Rostam Azizi press conference yako imepuuzwa, nobody is interested in it/discussing it

Kama una cha kujifunza utajifuna na kufanya reformation. Hakuna anayejadili ulichokiongea maana wanajua unachowafanyia watanzania na ukweli wa MUNGU unajulikana.

Linganisha na trending ya press conference za Polepole! Ina maana watu wanaona substance from his mouth!

Lakini kwa vile mnalindwa na mamlaka utapuuza! WATAKUFANYA NINI?
Huwezi kumpuuza tajiri mkubwa mwenye mahusiano makubwa na serikali pammoja chama tawala.
Mtu aliyewahi kuwa Mweka Hazina wa CCM,na Mbunge wa kuchaguliwa Igunga.
Mtu ambaye vitega uchumi vyake ndani na nje ni vikubwa mno.
Mtu mwenye ushawishi hata nchi kubwa za Magharibi.
Polepole ni bwana mdogo asiye na madhara,anayefuata upepo,hana msimamo ni Kichuguu ukilinganisha Malema wa South Africa.
 
Nyie ndio mlikuwa na shida ya kumsikia RA na sio yeye kwamba ana shida na nyie mafukara Ili mumsaidie nini na madaraka hamna?
 
Rostam: Nimenunua Hisa za kampuni za migodi kutoka Masoko ya Hisa ya Australia na London sijauziwa na Serikali

Nadhani hapo ndio pamemvuruga Retired
sijavurugwa popote. nilitegemea kuwa na responses nyingi kwenye social media, lkn hakuna wamepuuza!
 
Rostam: Nimenunua Hisa za kampuni za migodi kutoka Masoko ya Hisa ya Australia na London sijauziwa na Serikali

Nadhani hapo ndio pamemvuruga Retired
Unapokuwa na ubia katika uwekezaji na mmoja anataka kujitoa basi waliobaki ndio wanapewa nafasi ya kwanza ( right of first refusal) kununua hizo hisa kwanza; in the case ya hii migodi serikali ilitakiwa ndio ununue hizo hisa kwanza na fedha serikali ilikuwa nazo lakini kwa Ufisadi wao wakamuachia Rostam azinunue’
 
Aliulizwa na Tido Kama anaridhishwa na NHIF kasikilize vizuri.
Nimeisikiliza.... Lakini ukiiangalia kwa undani ndiyo hiyo nasema ni aina ya mahojiano yanayotayarishwa kabla ili kufanya "damage control" wakati watu dhaifu wanapohojiwa.

Aliulizwa lile swali ili aseme yeye ndiye aliyeianzisha NHIF Ana kusema watu wakasome Kitabu cha Benjamin Mkapa!
 
Unapokuja na ibis katika uwekezaji na mmoja anataka kujitoa basi waliobaki ndio wanapewa nafasi ya kununua hizo hisa kwanza; in the case ya hii migodi serikali ilitakiwa ndio ununue hizo hisa kwanza na fedha ulikuwepo lakini kwa Ufisadi wao wa kamuachia Rostam azinunue’
Sahihi kabisa
 
Jaribu kuondoa listening bias, kutaka kusikia yale yanayo kufurahisha.
Rostam sehemu kubwa ya interview (walau) kwenye biashara zake ameongea verifiable truth zama hizi za Google unaweza pata habari nje ya nchi.

Mfano ni kweli Mwadui kanunua shares kwenye open market na kweli alikuwa contractor wao kwa miaka 25 kupitia habari hiyo kwa hivyo hakuna ufisadi.

Kwa maana hiyo anasema ukweli pia anapodai amekuwa contractor wa migodi mingi kwa miaka 30. Kupitia tender hizo amejifunza hizo biashara na fursa zilipotokea amezichukua fairly (that is verifiable from external sources).

Ameongea mambo mengi ya msingi za sera za biashara japo ana mafanikio (I wouldn’t hire him as the government main advisor) not to say his input doesn’t add value to policy makers. It just goes to show Tanzania fursa bado zipo.

Mwisho wa siku ni fisadi if you ask me, how so? most likely biashara zake zinatumika kutakatisha pesa (japo sina huo ushahidi). That’s only logical explanation aiwezekani mfanyabiashara legit afungamane na kutetea serikali ambayo ufisadi wake upo wazi, bora akae kimya tu kuliko kujibizana na Polepole

The boring bit, the interviewer lacked even foundation knowledge on business and economics, anauliza maswali ya hovyo kweli. Mengine hata sisi tumekuwa tunaongelea humu kuhusu banking loan asset sehemu kubwa sio commercial loans hilo ni tatizo kwa maendeleo. Bila ya hivyo uwezi kukuza uchumi, sentiments ambazo kumbe hata wafanyabiashara wakubwa wana share.
 
whatever, take home msg ni hiyo!
Message gani sasa umeandika hapo? Kile ni kipindi Utv sio press conference hahahahahaha daah mna akili Za papasi nyie watu 😂😂😂😂😂
 
Kama una cha kujifunza utajifuna na kufanya reformation. Hakuna anayejadili ulichokiongea maana wanajua unachowafanyia watanzania na ukweli wa MUNGU unajulikana.

Linganisha na trending ya press conference za Polepole! Ina maana watu wanaona substance from his mouth!

Lakini kwa vile mnalindwa na mamlaka utapuuza! WATAKUFANYA NINI?
Utamtuhumu kwa lipi rostam badala ya kuituhumu serikali ya nchi yako?. Rostam sio rais wala waziri au mbunge anahusika vipi na madudu ya serikali?

