Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Of these three things, one's finances, ones' body, and onces' soul, there are three states of corruption, namely poverty, disease and injustice! Of theses three states injustice and corruption of one's soul is the most shemful! (Socrates)
RA is soul and ijustice corrupt! I just say so bse he has caused and will go on causing a great pain and harm or both of them. Unless we have leader i mean President who can think beyond the box we can get rid of people like RA. However my great worry is that have no information! Only 4% of population knows that RA is the corner stone of what we are talking about! He has to pay what is due so as to get rid of him!

Think Big
 
Kikwete kachukua mapesa mengi sana toka kwa RA, hasa wakati wa kampeni zake za kugombea nafasi ya mgombea Urais toka CCM. Kiasi hasa alichukua watakuwa wanakijua wao wawili au at least RA maana inaelekea anaandika kila pesa anayoitoa.

Sasa Kikwete anajua akimgusa tu na kumuudhi, jamaa anaweza kumuanika hadharani. Ndiyo matatizo ya kuwa na kiongozi ambaye si msafi maana inafika wakati anashindwa kutenda hata wajibu wake kama kiongozi wa nchi kwa kuwaogopa watu waliomfikisha hapo alipo.

Kiongozi ambaye si msafi na amepata nafasi ya uongozi kimizengwemizengwe bila ya kuwa na sifa yoyote kamwe hawezi kuwa kiongozi mzuri. Na Kikwete ni ushahidi hai wa hili

Bubu,
Unataka kuniambia kuwa anaweza akafanya kama alivyomuumbua Mtikila? au!!!!
 
Tata IsayaMwita,

Hivi unaelewa ni jinsi gani hawa jamaa mafisadi wanamdhihaki Rais Kikwete?

Jiulize kwa nini Lowassa na Chenge walifanya maandamano makubwa kurudi majimboni baada ya kujiuzulu kwa tuhuma za uzembe na ufisadi! Ukipata jibu, ndipo ujue ni kwa nini Rostam ana ujuvi na kiburi cha kufanya atakalo na Rais Kikwete hana uwezo kumshikisha adabu!
 
Duh.. huu ni ndio mfano wa mfumo dume, wenye kutukuza wanaume kana kwamba ndio wenyewe wanaoweza kufanya makubwa.

Mbona hakuna mwenye ushahidi, au kende, za kumpeleka mahakamani ?

Sijui na sitaraijii kama zitafanya au hazitafanya kazi mpaka tuone atavyokuwa treated na vyombo vya sheria siku atakapojitokeza mtu mwenye ushahidi, au kende, za kumfikisha huko.

Ina maana kama kuna dada ambaye anataka kufanya hilo hastahili? au mapambano hayo ni lazima yahusishwe mtu mwenye ushahidi na mwenye kende? Ridiculous and a clear example of male chauvenistic and egoistical attitudes.
 
1. Quote:Originally Posted by Kuhani

Mbona hakuna mwenye ushahidi, au kende, za kumpeleka mahakamani ?

2. Quote:Originally Posted by Kuhani

Sijui na sitaraijii kama zitafanya au hazitafanya kazi mpaka tuone atavyokuwa treated na vyombo vya sheria siku atakapojitokeza mtu mwenye ushahidi, au kende, za kumfikisha huko.

Ina maana kama kuna dada ambaye anataka kufanya hilo hastahili? au mapambano hayo ni lazima yahusishwe mtu mwenye ushahidi na mwenye kende? Ridiculous and a clear example of male chauvenistic and egoistical attitudes.

Mkulu Wangu MMJ,

Hapo labda ule kumi, maana tano haitoshi si unajua Kiwira na Mkapa kuna business yetu, hivi hamjashitukia tu!
Na ishu kama hizi zinakaribia na huko Kiwira pia!
 
Duh.. huu ni ndio mfano wa mfumo dume, wenye kutukuza wanaume kana kwamba ndio wenyewe wanaoweza kufanya makubwa.

Ina maana kama kuna dada ambaye anataka kufanya hilo hastahili? au mapambano hayo ni lazima yahusishwe mtu mwenye ushahidi na mwenye kende? Ridiculous and a clear example of male chauvenistic and egoistical attitudes.

kumbe mzee counter criticism nawe unaiweza!
hiki ni kipepsi cha hoja, kutahadharisha kwamba, kama mtu unajikita zaidi katika kutafuta "flaws" katika statement za watu badala ya kutoa hoja,basi hata watu rafu za namna hiyo wanaziweza, ila tu wanaheshimu fair play katika game hili la ushindani wa kifikra!
 
Yes, I have made that declaration!

Mimi naona REV.KISHOKA una msimamo dhabiti na ushahidi, wewe kama mtanzania wa kweli mzalendo na umefanya-declaration, HEKO.

