Rosti viazi na samaki wa kukaanga

Rosti viazi na samaki wa kukaanga

Mahitaji
***kwa ajili ya roast***


Viazi 4 vikubwa katakata round

Nyanya 2 kubwa katakata

Kitunguu maji 1 kikubwa

Kitunguu saumu 1 tablespoon...

Tangawizi 1 tablespoon..

Bizar ya pilau 1/2 teaspoon

Mdalasini 1/2 teaspoon

Curry powder 1/2 teaspoon (sio lazima)

Nyanya ya kopo 1..

Pilipili mboga 1

Karot 1


Chumvi kiasi

Limau 1

Namna ya kutaarisha

Kaanga viazi vikiwiva weka pembeni..

Katika sufuria kaanga kitunguu maji
Kwa dakika 10

Weka pilipili mboga na karot

Kaanga vikivaribia kuwiva weka nyanya kaanga vizuri

Weka nyanya ya kopo na limau

Ikiwiva weka viazi vichanganyike na rosti...taratibu viazi visivurugike

Epua

***Samaki wa kukaanga ***

Mahitaji

Samaki wa vipande

Pilipili ya kuasha kiasi upendacho

Pilipili manga 1 teaspoon

Tangawizi 1 teaspoon

Kitunguu saumu 1 teaspoon

Chumvi kiasi
Namna ya kutaarisha

Safisha vizur samaki wako

Mueke viungo vyote...muaxhe 30 min _-1 hour ili akolee viungo

Weka pan yako mafuta

Kaanga samaki

Akiwiva weka kwenye bakuli lako la mchuzi mimina roasti ya viazi juu yake...

Tayar kwa kuliwa
Yummy yummy, we dada farkhina upo juu saana!
 
Last edited by a moderator:
desir hho njoo hapa....

Sasa basi hapo utaengezea bilungani usimenye osha tu yaani fanya bilingani jingi utapenda tu....
 
Last edited by a moderator:
Nipo dada farkhina nilikuwa napitia recipe, hapo nimeelewa badala ya viazi
 
Mahitaji
***kwa ajili ya roast***


Viazi 4 vikubwa katakata round

Nyanya 2 kubwa katakata

Kitunguu maji 1 kikubwa

Kitunguu saumu 1 tablespoon...

Tangawizi 1 tablespoon..

Bizar ya pilau 1/2 teaspoon

Mdalasini 1/2 teaspoon

Curry powder 1/2 teaspoon (sio lazima)

Nyanya ya kopo 1..

Pilipili mboga 1

Karot 1


Chumvi kiasi

Limau 1

Namna ya kutaarisha

Kaanga viazi vikiwiva weka pembeni..

Katika sufuria kaanga kitunguu maji
Kwa dakika 10

Weka pilipili mboga na karot

Kaanga vikivaribia kuwiva weka nyanya kaanga vizuri

Weka nyanya ya kopo na limau

Ikiwiva weka viazi vichanganyike na rosti...taratibu viazi visivurugike

Epua

***Samaki wa kukaanga ***

Mahitaji

Samaki wa vipande

Pilipili ya kuasha kiasi upendacho

Pilipili manga 1 teaspoon

Tangawizi 1 teaspoon

Kitunguu saumu 1 teaspoon

Chumvi kiasi
Namna ya kutaarisha

Safisha vizur samaki wako

Mueke viungo vyote...muaxhe 30 min _-1 hour ili akolee viungo

Weka pan yako mafuta

Kaanga samaki

Akiwiva weka kwenye bakuli lako la mchuzi mimina roasti ya viazi juu yake...

Tayar kwa kuliwa

Msaada tafadhari..
Pili pili mboga ndio pili pili gani hiyo.?!
 
Asante sana
Naandikaje...kazi kwangu kurejea kwenye hii note...
Leo taandaa hili pishi
Karibuni

Teh teh teh teh teh..
You take note kama vile upo "Nkuruma Hall" unapata lecture sijui ya Dr nani.?!
 
Karibu da fa na wapishi wengine. Kwa chapati na chai ya maziwa
 

Attachments

  • 1423398360337.jpg
    1423398360337.jpg
    106 KB · Views: 124
Back
Top Bottom