Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Nguvu zote Simba alimalizia Kwa YangaSimba msije mkajaribu tena kuiga kunya kwa tembo mtapasuka msamba, Ni ngumu kwa kikosi cha simba kukifanyia rotation kwa baadhi ya mechi vinginevyo inakuwa inatafutwa lawama tu...
Lakini wamekufa kiume kule lindi wanastahili wakaribishwe bungeni na wapokelewe uwanja wa ndege wakirudi kutoka lindiSimba imeshachukua tayari kombe lake la CAF la robo fainali. Hivyo hana cha kupoteza hata asipopata chochote ndani ya ligi yetu, na kwa msimu mwingine tena.
Mbona ubingwa wa tarehe 16 april 2023 huutaji hapa?Simba imeshachukua tayari kombe lake la CAF la robo fainali. Hivyo hana cha kupoteza hata asipopata chochote ndani ya ligi yetu, na kwa msimu mwingine tena.
Mkuu umesahau moja linaitwa kombe la kufa kiume kwaiyo kibindoni wanayo makombe mawili jumla.Simba imeshachukua tayari kombe lake la CAF la robo fainali. Hivyo hana cha kupoteza hata asipopata chochote ndani ya ligi yetu, na kwa msimu mwingine tena.
Kama hayo unayotaka kuwaaminisha watu ni ya kweli msingeweza kuomba TFF iarishe mechi yenu ya tarehe 7 na singida big stars, mngechezesha tu kikosi B!Simba msije mkajaribu tena kuiga kunya kwa tembo mtapasuka msamba, Ni ngumu kwa kikosi cha simba kukifanyia rotation kwa baadhi ya mechi vinginevyo inakuwa inatafutwa lawama tu...
AaahaasaSimba imeshachukua tayari kombe lake la CAF la robo fainali. Hivyo hana cha kupoteza hata asipopata chochote ndani ya ligi yetu, na kwa msimu mwingine tena.
Yanga anacheza tarehe 7 na mda huo huo ana mechi tarehe 10 kuomba kuhairisha ni kwa sababu mechi zinafuatanaKama hayo unayotaka kuwaaminisha watu ni ya kweli msingeweza kuomba TFF iarishe mechi yenu ya tarehe 7 na singida big stars, mngechezesha tu kikosi B!
Eti kikosi kipana unafahamuaana ya kuwa na kikosi kipana wewe?!!!mbadala wa mayele ni nani?
Aucho, Golie, Dickson, Bangala na wengine!!
Zinafutana vipi?kwani kuna masaa mangapi hapo?Yanga anacheza tarehe 7 na mda huo huo ana mechi tarehe 10 kuomba kuhairisha ni kwa sababu mechi zinafuatana
Uko singinda mpaka jumapili jioni alafu jumatano una mechi huon kama wachezaj watakua na uchovu kwenye hio mechi ya jumatanoZinafutana vipi?kwani kuna masaa mangapi hapo?
aliskika zuwena mmoja aliyekufa kiumeSasa kikosi kimetoa Drooo mnaleta ngengaa?? Halafu na hilo goli la Namungo ni la bahati kwa upumbavu wa kipa Aly..na refa katunyima penalt ya wazi....kikosi hicho kinawafumua vzr tuu nyie na first eleven yenu π π π
Amkosagi visababu aisee,,wazee wa kufa kiume stress zitawaua na mkipigwa na azam mtakuwa mmefanya kazi bureSasa kikosi kimetoa Drooo mnaleta ngengaa?? Halafu na hilo goli la Namungo ni la bahati kwa upumbavu wa kipa Aly..na refa katunyima penalt ya wazi....kikosi hicho kinawafumua vzr tuu nyie na first eleven yenu π π π