Router za TTCL

Wachape kazi tu soko lipo
 
Scars ameshea experience yake na hawa jamaa, aisee shikamoo.
 
Vijana wenzentu huko kenya angalau serikali yao inawaza mbali,serikali inajipanga kusambaza fiber optic cables km laki moja na kutakuwa na free wi-fi installation sehemu mbalimbali
 
Nani kakwambia urongo huo ndugu yangu?!

Wacha maneno ya kujipa moyo na kuwapamba sifa hao wajinga wa huko juu... Katu hatutafika huko, hao wapo kutumaliza sisi kwa misongo ya mawazo! Majinga sana hayo majitu ya huko juu
 
Huku walijishaua kuweka hizo free WiFi kwenye vituo vya mwendokasi... Kiko wapi? 😂

Hii nchi ina laana!
Sio laana tuna viongozi ambao sio proactive bado wanaishi zama za mawe, na kwasababu wana uhakika watoto wao wanasoma feza basi hawajali kuhusu watoto wengine wasiokuwa na uwezo. Kenya pamoja na kuwa na internet provider wa kila aina lakini serikali yao bado inapambana vijana wapate internet ya uhakika na bei nafuu ili wasiachwe na technology, Wanajua technology inaweza kuajiri vijana wengi sana.
 
Kwani hapa hawayajui hayo au ujeuri na ubinafsi wa kipumbavu tu
 
Wamedai kwa mita 500 ni free, ila kwangu ni mita 900, so nilipe 50k, bila shaka hiki ni kifuta jasho chao nje ya ofisi.

Vifaa vingine vyote ni free kabisa.
Mwaka jana niliwacheki Halotel nikaweka mrejesho kwenye uzi maalumu wa vifurushi
 
Reactions: Lax
Wamedai kwa mita 500 ni free, ila kwangu ni mita 900, so nilipe 50k, bila shaka hiki ni kifuta jasho chao nje ya ofisi.

Vifaa vingine vyote ni free kabisa.
Niliwacheki pia kuhusu hizo mita 500 namimi walisema hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…