Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 164
ndiyo maana waliizima haina maana yoyote. Mimi nifikiri imewataja wamiliki wa RDL kuwa ni Mtoto wa EL an JK. .
hiyo RDL ndico RDC?
Huku na kufikiri wakati mwingine inaweza ikawa kweli kiundani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiyo maana waliizima haina maana yoyote. Mimi nifikiri imewataja wamiliki wa RDL kuwa ni Mtoto wa EL an JK. .
kwel kabisa ule ni upuuzi mi wala sijui nini tulizani kuna kitu cha ajabu kumbe ujinga mtupu umeandikwa na washirika wake.Nadhani naweza kuungana na Spika kuwa ilikuwa ni upuuzi kuleta hoja kama hii kwenye bunge. Naona kama Spika alifanya jambo la maana!
Hivi Rostam ana matatizo ya akili,Kwanini ametutusi watanzania..Rekodi ya kusema ukweli ameitoa wapi,ameshindwa kutuambia wamiliki wa RDc ni kina nani??Je ni mkweli huyu??
naomba web yao kama unayo MEAN YA mwanahalisimwanahalisi haliko update au ndio wameshughulika na kujiandaa kwa ajili ya mahakamani?
naomba web yao kama unayo MEAN YA mwanahalisi
au kama kuna member anayo anipatie tafadhali.
GT sasa njoo utetee msimamo wako na useme maneno yako y Kubenea kuchukua pesa .Kesha sema yeye hana pesa za kumpa Rostam ila anamkaribisha wakutane Mahakani.Mimi nitachanga hata kwa wa kuuza viatu .
nashukuru sana murra wa marwa nimefnikiwa sasa .mungu akubarikihalihalisi.co.tz
Ndio mbunge wa Igunga huyo jamani
Yaani yeye ndiye alionekana anafaa kuwawakilisha wananchi wa Igunga
Kweli kazi ipo, na ndi maana Mkubwa anashindwa kuchagua viongozi bora wa kufanya kazi na anaishilia kuchukua pumba kila siku maana watu wenyewe ndio hawa jamani!!