CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
KUT****MBEWA NI MAFANIKIO NAYO.. MITANO TENAAAAAisee safi sana. Jamaa amuoe tu dada yetu, asimkoroge koroge baadaye amteme. Tupende mafanikio ya watanzania wenzetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KUT****MBEWA NI MAFANIKIO NAYO.. MITANO TENAAAAAisee safi sana. Jamaa amuoe tu dada yetu, asimkoroge koroge baadaye amteme. Tupende mafanikio ya watanzania wenzetu.
Tunakumbuka , ahaahahahahaHivi shemeji yetu n raia wa Africa ya magharibi? Kama n Nigeria tusiongee mengi mnakumbuka ya lady Jay Dee aka komando na yule mnigeria?
Umeyaonja ,,au ni vile unahisi tuuIla jamani rotimi anajua kupenda. Yaan anavyo mu handle vee utadhan mtoto.muda wote maneno yake ni matamu kuliko sukari.kwakweli kuna wanaume wanajua kupenda.
Jamani mbona mi sijaonaaa uwiiii afadhali my favorite couple in Tz
Hivi vee money, wema,amber lulu n.k wanaweza kuwa na bikira [emoji18]
Zakuchongwa zipo mkuuHivi vee money, wema,amber lulu n.k wanaweza kuwa na bikira [emoji18]
Mkuu hii kauli umeitoa uko swalama,piga supu mining'inio itoke.Mwanamke yeyote bila kujali nafasi yake kama hakuolewa na bikra na aliyemtoa bikra ni malaya
Wadada zako wana bikra?Hivi vee money, wema,amber lulu n.k wanaweza kuwa na bikira [emoji18]
Late 20s au early 30s,Jux si muoaji, yule ni mwanamme wa Dar tu....anamsubiri muuza madawa mwenzake (Jacky) atoke jela huko China amfanyie party na kujibandika Instagram ili atrend.....si unajuwa wanaume wa Dar wala chips za mafuta ya transformer walivyo na akili za kijinga. Mtu yuko in his late 20s bado anawaza kutrend Instagram,
WoyooooooooooooooohIla jamani rotimi anajua kupenda. Yaan anavyo mu handle vee utadhan mtoto.muda wote maneno yake ni matamu kuliko sukari.kwakweli kuna wanaume wanajua kupenda.