Rotimi amvisha pete ya Uchumba Vanessa Mdee

Mwanamke yeyote bila kujali nafasi yake kama hakuolewa na bikra na aliyemtoa bikra ni malaya
Muwe mnafikiria kauli kabla ya kuandika. Huna dada zako mama zako wadogo kwa wakubwa? Ifike wakati tuwe na busara kabla ya kuyaandika tunayoyawaza.
 
Hivi inakuaje Janadume zima kabisa unalikuta linashangiria kwa makelele kwa kua kuna mwanamke anavishwa pete?

Dah Wanaume wamebakia kidogo sana
 
Acha gubu, yule msanii afu mnyamwezi usijicompare
 
Ila jamani rotimi anajua kupenda. Yaan anavyo mu handle vee utadhan mtoto.muda wote maneno yake ni matamu kuliko sukari.kwakweli kuna wanaume wanajua kupenda.
Afu ajabu la mwanamke sasa unakuta vee pale upo mwili tu akili yote haipo [emoji3]
 
Kavishwa pete sawa tar ya ndoa ishapangwa au ndio itafahamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…