Rostam Azizi press conference yako imepuuzwa, nobody is interested in it/discussing it

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Kama una cha kujifunza utajifuna na kufanya reformation. Hakuna anayejadili ulichokiongea maana wanajua unachowafanyia watanzania na ukweli wa MUNGU unajulikana.

Linganisha na trending ya press conference za Polepole! Ina maana watu wanaona substance from his mouth!

Lakini kwa vile mnalindwa na mamlaka utapuuza! WATAKUFANYA NINI?
 
And yet, here you are........discussing it.

Halafu mbona kama Kuna kitu kizito kimekupata?!!! Rostam alikuwa anaongea na wenye akili, sio hii mijinga mijinga na milofa iliyojaa umaskini wa kutisha Hadi inaopt kuwa michawi tu na mifitini na yenye wivu. Wenye akili hawana makelele.
 
Hao unaowatukana ndio mnaiba ela zao na kugawana alafu unawaona wajinga kwamba hawana akili ya kuiba kama wewe popoma?
 
And yet, here you are........discussing it.

Halafu mbona kama Kuna kitu kizito kimekupata?!!! Rostam alikuwa anaongea na wenye akili, sio hii mijinga mijinga na milofa iliyojaa umaskini wa kutisha Hadi inaopt kuwa michawi tu na mifitini na yenye wivu. Wenye akili hawana makelele.
Mijinga na milofa ndo imekufikisha hapo Kwa kuiba mali zao wangekua wajanja na werefu usingekua tajir wala usikua kiongoz mkubwa
 
And yet, here you are........discussing it.

Halafu mbona kama Kuna kitu kizito kimekupata?!!! Rostam alikuwa anaongea na wenye akili, sio hii mijinga mijinga na milofa iliyojaa umaskini wa kutisha Hadi inaopt kuwa michawi tu na mifitini na yenye wivu. Wenye akili hawana makelele.

Lugha hii mbona kama vile unatangaza shari? Tunagombea nini wakati hoja inajibiwa kwa hoja?
 
And yet, here you are........discussing it.

Halafu mbona kama Kuna kitu kizito kimekupata?!!! Rostam alikuwa anaongea na wenye akili, sio hii mijinga mijinga na milofa iliyojaa umaskini wa kutisha Hadi inaopt kuwa michawi tu na mifitini na yenye wivu. Wenye akili hawana makelele.
Waarabu wanapaka watu mafuta au kilainishi.Take care
 
Usinge izungumzia Rostam akili zake hufiki hata robo.
 
Kama una cha kujifunza utajifuna na kufanya reformation. Hakuna anayejadili ulichokiongea maana wanajua unachowafanyia watanzania na ukweli wa MUNGU unajulikana.

Linganisha na trending ya press conference za Polepole! Ina maana watu wanaona substance from his mouth!

Lakini kwa vile mnalindwa na mamlaka utapuuza! WATAKUFANYA NINI?
Tatizo la watu wenye akili ndogo a.k.a nyumbu huwa hawependi kusikia maoni au ukweli tofauti wa kile walichoaminishwa. Hili ni tatizo kubwa sana TZ ndio maana haishsngazi mpaka leo akina kiboko ya wachawi wana wafuasi.
 
Kama una cha kujifunza utajifuna na kufanya reformation. Hakuna anayejadili ulichokiongea maana wanajua unachowafanyia watanzania na ukweli wa MUNGU unajulikana.

Linganisha na trending ya press conference za Polepole! Ina maana watu wanaona substance from his mouth!

Lakini kwa vile mnalindwa na mamlaka utapuuza! WATAKUFANYA NINI?
Duh ile unaiita press conference kweli? Hivi hizi akili ndo mtaweza pambana na CCM kweli? Duh!!!
 
Rostam, Kikwete na Abdul wanatetea maslahi yao binafsi. Tuwapuuze.
 
And yet, here you are........discussing it.

Halafu mbona kama Kuna kitu kizito kimekupata?!!! Rostam alikuwa anaongea na wenye akili, sio hii mijinga mijinga na milofa iliyojaa umaskini wa kutisha Hadi inaopt kuwa michawi tu na mifitini na yenye wivu. Wenye akili hawana makelele.
Halafu ile eti anaiita press conference!! Hahahahaha
 
Wewe siyo mwanasiasa ndio sababu una uwoga wa kuchambua hoja mbalimbali kinzani 🐼
 
Duh ile unaiita press conference kweli? Hivi hizi akili ndo mtaweza pambana na CCM kweli? Duh!!!
Siyo "press conference" lakini ni "Tailored interview " ambayo kiuandishi wa habari inakubalika.

Tunajua bila ya shaka kulikuwa na "pre&post editing" kukidhi lengo la kuhojiwa kwake. Hivi like swali la NHIF lilitokea wapi kwenye yale mahojiano?
 
Kama una cha kujifunza utajifuna na kufanya reformation. Hakuna anayejadili ulichokiongea maana wanajua unachowafanyia watanzania na ukweli wa MUNGU unajulikana.

Linganisha na trending ya press conference za Polepole! Ina maana watu wanaona substance from his mouth!

Lakini kwa vile mnalindwa na mamlaka utapuuza! WATAKUFANYA NINI?
Mambo ya aibu tupu.
 
And yet, here you are........discussing it.

Halafu mbona kama Kuna kitu kizito kimekupata?!!! Rostam alikuwa anaongea na wenye akili, sio hii mijinga mijinga na milofa iliyojaa umaskini wa kutisha Hadi inaopt kuwa michawi tu na mifitini na yenye wivu. Wenye akili hawana makelele.
Hao unaowaita wenye akili ndio wajinga na machawa wa Rostam!
Wangekuwa na akilini wasingeibiwa DTV ambayo Rostam alikuja irudisha baada ya kubanwa na Magufuli!!
Rostam alipokuwa kuweka hazina wa ccm aliwauzia hao wajinga na kuwekeza Vodacom bila wao kujua!! Hizo share za Rostam huko Vodacom ni mtaji toka ccm ; lakini Kwavile ccm imekaa wajinga Rostam anawachezea wao na serikali yao😂😂
 
Siyo "press conference" lakini ni "Tailored interview " ambayo kiuandishi wa habari inakubalika.

Tunajua bila ya shaka kulikuwa na "pre&post editing" kukidhi lengo la kuhojiwa kwake. Hivi like swali la NHIF lilitokea wapi kwenye yale mahojiano?
Aliulizwa na Tido Kama anaridhishwa na NHIF kasikilize vizuri.
 
Back
Top Bottom