Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Yaani, we acha tu, hata inaonekana na rais kawekwa mfukoni na huyu jamaa aitwaye Rostam, makubwa
 
Ukoo wote wa Rostam Aziz utapata habari zake Igunga,Mkoa wa Tabora.Babu yake na Bibi yake wamezikwa hapo Igunga na Baba yake na mama yake wako hapo hapo Igunga.

Hana tatizo na suala la Uraia.Tatizo lake ni kuwa yeye ndiye Mwezeshaji wa CCM katika mambo ya fedha.

Na tatizo jingine ni tajiri sana na wengi wanamtuhumu kwa mambo ya ufisadi.

Anajua kuongea lugha ya Kiswahili kwa ufasaha na Kiingereza.Hajui lugha ya wairan ambayo ni lugha ya wazee wake.
 
Yaani, we acha tu, hata inaonekana na rais kawekwa mfukoni na huyu jamaa aitwaye Rostam, makubwa
Umenena kweli maana huyu jamaa inaonekana anaogopwa na kila mtu.Kagoda yeye,EPA yeye,Richmond/Dowans yeye na hata uteuzi wa viongozi mbalimbali wa nchi wa enzi ya Lowassa ni yeye.
 
Kila kukicha Jina ni Rostam aziz, mara ndiye mmiliki wa kagoda, mara ndiye Dowans mara ndiye fisadi namba moja. Hivi huyu mtu ni nani kasabisha BOT imevunjwa ikaibiwa, kampeleka waziri mkuu chini, kampeleka raisi ikulu, sasa anatumia remote control kuendesha nchi na mashirika yake. huyu mtu ni nani na kwanini watanzania tunamwacha anachezea nchi kama vile mali yake na ukoo wake????

Ikiwa hayo yote uliyotaja ni kweli, basi huyu jamaa ni super intelligent!
 
Ukoo wote wa Rostam Aziz utapata habari zake Igunga,Mkoa wa Tabora.Babu yake na Bibi yake wamezikwa hapo Igunga na Baba yake na mama yake wako hapo hapo Igunga.

Hana tatizo na suala la Uraia.Tatizo lake ni kuwa yeye ndiye Mwezeshaji wa CCM katika mambo ya fedha.

Na tatizo jingine ni tajiri sana na wengi wanamtuhumu kwa mambo ya ufisadi.

Anajua kuongea lugha ya Kiswahili kwa ufasaha na Kiingereza.Hajui lugha ya wairan ambayo ni lugha ya wazee wake.
What do you mean? hajui lugha ya Wairan ambayo ni ya wazee wake? wazee gani tena?
 
Ukoo wote wa Rostam Aziz utapata habari zake Igunga,Mkoa wa Tabora.Babu yake na Bibi yake wamezikwa hapo Igunga na Baba yake na mama yake wako hapo hapo Igunga.

Hana tatizo na suala la Uraia.Tatizo lake ni kuwa yeye ndiye Mwezeshaji wa CCM katika mambo ya fedha.

Na tatizo jingine ni tajiri sana na wengi wanamtuhumu kwa mambo ya ufisadi.

Anajua kuongea lugha ya Kiswahili kwa ufasaha na Kiingereza.Hajui lugha ya wairan ambayo ni lugha ya wazee wake.
Haya sasa kwanini aliachishwa mweka hazina CCM?Huo utajiri wa kuridhi tangu mwaka 1800 unaelezeka vizuri ni kwa vipi?Kwanini hataki Mtanzania mweusi atajirike kama yeye?
 
Tutizame hivi!

Kile alichoa asisi Nyerere na wenzake ki ukweli kabisa hakijawahi kujaribiwa kiukamilifu. Kupata Machinery ya kujaribu all the good of Tanzania you need a reincarnation of a perfect Evil. Aliye na Nguvu na uwezo kama wa JKNyerere lakini kwa kinyume chake. Ni kama unapambana na Nyerere lakini Kwa kinyume chake.

