Rostam Aziz: Wakenya lazima mbadilike, someni alama za nyakati, Kenya sio mkubwa kuliko wenzake wote

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Mfanyabiashara Rostam Azizi ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Machi 11, 2026 jijini Nairobi, Kenya wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu uwekezaji wake katika Kampuni ya Nation Media Group (NMG).

View: https://www.youtube.com/watch?v=k6BN7BQ7LQc

==============================​

Pia soma ~ Rostam Aziz anunua kampuni ya Nation Media Group ya Kenya

Mfanyabiashara na mwekezaji wa Tanzania, Rostam Aziz amesema uwekezaji wake katika Kampuni ya Nation Media Group (NMG) unalenga kupanua shughuli za kampuni hiyo na si kupunguza wafanyakazi.

Rostam ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Machi 11, 2026 jijini Nairobi, Kenya wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uwekezaji wake katika kampuni hiyo.

Akizungumzia mustakabali wa wafanyakazi wa kampuni hiyo, Rostam amesema hakuna mpango wa kupunguza ajira bali matarajio ni kuongeza nafasi zaidi za kazi kadri shughuli za kampuni zitakavyopanuka.

“Nataka kuwahakikishia wafanyakazi wa Nation Media Group kwamba dhamira yetu ni kupanua shughuli, si kupunguza. Kadri tunavyoendelea mbele kutakuwa na ajira zaidi kwa sababu tunahitaji kuhudumia mahitaji ya Wakenya wote,” amesema Rostam.

Nation Media Group ni moja ya kampuni kubwa za habari Afrika Mashariki ikiwa na shughuli katika nchi za Kenya, Tanzania, Uganda na Rwanda. Kampuni hiyo inachapisha magazeti mbalimbali yakiwemo Daily Nation, Sunday Nation, The EastAfrican, Daily Monitor ya Uganda pamoja na Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti nchini Tanzania. Pia inamiliki Televisheni ya NTV Kenya na Uganda na vituo vya redio Kenya, Uganda na Rwanda.

Chanzo: Mwananchi
==============================​

Mfuko wa Aga Khan wa Maendeleo ya Kiuchumi (AKFED) umetangaza kuwa utauza hisa zake kuu katika kampuni ya vyombo vya habari ya Nation Media Group (NMG).

Katika taarifa iliyotolewa mjini Geneva, Jumanne, March 10, 2026, AKFED ilisema imekubali kuuza hisa zake zote katika kampuni ya NPRT Holdings Africa Limited kwa kampuni ya Taarifa Ltd inayomilikiwa na mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Azizi.

Nation Media Group ni miongoni mwa makampuni makubwa na yenye ushawishi mkubwa katika sekta ya habari Afrika Mashariki ikiwa imejijenge nafasi muhimu katika utoaji wa taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari katika nchi za Kenya, Tanzania, Uganda na Rwanda.

Kupitia mtandao wake mpana wa vyombo vya habari, Nation Media Group huchapisha baadhi ya magazeti yanayosomwa zaidi Afrika Mashariki yakiwemo Daily Nation, Sunday Nation, na The EastAfrican nchini Kenya, pamoja na Daily Monitor nchini Uganda. Nchini Tanzania, kampuni hiyo inamiliki magazeti maarufu kama Mwananchi, The Citizen, na Mwanaspoti.

Mbali na magazeti, Nation Media Group pia ina uwepo mkubwa katika sekta ya utangazaji. Kampuni hiyo inamiliki vituo vya televisheni vya NTV nchini Kenya na Uganda, pamoja na mtandao wa vituo vya redio unaosikika katika Kenya, Uganda na Rwanda, hatua inayoiwezesha kufikia mamilioni ya wasomaji, watazamaji na wasikilizaji katika Afrika Mashariki.
Stori: SNS
==================================

Vyombo vya Habari vilivyo chini ya Nation Media Group

KENYA
-Daily Nation
-Sunday Nation
-The EastAfrican
-NTV Kenya

UGANDA
-Daily Monitor
-NTV Uganda

TANZANIA
-Mwananchi
-The Citizen
-Mwanaspoti

*Vituo vya redio Kenya, Uganda na Rwanda.
 