Rostam ni mfanyabiashara na kanuni ya biashara ni kupata faida. Kama anapendelewa na serikali kwanini usipambane na serikali yako?

Mtu ameajiri watanzania kibao na analipa Kodi chuki dhidi yake itakusaidia nini?
 
Nasikia matajiri huwa hawashindi mitandaoni sidhani kama atauona ujumbe huu mzuri kabisa uliomwandikia.
 
Huwezi kumpuuza tajiri mkubwa mwenye mahusiano makubwa na serikali pammoja chama tawala.
Mtu aliyewahi kuwa Mweka Hazina wa CCM,na Mbunge wa kuchaguliwa Igunga.
Mtu ambaye vitega uchumi vyake ndani na nje ni vikubwa mno.
Mtu mwenye ushawishi hata nchi kubwa za Magharibi.
Polepole ni bwana mdogo asiye na madhara,anayefuata upepo,hana msimamo ni Kichuguu ukilinganisha Malema wa South Africa.
Mbona kama umepanic hivii mkuu,nini shida?

Au tatizo ni ule upuuzi wa Rostam pale unataka uheshimike? 🤣🤣

Rudini studio ,watanzania siyo mafala Bro.
 
Huwezi kumpuuza tajiri mkubwa mwenye mahusiano makubwa na serikali pammoja chama tawala.
Mtu aliyewahi kuwa Mweka Hazina wa CCM,na Mbunge wa kuchaguliwa Igunga.
Mtu ambaye vitega uchumi vyake ndani na nje ni vikubwa mno.
Mtu mwenye ushawishi hata nchi kubwa za Magharibi.
Polepole ni bwana mdogo asiye na madhara,anayefuata upepo,hana msimamo ni Kichuguu ukilinganisha Malema wa South Africa.
Ngoja tuone nani kati yao ni "Big Fish"
 
Nimeisikiliza.... Lakini ukiiangalia kwa undani ndiyo hiyo nasema ni aina ya mahojiano yanayotayarishwa kabla ili kufanya "damage control" wakati watu dhaifu wanapohojiwa.

Aliulizwa lile swali ili aseme yeye ndiye aliyeianzisha NHIF Ana kusema watu wakasome Kitabu cha Benjamin Mkapa!
Msisahau kuwa Tido Mhando alirudishwa nchini toka BBC na Edward Lowassa enzi hizo akiwa waziri mkuu! Hivyo ni sahihi kabisa kumuota kuwa alikuwa sehemu ya mtandao ; hivyo asingeweza kuuliza maswali magumu!! Kwa Mfano , ilikuwaje DTV ilirudishwa enzi ya Magufuli na kabla ya Hapo Haikujulikana kuwa ilikuwa mali ya ccm?
 
Utamtuhumu kwa lipi rostam badala ya kuituhumu serikali ya nchi yako?. Rostam sio rais wala waziri au mbunge anahusika vipi na madudu ya serikali?

Rostam ni mfanyabiashara na kanuni ya biashara ni kupata faida. Kama anapendelewa na serikali kwanini usipambane na serikali yako?

Mtu ameajiri watanzania kibao na analipa Kodi chuki dhidi yake itakusaidia nini?
Aliyekwambia anachuki na Rostam ni nani? Yeye anatajwa nyakati raia wanazungumzia mianya inayoangamiza rasilimali zao na siyo vinginevyo so kuhusu yeye kutajwa atatajwa ikiwa ataonekana kwenye njia inayopelekea kujaribu musktakabali wa Taifa letu na siyo vinginevyo na hakuna namna.

Kama amekili kuhusika kuwepo kwenye MTANDAO wa upatikanaji wa Urais unawezaje kumtenganisha na ubadhirifu unaendelea kupitia kinyago alichoshiriki kukichobga?

Mkuu acha kujipa umuhimu kwenye mambo yanayogusa maslahi mapana ya Taifa , kama wewe ni sehemu ya wanufaika tambua kuwa hii vita ni ya raia wa Taifa husika dhidi ya wote wanaolibagaza Taifa lao.
 
Siyo "press conference" lakini ni "Tailored interview " ambayo kiuandishi wa habari inakubalika.

Tunajua bila ya shaka kulikuwa na "pre&post editing" kukidhi lengo la kuhojiwa kwake. Hivi like swali la NHIF lilitokea wapi kwenye yale mahojiano?
Sio tailored interview tu bali ni embroidered interview mkuu.
 
And yet, here you are........discussing it.

Halafu mbona kama Kuna kitu kizito kimekupata?!!! Rostam alikuwa anaongea na wenye akili, sio hii mijinga mijinga na milofa iliyojaa umaskini wa kutisha Hadi inaopt kuwa michawi tu na mifitini na yenye wivu. Wenye akili hawana makelele.
Rostam ndiye anayeongoza nchi kaitia serikali mfukoni, NI FISADI PESA NA UTAJIRI anatumia kuendesha nchi!!

Tutafika,we shall overcome!! Rostam na wewe Mke wake msijisahau sana!!! 🤔🤔
 
Kama una cha kujifunza utajifuna na kufanya reformation. Hakuna anayejadili ulichokiongea maana wanajua unachowafanyia watanzania na ukweli wa MUNGU unajulikana.

Linganisha na trending ya press conference za Polepole! Ina maana watu wanaona substance from his mouth!

Lakini kwa vile mnalindwa na mamlaka utapuuza! WATAKUFANYA NINI?
Wewe ndio umeleta taarifa hii ijadiliwe. Mi sikuwa hata na habari
 
Active naomba neno press conference kwenye heading liwekee inverted comma. Aliyeniambia alisema press conference, while it was not.
 
Back
Top Bottom