Kinyume hicho Ni KIPINGA UTU WA MTU utstawi na maendeleo yake kwenye kila nyanja ya jamii.

Kwa hiyo RA na group lake ni sawa na Nyerere na group lake wakati wa kupigania Uhuru,lilikuwa Group la Kazi ..na lilifanya kazi nzuri na Ngumu...

Hata Rostam, EL et al ... Wako pale na wameamua kupamabana na kuujaribu UHURU NA USTAWI WA UTU WA TAIFA LA TANZANIA na sio lele Mama.

Hatimaye ...vita ya Uhuru wa kweli wa taifa la Tanzania itafanyika, hili halikwepeki....Na Ushindi Utapatikana. Tena ushindi wa kishindo!!!

Ushindi, Uhuru na Ukombozi huo ..Ni ule uliojaribiwa na Ukashinda.

Utakuwa ni Uhuru Kweli. Utakuwa ni Ukombozi kweli.

Kusema RA, EL na the rest hawana role katika growth na maturity ya Tanzania ni kukosea...Wako hapo na kufanya wanachofanya ILi Tuwashinde na hakika watapigwa chini ...Wao walielewe hilo na sisi tusifikiche fikiche vidole ..Kwani Ni kweli kuna kazi Ya Kufanya... Ni njia gani ya mapambano? ...Mh not yet fully determined..

Mungu ibariki Tz.
 
Kuachishwa mweka hazina hiyo uliza CCM.Utajiri wa tangu 1800 ni ile tabia ya kuwa makini katika kutunza mali na kuiendeleza.
Anataka Mtanzania mweusi atajirike,hana ubaguzi wa rangi.wako watanzania weusi waliofanikiwa kupitia kwake.
 
Ikiwa hayo yote uliyotaja ni kweli, basi huyu jamaa ni super intelligent!
.
Hakuna ukweli wowote ktk tuhuma zidi ya RA, isokuwa ni wivu na ubaguzi tu ndivyo vinavyo wasimbua watu, FANYENI KAZI ACHENI CHUKI NA FITNA msituingize ktk mabo yenu binafsi
 
.
Hakuna ukweli wowote ktk tuhuma zidi ya RA, isokuwa ni wivu na ubaguzi tu ndivyo vinavyo wasimbua watu, FANYENI KAZI ACHENI CHUKI NA FITNA msituingize ktk mabo yenu binafsi

Mimi nakuunga mkono, tuhuma zote hata moja haina ushahidi? hee ikiwa tuhuma moja tu imemtowa waziri mkuu na mawaziri wake wawili kwa mpigo, sasa ya huyu RA mie nadhani kama ulivyosema. Ikiwa yote hayo anayoshutumiwa kuyafanya, kayafanya kweli basi hjakika huyu ni mtu mwenye akili nyingi sana.
 
wa TZ ancheni wivu na Ubaguzi, kila siku RA, RA, tatizo la RA ni rangi ya ke au pesa zake? Acheni kumsakama binadamu mwezenu kwa sababu ya mafanikio yake! ACHENI HIZO tunahitaji kusikia vitu vipya vyenye faida na Taifa sio umbea na majungu
 
Kukusahihisha tu ni kwamba, nina watu wanaotokea Igunga ambao waliniambia Rostam alishakwenda kuaga kwamba hatagombea tena Ubunge kutokana na kashfa ya Richmond. Pia katika kuzunguka jimboni kwake kuaga, alikuwa ameongozana na Ambulance ambayo kila kijiji alikuwa anawaambia kwamba amewapelekea! Lakini cha ajabu, kila baada ya mkutano kwisha Ambulance hiyo alikuwa anaondoka nayo na kwenda kuonyesha kijiji kingine!

Yaelekea alikuwa anatafuta "sympathy" toka kwa wananchi wa jimbo lake. Sijui kama aliipata au lah!

