Rothschild Ndiyo Familia Tajiri Zaidi Duniani

Hii familia inamiliki nusu ya utajiri wa dunia Hii.
Ni moja Kati ya member WA 13 council
Tunachokifahamu katika dunia hii ni kidogo Sana
 
Miaka ya zamani enzi za vita kuna governor mmoja i think wa Belgium aliwahi sema " pesa ndio dini mpya na Rothschild ndio nabii wake" akitaka vita vinatokea muda wowote anywhere.
I think kuna rais mmoja wa marekani aliwahi kusema kuwa now democracy is not government of the people for the people by the people anymore but government of the corporation for the corporation by the corporation. Google kwa usahihi wa quotes zaidi.
Sasa ukizungumza about corporation ndio kama Rothschild na Rockafeller families. Mkumbuke kuwa FED sio mali ya marekani ni corporation iliuzwa kitambo. Unaweza google. So kama FED sio ya serikali what about bank ndogo kama BOT?
Life is not like what we think. Kwa mfano hizi families zimegawana, Rockerfeller ipo sekta ya mafuta na Rothschild ipo sekta ya madini na silaha duniani kote. All oil companies are under one family with different names. Jaribu kugoogle the way founder wa Rockafeller alivyo suffer ili kuweka base.
So unajikuta kwa nchi nyingi kazi zinafanywa na wananchi kwa manufaa ya hizi families.
Dunia inaboa sometimes but ndio system washaweka so inakuwa shida kuchomoka.
There is no reward in this life, so hustle kimpango wako na ufurahie maisha but world is not fair.......................
 


Imagine hapo maana yake ni nini?
 
Asante, ila rejea sioni sijui tutakuaminije kuwa hujajitungia haya.
 
Huu uchumi wa Dunia unamilikiwa na watu wachache sana.

JD rockerfella.JP Morgan. Caniego. Vanderbilt. Scault. Rotchld. Etc

Hawa matajiri wakina mengi bahkresa. dangote. hawa sijui acacia. BP wote ni ma agent wa vidume hapo juu.
 
Asante, ila rejea sioni sijui tutakuaminije kuwa hujajitungia haya.
Mkuu mambo mengi yapo wazi sana ukitaka kujua utajua tu, ukikifanya kichwa chako kiwe kingum ni juuyako mwenyewe.
 
1.King Solomon(net worth 2trillion $).
2.Mansa munsa $400+billions
3.Rockfeller $300+billions.



In histry nakumbuka hii.(u can verfy thru internet).

Lakin asante kwa taarifa mkuu
 
Yaani umerudia chapisho la Siku za nyuma mnoooo hata sikumbuki in lini.
 
Mkuu mbona kama unatoa takwimu yenye utata.vipi hapo kwenye BOT!!
 
Nyie ndio mnachokoza auncle Magu na report zenu
 
Mkuu mbona kama unatoa takwimu yenye utata.vipi hapo kwenye BOT!!
BOT ni kama kadagaa kwenye bahari, usitishike we mwenyewe unajua jinsi wajanja walivyo piga hela kupitia hapo na bado wanapiga hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…