Hakuna mtu sahihi ambaye angeweza kulijibu swali hili la uchokozi zaidi ya Rostam Azizi! Tanzania na Kenya hazipaswi kuwa maadui bali partners na tunapaswa kuheshimiana

Najua, ni mshangao mkubwa Mtanzania kununua kampuni kubwa kama Nation Media Group, lakini kama alivyosema nyakati zimebadilika, tuna watu wengi hela ya kufanya mambo mazito kama hili

==============================​
Pia soma ~ Rostam Aziz anunua kampuni ya Nation Media Group ya Kenya

Mfuko wa Aga Khan wa Maendeleo ya Kiuchumi (AKFED) umetangaza kuwa utauza hisa zake kuu katika kampuni ya vyombo vya habari ya Nation Media Group (NMG).

Katika taarifa iliyotolewa mjini Geneva, Jumanne, March 10, 2026, AKFED ilisema imekubali kuuza hisa zake zote katika kampuni ya NPRT Holdings Africa Limited kwa kampuni ya Taarifa Ltd inayomilikiwa na mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Azizi.

Nation Media Group ni miongoni mwa makampuni makubwa na yenye ushawishi mkubwa katika sekta ya habari Afrika Mashariki ikiwa imejijenge nafasi muhimu katika utoaji wa taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari katika nchi za Kenya, Tanzania, Uganda na Rwanda.

Kupitia mtandao wake mpana wa vyombo vya habari, Nation Media Group huchapisha baadhi ya magazeti yanayosomwa zaidi Afrika Mashariki yakiwemo Daily Nation, Sunday Nation, na The EastAfrican nchini Kenya, pamoja na Daily Monitor nchini Uganda. Nchini Tanzania, kampuni hiyo inamiliki magazeti maarufu kama Mwananchi, The Citizen, na Mwanaspoti.

Mbali na magazeti, Nation Media Group pia ina uwepo mkubwa katika sekta ya utangazaji. Kampuni hiyo inamiliki vituo vya televisheni vya NTV nchini Kenya na Uganda, pamoja na mtandao wa vituo vya redio unaosikika katika Kenya, Uganda na Rwanda, hatua inayoiwezesha kufikia mamilioni ya wasomaji, watazamaji na wasikilizaji katika Afrika Mashariki.

Stori: SNS
Amewachokoza sasa? 🤣
 
Mfanyabiashara Rostam Azizi ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Machi 11, 2026 jijini Nairobi, Kenya wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu uwekezaji wake katika Kampuni ya Nation Media Group (NMG).

View: https://www.youtube.com/watch?v=k6BN7BQ7LQc

==============================​

Pia soma ~ Rostam Aziz anunua kampuni ya Nation Media Group ya Kenya

Mfanyabiashara na mwekezaji wa Tanzania, Rostam Aziz amesema uwekezaji wake katika Kampuni ya Nation Media Group (NMG) unalenga kupanua shughuli za kampuni hiyo na si kupunguza wafanyakazi.

Rostam ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Machi 11, 2026 jijini Nairobi, Kenya wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uwekezaji wake katika kampuni hiyo.

Akizungumzia mustakabali wa wafanyakazi wa kampuni hiyo, Rostam amesema hakuna mpango wa kupunguza ajira bali matarajio ni kuongeza nafasi zaidi za kazi kadri shughuli za kampuni zitakavyopanuka.

“Nataka kuwahakikishia wafanyakazi wa Nation Media Group kwamba dhamira yetu ni kupanua shughuli, si kupunguza. Kadri tunavyoendelea mbele kutakuwa na ajira zaidi kwa sababu tunahitaji kuhudumia mahitaji ya Wakenya wote,” amesema Rostam.

Nation Media Group ni moja ya kampuni kubwa za habari Afrika Mashariki ikiwa na shughuli katika nchi za Kenya, Tanzania, Uganda na Rwanda. Kampuni hiyo inachapisha magazeti mbalimbali yakiwemo Daily Nation, Sunday Nation, The EastAfrican, Daily Monitor ya Uganda pamoja na Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti nchini Tanzania. Pia inamiliki Televisheni ya NTV Kenya na Uganda na vituo vya redio Kenya, Uganda na Rwanda.

Chanzo: Mwananchi
==============================​

Mfuko wa Aga Khan wa Maendeleo ya Kiuchumi (AKFED) umetangaza kuwa utauza hisa zake kuu katika kampuni ya vyombo vya habari ya Nation Media Group (NMG).

