Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Wachape kazi tu soko lipoAlmost Nchi nzima Halotel ana fiber, walipokuja walitandaza fiber kote, lakini wakawa wanazitumia tu na minara yao. Jumla wana km 18,000 za fiber kwa wakati huo wanaweka nafkiri hata TTCL alikua hawafikii. Naona wanaanza kuuza sasa hivi sijajua eneo gani na eneo gani wanauza.