (coz they all dont pay the full amount)...RA anajichimbia kaburi mwenyewe...kampuni zake ni zipi ambazo zinalipa kiasi hicho cha fedha (its best you shut up..your books arent that clean)

If it wasnt for your political connections you wud be just another arab/indiaN tanzanian selling spare parts na bidhaa madukani!! Tunajua your companies are laundering money for some politicians...only a matter of time till IT all comes into the open...
 
sidhani kama jamaa alikurupuka katika kujibu alivyojibu ! anyway lets see !
 
sidhani kama jamaa alikurupuka katika kujibu alivyojibu ! anyway lets see !

Kada huyu jamaa kakurupuka kujibu. Hili ndio tatizo la wana siasa wenye zero exposure ya legal system. This can backfire and become a nightmare if things will unfolding.

Kama unaweza kusoma tone ya maandishi then unaweza kuona kwamba Rostam anaonyesha hajui ni nini anachoongea. Yeye peke yake anasema analipa $100 Million kwenye tax, jee Tanzania imekusanya how much in tax last year and what percentage does Rostam contributed on total tax margin?

There is no way in earth vikampuni vya rostam vikawa na net profit margin ya $400 million. What is he selling? Ni ngumu kuniconvice kwanya kuna biashara unknown inayoweza kuingiza all that profit annual. Sababu under the corparate tax code 25% in ndio $100M. Sasa you do the math.

Again hakuna hard question kutoka kwa waandishi wa habari, huyu jamaa unamuuliza maswali mazito moja kwa moja. What business are you owning? What is annual growth? How long? Can you prove it? Then the next thing unasikia amekata simu.

You cant fool all of us at the same time. Unausika na Dowans.
 
Back
Top Bottom