Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena kweli maana huyu jamaa inaonekana anaogopwa na kila mtu.Kagoda yeye,EPA yeye,Richmond/Dowans yeye na hata uteuzi wa viongozi mbalimbali wa nchi wa enzi ya Lowassa ni yeye.Yaani, we acha tu, hata inaonekana na rais kawekwa mfukoni na huyu jamaa aitwaye Rostam, makubwa
Kila kukicha Jina ni Rostam aziz, mara ndiye mmiliki wa kagoda, mara ndiye Dowans mara ndiye fisadi namba moja. Hivi huyu mtu ni nani kasabisha BOT imevunjwa ikaibiwa, kampeleka waziri mkuu chini, kampeleka raisi ikulu, sasa anatumia remote control kuendesha nchi na mashirika yake. huyu mtu ni nani na kwanini watanzania tunamwacha anachezea nchi kama vile mali yake na ukoo wake????
What do you mean? hajui lugha ya Wairan ambayo ni ya wazee wake? wazee gani tena?Ukoo wote wa Rostam Aziz utapata habari zake Igunga,Mkoa wa Tabora.Babu yake na Bibi yake wamezikwa hapo Igunga na Baba yake na mama yake wako hapo hapo Igunga.
Hana tatizo na suala la Uraia.Tatizo lake ni kuwa yeye ndiye Mwezeshaji wa CCM katika mambo ya fedha.
Na tatizo jingine ni tajiri sana na wengi wanamtuhumu kwa mambo ya ufisadi.
Anajua kuongea lugha ya Kiswahili kwa ufasaha na Kiingereza.Hajui lugha ya wairan ambayo ni lugha ya wazee wake.
Haya sasa kwanini aliachishwa mweka hazina CCM?Huo utajiri wa kuridhi tangu mwaka 1800 unaelezeka vizuri ni kwa vipi?Kwanini hataki Mtanzania mweusi atajirike kama yeye?Ukoo wote wa Rostam Aziz utapata habari zake Igunga,Mkoa wa Tabora.Babu yake na Bibi yake wamezikwa hapo Igunga na Baba yake na mama yake wako hapo hapo Igunga.
Hana tatizo na suala la Uraia.Tatizo lake ni kuwa yeye ndiye Mwezeshaji wa CCM katika mambo ya fedha.
Na tatizo jingine ni tajiri sana na wengi wanamtuhumu kwa mambo ya ufisadi.
Anajua kuongea lugha ya Kiswahili kwa ufasaha na Kiingereza.Hajui lugha ya wairan ambayo ni lugha ya wazee wake.
.Ikiwa hayo yote uliyotaja ni kweli, basi huyu jamaa ni super intelligent!
.
Hakuna ukweli wowote ktk tuhuma zidi ya RA, isokuwa ni wivu na ubaguzi tu ndivyo vinavyo wasimbua watu, FANYENI KAZI ACHENI CHUKI NA FITNA msituingize ktk mabo yenu binafsi
.
Hakuna ukweli wowote ktk tuhuma zidi ya RA, isokuwa ni wivu na ubaguzi tu ndivyo vinavyo wasimbua watu, FANYENI KAZI ACHENI CHUKI NA FITNA msituingize ktk mabo yenu binafsi
Kukusahihisha tu ni kwamba, nina watu wanaotokea Igunga ambao waliniambia Rostam alishakwenda kuaga kwamba hatagombea tena Ubunge kutokana na kashfa ya Richmond. Pia katika kuzunguka jimboni kwake kuaga, alikuwa ameongozana na Ambulance ambayo kila kijiji alikuwa anawaambia kwamba amewapelekea! Lakini cha ajabu, kila baada ya mkutano kwisha Ambulance hiyo alikuwa anaondoka nayo na kwenda kuonyesha kijiji kingine!
Yaelekea alikuwa anatafuta "sympathy" toka kwa wananchi wa jimbo lake. Sijui kama aliipata au lah!
Gunia la mahindi kwa kila familia kwa "kubadilishana" pembe za ndovu ni sawa na tone la mvua ndani ya bahari! Si kizazi hiki kitachoshuhudia unyonge na umasikini wa Mtanzania ukiondoka...labda kizazi kijacho...LABDA!!!
Ukoo wa Aziz ni a bunch of thugs spread around tabora na dubai wanako osha hela chafu..wameamia oysterbay juzi juzi tuu baada ya mkulu kuingia nyumba nyeupe..muda mwingi walikuwa ni watu wakujificha gizani..sasa kinga ni za kutosha!!Sijui nani alikuwa waziri wa nishati namadini wakati huu?? hint hint 🙂
To sum this up..
kwani ukitaka sub contract barrick lazima umuone waziri wa nishati na madini?
blackmarket activities (ndovu za tembo, ngozi za simba, chui nakadhalika).
Je kuna ushahidi kwamba familia yake ilijihusisha na biashara haramu ya pembe za ndovu?