Sas kama declaration yako ni dhabiti NENDA KAFUNGUE KESI MAHAKAMANI KWANI kuandika hapa ni kurudia yaleyale ili tuendelee kurudia kuandika kwa maneno makali makali yaleyale wakati hamna ACTION unayoweza kufanya, hivyo inakuwa MONOTONOUS ila ni kujitafutia umaarufu kwamba tumeandika thread na kuchangia mawazo

TOO MUCH TALKINGS, REPEATITIONS, DECLARATIONS WITHOUT ACTION IS SHAMELESS and COWARDNESS, BETTER YOU KEEP QUITE AND CLOSE THIS TYPE OF REPEATITIONS.

LINI unaenda mahakamni, au utatafuta njia ya mwoga kwa kusema eti mahakama hutapata haki????/
 
Bubu,
Ni kwanini Kikwete anayaruhusu haya?

Kashapigiwa kelele nyingi mno lakini anajifanya hasikii. Ipo siku, atakuja simamishwa mbele ya vyombo vya sheria kujibu tuhuma zote hizi tunazompigia kelele sasa hivi... Urais si wa milele... Hahitaji ku-learn from Chiluba's example, time will tell!!!!
 
kutahadharisha kwamba, kama mtu unajikita zaidi katika kutafuta "flaws" katika statement za watu badala ya kutoa hoja,basi hata watu rafu za namna hiyo wanaziweza, ila tu wanaheshimu fair play katika game hili la ushindani wa kifikra!

Huwezi kutafuta Flaws kwenye statement za wengine wakati wewe mwenyewe ni flawed 100%! yaani ni impossible kufanikiwa cha muhimu ni unaishia kuwa Ze-Comedy wa forum!
 
Watu wengine wapo kutafuta makosa kwenye statement za watu basi, hakuna hoja! Sisi tunaamini huyu bwana RA ni mhimili wa shetani. Kumpeleka mahakamani sio kazi yetu, mwenye kazi hiyo yupo kama hataki shauri yake, kazi yetu ni kusema na tumeshasema. Sasa kama wewe huamini hivyo toa counter argument, otherwise nyamaza!
 
Mimi naona REV.KISHOKA una msimamo dhabiti na ushahidi, wewe kama mtanzania wa kweli mzalendo na umefanya-declaration, HEKO.

Sas kama declaration yako ni dhabiti NENDA KAFUNGUE KESI MAHAKAMANI KWANI kuandika hapa ni kurudia yaleyale ili tuendelee kurudia kuandika kwa maneno makali makali yaleyale wakati hamna ACTION unayoweza kufanya, hivyo inakuwa MONOTONOUS ila ni kujitafutia umaarufu kwamba tumeandika thread na kuchangia mawazo

TOO MUCH TALKINGS, REPEATITIONS, DECLARATIONS WITHOUT ACTION IS SHAMELESS and COWARDNESS, BETTER YOU KEEP QUITE AND CLOSE THIS TYPE OF REPEATITIONS.

LINI unaenda mahakamni, au utatafuta njia ya mwoga kwa kusema eti mahakama hutapata haki????/

Boma,

Ikiwa haki yangu na usalama wangu hauwezi kulindwa na Serikali yangu kutokana na nguvu za giza ambazo zimejiingiza katika Serikali yetu, unatarajia kuwa nikienda mahakamani haki itatokea?
 
One of the biggest challenges facing Tanzania today is the need for better governance, meaning both less corruption and better economic policies. The single biggest reason Tanzania is so poor is that it has had unusually bad leadership

napendekekeza tuteue baraza la Majaji na watu walete maelezo ya kushiriki kwa huyu jamaa katika mambo ya kuliangamiza taifa hili, na wale wanaomtetea watoe maelezo kwa nini wanamtetea.

Baada ya hapo kama kesi itakuwa imemshinda tutangaze hukumu, na mimi napendekeza kama mtaridhia kufanya kampeni nzito ya kususia biashara zake na wananchi waambiwe wasisome magazeti yake wala Vyombo vyake vya habari.
 
Duh.. huu ni ndio mfano wa mfumo dume, wenye kutukuza wanaume kana kwamba ndio wenyewe wanaoweza kufanya makubwa.

Ina maana kama kuna dada ambaye anataka kufanya hilo hastahili? au mapambano hayo ni lazima yahusishwe mtu mwenye ushahidi na mwenye kende? Ridiculous and a clear example of male chauvenistic and egoistical attitudes.

Mwanakijiji, ukiamua kuwa dogged critic hakikisha mtu kakosea kabla ya kukurupuka. Kuwa na kende inamaanisha kuwa na ujasiri. Kutumia haya maneno yaliyotokana na mfumo dume sio ridiculous, au ego. Na unafahamu vyema.

