Rotimi amvisha pete ya Uchumba Vanessa Mdee

Rotimi amvisha pete ya Uchumba Vanessa Mdee

Ila jamani rotimi anajua kupenda. Yaan anavyo mu handle vee utadhan mtoto.muda wote maneno yake ni matamu kuliko sukari.kwakweli kuna wanaume wanajua kupenda.
 
Ila jamani rotimi anajua kupenda. Yaan anavyo mu handle vee utadhan mtoto.muda wote maneno yake ni matamu kuliko sukari.kwakweli kuna wanaume wanajua kupenda.
Umeyaonja ,,au ni vile unahisi tuu
 
Wazee wazamani walisema ukitaka kuoa nenda kaoe kwenu manake ndo watu mnaojuana ,
Ninachokumbuka n kuwa wazee wale hawakuwa wajinga ,

Oa ,kwenu ,olewa kwenu

Hizi zingine ni drama tu
 
Huyu Rotimi siku akiachana na Vee atachukiwa na wanawake wote wa Tz.
Bora amuoe fast
 
Jux si muoaji, yule ni mwanamme wa Dar tu....anamsubiri muuza madawa mwenzake (Jacky) atoke jela huko China amfanyie party na kujibandika Instagram ili atrend.....si unajuwa wanaume wa Dar wala chips za mafuta ya transformer walivyo na akili za kijinga. Mtu yuko in his late 20s bado anawaza kutrend Instagram,
Late 20s au early 30s,
 
Back
Top Bottom