Gunia la mahindi kwa kila familia kwa "kubadilishana" pembe za ndovu ni sawa na tone la mvua ndani ya bahari! Si kizazi hiki kitachoshuhudia unyonge na umasikini wa Mtanzania ukiondoka...labda kizazi kijacho...LABDA!!!

Uongo mtupu.
 
Rostam Aziz is exagerated in here! Yes he is influencial and well connected but out of circumstance and nothing more. He is nothing but a thug businessman who hit gold when approached by EL and JK when they needed the money to run for IKULU many years ago!!, they wernt able to secure the funds needed from others, richer than Rostam! He is not worth 3billion usd (acheni uongo). Watu kama rostam wapo wengi tuu tanzania sema wengine hawataki sura zao ziwe kwenye siasa..wanatoa michango yao kwa CCM na kujificha . Kosa kubwa alilofanya Rostam ni kukubali positions CCM (Ubunge, Treasurer, NEC). Angekuwa behind the scenes tusingemsikia madudu yake na wala JF Isingemjadili. (When one enters politics , he or she is public property)
He has been in construction (caspian) for while. back in 1995-1996 caspian was just a normal construction firm that laundered money from his family blackmarket activities (ndovu za tembo, ngozi za simba, chui nakadhalika).
Rostam ndo kichwa kwenye ukoo wao aliyetoa ushauri na ku expand caspian construction into the mining sector and it paid off alipo secure several contracts for earth moving (google utaona kazi kibao za caspian wakishirikiana na barrick gold). Sijui nani alikuwa waziri wa nishati namadini wakati huu?? hint hint 🙂
To sum this up..
yes he has a lito bit of money..but he also made the biggest gamble of his life when he invested his money in JK and EL. He is not going anywhere anytime soon..too much is at stake na siasa to a large extent is slowing down many of the projects JK and EL assured him will take off in order to repay the debts!
THIS IS NOT POLITICS BUT PURE BUSINESS..HE INVESTED IN CCM (Leadership not all ofcoz) now HE IS COLLECTING DIVIDENDS.
 
Sijui nani alikuwa waziri wa nishati namadini wakati huu?? hint hint 🙂
To sum this up..

kwani ukitaka sub contract barrick lazima umuone waziri wa nishati na madini?

blackmarket activities (ndovu za tembo, ngozi za simba, chui nakadhalika).

Je kuna ushahidi kwamba familia yake ilijihusisha na biashara haramu ya pembe za ndovu?
 
Ukoo wa Aziz ni a bunch of thugs spread around tabora na dubai wanako osha hela chafu..wameamia oysterbay juzi juzi tuu baada ya mkulu kuingia nyumba nyeupe..muda mwingi walikuwa ni watu wakujificha gizani..sasa kinga ni za kutosha!!
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!
 
Pamoja na yote kuhusu huyu jamaa, ni mfanyabiashara tajiri. Kufanya biashara Tanzania be it legal or illegal, one has to be smart. RA is smart infact smarter than Mangi. Ndio chanzo cha uadua wao. Jamaa anafanya kila biashara, anakula kila deal, anasurvive avery atempts to put him down.
Ni swahiba na JK na ameisaidia sana kufikia hapo JK alipo na CCM ilipo.
Jamaa ana confidence ya ajabu lakini pia ana akili sana. Kwenye Kagoda, alisaini mkataba wa disclaimer against any legal liabilities just in case things go wrong. Na pia nawahakikishia dowans ni RA na mitambo itanunuliwa!.
 
mimi binafsi nafkiri hizi data za RA wanazo post wana JF zikusanywe zote na kufanyiwa kazi, naamini ziko mbazo ni kweli na ziko ambazo ni uzushi. kuanzia hapo tunaweza kuyatumia makosa ambayo ameyafanya na sisi tuna ushahidi nayo ili kujenga hoja ya kumuangusha au hata kumshitaki. naamini wapo watu madhubuti kabisa wanachohitaji ni ushahidi na siyo bla bla.
 
Back
Top Bottom