Katika taarifa iliyotolewa mjini Geneva, Jumanne, March 10, 2026, AKFED ilisema imekubali kuuza hisa zake zote katika kampuni ya NPRT Holdings Africa Limited kwa kampuni ya Taarifa Ltd inayomilikiwa na mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Azizi.

Nation Media Group ni miongoni mwa makampuni makubwa na yenye ushawishi mkubwa katika sekta ya habari Afrika Mashariki ikiwa imejijenge nafasi muhimu katika utoaji wa taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari katika nchi za Kenya, Tanzania, Uganda na Rwanda.

Kupitia mtandao wake mpana wa vyombo vya habari, Nation Media Group huchapisha baadhi ya magazeti yanayosomwa zaidi Afrika Mashariki yakiwemo Daily Nation, Sunday Nation, na The EastAfrican nchini Kenya, pamoja na Daily Monitor nchini Uganda. Nchini Tanzania, kampuni hiyo inamiliki magazeti maarufu kama Mwananchi, The Citizen, na Mwanaspoti.

Mbali na magazeti, Nation Media Group pia ina uwepo mkubwa katika sekta ya utangazaji. Kampuni hiyo inamiliki vituo vya televisheni vya NTV nchini Kenya na Uganda, pamoja na mtandao wa vituo vya redio unaosikika katika Kenya, Uganda na Rwanda, hatua inayoiwezesha kufikia mamilioni ya wasomaji, watazamaji na wasikilizaji katika Afrika Mashariki.
Stori: SNS
==================================

Vyombo vya Habari vilivyo chini ya Nation Media Group

KENYA
-Daily Nation
-Sunday Nation
-The EastAfrican
-NTV Kenya

UGANDA
-Daily Monitor
-NTV Uganda

TANZANIA
-Mwananchi
-The Citizen
-Mwanaspoti

*Vituo vya redio Kenya, Uganda na Rwanda.

11 March 2026
Nairobi, Kenya

Rostam Azizi speaks for the first time after acquiring Nation Media Group​

View: https://m.youtube.com/watch?v=k6BN7BQ7LQc

Tanzanian businessman tycoon bilionaire Rostam Azizi addressing a media briefing on the acquisition of Nation Media Group (NMG) at the Serena Hotel in Nairobi

Tanzanian billionaire Rostam Azizi’s growing influence in Kenya following his acquisition of a majority stake in Nation Media Group (NMG), the businessman has spoken openly about his relationships with the country’s political leadership.

Bilionaire Azizi emphasised that his ties with Kenyan leaders are part of a broader approach to fostering regional relations.

"You touched on my closeness to His Excellency the President (Ruto). I was closer to Mzee Raila (Odinga), who was a guest of honour at my daughter's wedding in Tanzania. He flew into Dar es Salaam and came back the same night. I believe in relationships," he said.

Azizi was quick to point out that his connections are not limited to any single political figure. He highlighted longstanding ties across East Africa, noting relationships with leaders in Zambia, Uganda, and across the region
Just be assured that Ruto is not my first leader in Kenya to be friends with, or rather, someone who knows me. Leaders of the past are also friends of mine,” he said.
Azizi said that former President Uhuru Kenyatta had called him and invited him to invest in Kenya, and that all the licenses for building the Taifa Gas terminal in Mombasa had been granted during Uhuru’s presidency, not President Ruto’s.
He emphasised that relationships were about building stronger East African connections.
Azizi’s comments come amid intense curiosity over what his takeover of NMG could mean for Kenya’s media landscape.
While some observers speculate that ownership by a businessperson with close political ties could influence editorial directions.
 
Ilimshinda. Channel ten. Gazeti la mwananchi atasoma nani tena
Tunawakebehi lakini hawa jamaa wapo very smart kichwani. Wanajua wanachokifanya. Tulipuuza mambo mengi kuanzia kipindi cha utawala wa born town. Leo tunashtuka wameshakamata mifumo yote ya nchi na kuwaondoa ni ngumu,labda Mungu mwenyewe aamue vinginevyo.
 
Mfanyabiashara Rostam Azizi ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Machi 11, 2026 jijini Nairobi, Kenya wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu uwekezaji wake katika Kampuni ya Nation Media Group (NMG).

