Rostam 'kupewa. tuzo ya juu kwa kuchangia uchumi nani anajidanganya na kumdanganya nani?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
458
Reaction score
843
Taarifa kuwa Rostam Aziz kapewa tuzo ya juu na waziri mkuu Lameck, ni matusi kwa taifa.

Eti kapewa tuzo kwa kuchangia kukuza uchumi! Anachangiaje kwa kutuibia? Je, kuna wakubwa nyuma yake hasa bi mkubwa mwenyewe au ni kuzidiwa akili kwa watawala wetu tokana na ukosefu wa ubunifu, udhu, na welewa au nao ni sehemu ya wizi huu wa kutisha?

J,e hapa, nani anajidanganya na kumdanganya nani? Kama hizo tuzo zao zina maana basi wawape na majambazi ya kawaida tujue.
 
chuki binafsi ni kitu mbaya sana hasa ukiwa ni maskini wa fikra na mipango ya kujikwamua kiuchumi 🐒
 
Kama Magufuli alimpiga chini akakamata mpaka mdogo wake then rostam akaja ghafla akaenda kuishi Dubai huyu ghafla Magufuri akawa rafiki wa Rostam huyu Rostam sio mchezo
 
chuki binafsi ni kitu mbaya sana hasa ukiwa ni maskini wa fikra na mipango ya kujikwamua kiuchumi 🐒
Ni kweli hasa kwa machawa wasiopenda kuona au kuambwa ukweli kama wewe. Nadhani wewe ni maskini wa vyote kuliko mimi ambaye lau nina uthubutu wa kukemea uovu huu.
 
Taarifa kuwa Rostam Aziz kapewa tuzo ya juu na waziri mkuu Lameck, ni matusi kwa taifa.
Mkuu Faza, Father of All ,
Matusi kivipi?
Eti kapewa tuzo kwa kuchangia kukuza uchumi! Anachangiaje kwa kutuibia?
Kwa vile taarifa zake zilizopo kwenye open sources, ni zile za kuchangia kukuza uchumi, kama wewe unazo taarifa zake jinsi anavyo tuibia, tuwekee ili tuzijue!
Je, kuna wakubwa nyuma yake hasa bi mkubwa mwenyewe au ni kuzidiwa akili kwa watawala wetu tokana na ukosefu wa ubunifu, udhu, na welewa au nao ni sehemu ya wizi huu wa kutisha?
Tutakushukuru sana ukituwekea huo wizi wakutisha!.
J,e hapa, nani anajidanganya na kumdanganya nani? Kama hizo tuzo zao zina maana basi wawape na majambazi ya kawaida tujue.
Niliwahi kushauri humu Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho

P
 
Back
Top Bottom