Rotimi amvisha pete ya Uchumba Vanessa Mdee

Hivi shemeji yetu n raia wa Africa ya magharibi? Kama n Nigeria tusiongee mengi mnakumbuka ya lady Jay Dee aka komando na yule mnigeria?
 
Hongera sana vee kwa kuvikwa Pete na shemelaa wetu Rottieee,
Eeeh Jah awafanyie wepesi ndoa yenu ifanyike kwa wakati muafaka,
Yaan Leo nna furaha isiyo na kifani, New Year kwangu imekua ya furaha, raha, utamu kunoga,
Nasikiliza hapa "Love Somebody" leo kutwa nzima.
Much [emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178] in dis Couple.
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Juma mtu wa wapi Yule jamaa? Full uswahili. Nina uhakika Jambo hili limemfurahosha Sana Mama Mchungaji maana kule kwa mwanzo siko asee
 
Hivi shemeji yetu n raia wa Africa ya magharibi? Kama n Nigeria tusiongee mengi mnakumbuka ya lady Jay Dee aka komando na yule mnigeria?
Huyu mnigeria alieishi na kusoma America. Hata kingereza chake sio kama cha kinaija ingawa anaweza kukiigiza. Maybe m Nigeria huyu kidogo ni tofauti.hongera zake Vanessa. Wameishi wote wametambuana cha kutosha
 
Wataachana tu sio😂

mbona hamna jema jmn
Jux angemvisha hilo jiwe?
Jux si muoaji, yule ni mwanamme wa Dar tu....anamsubiri muuza madawa mwenzake (Jacky) atoke jela huko China amfanyie party na kujibandika Instagram ili atrend.....si unajuwa wanaume wa Dar wala chips za mafuta ya transformer walivyo na akili za kijinga. Mtu yuko in his late 20s bado anawaza kutrend Instagram,
 
Vee Money atakuwa mke mkubwa maana yeye ndiye aliyechumbiwa first. Nigerians kuwa na mke mmoja si rahisi hapa LAZIMA huyu dogo Rotimi atampiga tukio lingine Vee Money kwa kumletea msaidizi ndani ya nyumba
 
Mkuu mbona hii ni Kama ramli chonganishi hivi?
Hapana, it's true.....Nigerians kuwa na mke mmoja si rahisi. Kwao wanaruhusiwa kuwa na wake zaidi ya mmoja uwe Mkristu au Muislam si ishu kwao. Wakati naishi Uingereza, kuna rafiki yangu Mnaija....pale Uingereza alikuwa na mke na watoto 3 na kwao Nigeria alikuwa na wake wengine 2 na watoto kadhaa. Nikamuuliza kwa nini anafanya vile, bila kusita akasema kwao Nigeria ndivyo walivyo na wake zake wote wanajuana. Akasema baba yake mzazi alikuwa na wake 7, kaka yake mkubwa ana 5. Tumsubiri Rotimi sasa.
 
Lakini nasikia Rotimi amekulia US. So nadhan atakuwa ameadopt tamaduni za kimarekani zaidi.....sijui lakini, Muda utaongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…