Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Simba msije mkajaribu tena kuiga kunya kwa tembo mtapasuka msamba, Ni ngumu kwa kikosi cha simba kukifanyia rotation kwa baadhi ya mechi vinginevyo inakuwa inatafutwa lawama tu,
Timu pekee yenye uwezo wa kufanya rotation ni yanga pekee ambayo ina kikosi bora kuanzia wanaoanza mpaka wakaa benchi na wakapata matokeo wanayotaka. Sasa simba unakuwa nao kina kapama, nyoni, okrah,banda ndio wachezaji wanaokuwa wanategemewa kufanyiwa rotation unategemea nini? Leo namungo ilikuwa waondoke na point 3 muhimu kama wangekuwa makini
Yanga njia nyeupe kuelekea kutetea ubingwa wake kwa mara nyingine endapo wataweka kibindoni point za kesho dhidi ya singida