Hata vyombo vya habari vya kuheshimika wanatumia maneno hayo, kama vile leo KLH News ilivyoeleza mshangao na masikitiko yao kwa jinsi Baraza la Wawakilishi Zanzibar "wanavyomdindia Rais, wanashindana na Rais na Bara na Waziri Mkuu."

Baraza la Wawakilishi lina wanawake, ambao hawana uwezo wala kiungo cha kufanyia kilichosemwa, lakini twajua KLH News walichomaanisha katika matumizi hayo ya lugha, na sio kwamba wamekuwa ridiculous au wana ego. Na kama tutaitwa ridiculous, wenye ego na wenye mfumo dume, mimi najisikia utashi na furaha kuwekwa kundi moja na waandishi wa KLH News maana ninawaamini.
 
Kitila well said na hakuna cha kuongeza hapa, ni amina tu:-

Kitila Mkumbo Kitila Mkumbo is Thinking independently, deciding collectively!

Watu wengine wapo kutafuta makosa kwenye statement za watu basi, hakuna hoja! Sisi tunaamini huyu bwana RA ni mhimili wa shetani. Kumpeleka mahakamani sio kazi yetu, mwenye kazi hiyo yupo kama hataki shauri yake, kazi yetu ni kusema na tumeshasema. Sasa kama wewe huamini hivyo toa counter argument, otherwise nyamaza!
 
Boma,

Ikiwa haki yangu na usalama wangu hauwezi kulindwa na Serikali yangu kutokana na nguvu za giza ambazo zimejiingiza katika Serikali yetu, unatarajia kuwa nikienda mahakamani haki itatokea?
Mchungaji nimekupata hadi nywele zimesimama, maneno machache lakini mazito sana.
 
Duh.. huu ni ndio mfano wa mfumo dume, wenye kutukuza wanaume kana kwamba ndio wenyewe wanaoweza kufanya makubwa.

Ina maana kama kuna dada ambaye anataka kufanya hilo hastahili? au mapambano hayo ni lazima yahusishwe mtu mwenye ushahidi na mwenye kende? Ridiculous and a clear example of male chauvenistic and egoistical attitudes.

Mzee Mwanakijiji,

You ought to know better on the uses of figures of speech!
 
Mimi naona REV.KISHOKA una msimamo dhabiti na ushahidi, wewe kama mtanzania wa kweli mzalendo na umefanya-declaration, HEKO.

Sas kama declaration yako ni dhabiti NENDA KAFUNGUE KESI MAHAKAMANI KWANI kuandika hapa ni kurudia yaleyale ili tuendelee kurudia kuandika kwa maneno makali makali yaleyale wakati hamna ACTION unayoweza kufanya, hivyo inakuwa MONOTONOUS ila ni kujitafutia umaarufu kwamba tumeandika thread na kuchangia mawazo

TOO MUCH TALKINGS, REPEATITIONS, DECLARATIONS WITHOUT ACTION IS SHAMELESS and COWARDNESS, BETTER YOU KEEP QUITE AND CLOSE THIS TYPE OF REPEATITIONS.

LINI unaenda mahakamni, au utatafuta njia ya mwoga kwa kusema eti mahakama hutapata haki????/

boma,

Maneno ya mchungaji yanaweza kuwa ni marudio lakini kwako lakini si kwa kila mtu! So you dont have to be patronising here!

Wazo lingine, wale jamaa wa TPN wako wapi? Hii ndio nafasi yao ya kuitumia hiyo "P" au hao "professionals" zao kama vile wanasheria walioko katika Network na kuanza kufungua kesi. Ila, mahakama is not the only way to put him under pressure or make sure he faces justice.
 
Companero, hiyo link haisemi chochote kuhusu Rostam kupelekwa mahakamani. Inasema Rostam aombe bunge limuundie Truth Commission ya kumsafisha kama kweli sio fisadi. Cha kuchekesha zaidi makala yako inasema yeye Rostam ndio awashitaki viongozi wa CHADEMA! Very pitiful article. Hivi umeelewa nilichouliza ? Usiokote makala yoyote tu ya mtandaoni yenye jina la Rostam na kunipa bila kuisoma na kujua inajibu swali.

Anyway, question remains, with these massive allegations of corruption, lodged from all quarters of the political landscape, from the prominent and from the common man, why isn't there a single soul who has evidence, or balls, to take him to court ? Not a single soul !

There's no hope on the legal front, I mean is there anybody waiting for the hoax that is Rev. Mtikila ?

Why not a single person with evidence and balls to go up against Rostam ? Why, Rev. Kishoka ?
 
Back
Top Bottom