Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
NIMEKUTANA NA BWANA MTIKILA JIONI HII PALE HAIDERLY PLAZA KATIKA MGAHAWA WA KAHAWA KUONGEA NAE MACHACHE KUHUSU KAULI ZAKE HIZI KWA HAKIKA ANAONEKANA ANATUMIWA NA BAADHI YA WATU KUZUSHA MAMBO
NI VIZURI BWANA MTIKILA ATOE UDHIBITISHO WA HIVYO VYETI VYA URAIA WA ROSTAM AU AINA NYINGINE YOYOTE YA UDHIBITISHO KWAMBA KWELI YEYE SIO RAIA
WATANZANIA TUMECHOKA NA KAULI TATA AMBAZO HAZINA UKWELI NA ZINAZOKUJA WAKATI WATU WAKO BUSY KUJIPANGA NA MAMBO MENGINE TUNATAKA WANASIASA AMBAO NI WAZALENDO NA WASEMA UKWELI .
MTIKILA TUNAOMBA UTULETEE UDHIBITISHO WA KARATASI ZA URAIA WA ROSTAM AZIZ NAAMINI UTAKUWA NAZO AU UNAJUA ZILIPO
Mtikila akifanya kazi ya kuthibitisha uraia wa mtu na wizara ya mambo ya ndani au ya usalama wa raia au hao usalama wa taifa kazi yao itakuwa nini?
Uraia wa Rostam una utata mkubwa na ni mpira uko kwa Rostam kuprove uraia wake kabla hajafunguliwa mashitaka ya kufoji na kufilisi nchi kwa ulaghai!