Rosti viazi na samaki wa kukaanga

Rosti viazi na samaki wa kukaanga

farkhina weekend hii nataka nipike hii kitu...

Kwa kuongeza ladha katika hiyo roast ya viazi kwa wale waliopo TZ unaweza ukaongeza Onga Mchuzi Mix katika rojo la roast na wale wa mamtoni basi mnaweza kutumia chengachenga za Beef au Chicken bouillon(sina uhakika km s'markets za TZ wanayo hii)...
 
Last edited by a moderator:

Shukraan ukipika ulete mrejesho bila ya kusahau kutukaribisha lol
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...kumbe eeenh!!!

Basi ataishia kuona kwenye pichaaaa tutazompigia...

Usimualike juzi kataka kuntoa roho kapika bonge la pweza ata kunigaia kijipande kimoja jinsi alivyo mchoyo lol nialike peke yangu hahahahaha lol
 
Back
Top Bottom