View: https://www.youtube.com/watch?v=k6BN7BQ7LQc

==============================​

Pia soma ~ Rostam Aziz anunua kampuni ya Nation Media Group ya Kenya

Mfanyabiashara na mwekezaji wa Tanzania, Rostam Aziz amesema uwekezaji wake katika Kampuni ya Nation Media Group (NMG) unalenga kupanua shughuli za kampuni hiyo na si kupunguza wafanyakazi.

Rostam ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Machi 11, 2026 jijini Nairobi, Kenya wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uwekezaji wake katika kampuni hiyo.

Akizungumzia mustakabali wa wafanyakazi wa kampuni hiyo, Rostam amesema hakuna mpango wa kupunguza ajira bali matarajio ni kuongeza nafasi zaidi za kazi kadri shughuli za kampuni zitakavyopanuka.

“Nataka kuwahakikishia wafanyakazi wa Nation Media Group kwamba dhamira yetu ni kupanua shughuli, si kupunguza. Kadri tunavyoendelea mbele kutakuwa na ajira zaidi kwa sababu tunahitaji kuhudumia mahitaji ya Wakenya wote,” amesema Rostam.

Nation Media Group ni moja ya kampuni kubwa za habari Afrika Mashariki ikiwa na shughuli katika nchi za Kenya, Tanzania, Uganda na Rwanda. Kampuni hiyo inachapisha magazeti mbalimbali yakiwemo Daily Nation, Sunday Nation, The EastAfrican, Daily Monitor ya Uganda pamoja na Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti nchini Tanzania. Pia inamiliki Televisheni ya NTV Kenya na Uganda na vituo vya redio Kenya, Uganda na Rwanda.

Chanzo: Mwananchi
==============================​

Mfuko wa Aga Khan wa Maendeleo ya Kiuchumi (AKFED) umetangaza kuwa utauza hisa zake kuu katika kampuni ya vyombo vya habari ya Nation Media Group (NMG).

Katika taarifa iliyotolewa mjini Geneva, Jumanne, March 10, 2026, AKFED ilisema imekubali kuuza hisa zake zote katika kampuni ya NPRT Holdings Africa Limited kwa kampuni ya Taarifa Ltd inayomilikiwa na mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Azizi.

Nation Media Group ni miongoni mwa makampuni makubwa na yenye ushawishi mkubwa katika sekta ya habari Afrika Mashariki ikiwa imejijenge nafasi muhimu katika utoaji wa taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari katika nchi za Kenya, Tanzania, Uganda na Rwanda.

Kupitia mtandao wake mpana wa vyombo vya habari, Nation Media Group huchapisha baadhi ya magazeti yanayosomwa zaidi Afrika Mashariki yakiwemo Daily Nation, Sunday Nation, na The EastAfrican nchini Kenya, pamoja na Daily Monitor nchini Uganda. Nchini Tanzania, kampuni hiyo inamiliki magazeti maarufu kama Mwananchi, The Citizen, na Mwanaspoti.

Mbali na magazeti, Nation Media Group pia ina uwepo mkubwa katika sekta ya utangazaji. Kampuni hiyo inamiliki vituo vya televisheni vya NTV nchini Kenya na Uganda, pamoja na mtandao wa vituo vya redio unaosikika katika Kenya, Uganda na Rwanda, hatua inayoiwezesha kufikia mamilioni ya wasomaji, watazamaji na wasikilizaji katika Afrika Mashariki.
Stori: SNS
==================================

Vyombo vya Habari vilivyo chini ya Nation Media Group

KENYA
-Daily Nation
-Sunday Nation
-The EastAfrican
-NTV Kenya

UGANDA
-Daily Monitor
-NTV Uganda

TANZANIA
-Mwananchi
-The Citizen
-Mwanaspoti

*Vituo vya redio Kenya, Uganda na Rwanda.

Kuna matukato ya watu kujitoa katika damu zilizomwqgika na unyama uliofanywa na wasiojilikana aka watekaji. Kwa Uganda walimfanyia unyama mganda, kenya vilvile hawa watu wa kimataifa wanaamua kuuza ili kutojihusishana siasa na wanamtandao wa uganda(Mu7 na Wale wa upande wa Tz akiwemo Aziz.

Kuamua kukaa mbali ni ishara ya kunawa(Nami sitakuja kununua hayo magazeti yao)
 
Back
Top Bottom