Router za TTCL

Router za TTCL

Almost Nchi nzima Halotel ana fiber, walipokuja walitandaza fiber kote, lakini wakawa wanazitumia tu na minara yao. Jumla wana km 18,000 za fiber kwa wakati huo wanaweka nafkiri hata TTCL alikua hawafikii. Naona wanaanza kuuza sasa hivi sijajua eneo gani na eneo gani wanauza.
Wachape kazi tu soko lipo
 
Kama unaipata na uhakika wa support, fiber ni bora kuliko 5G, TTCL fiber kwa 55K unapata 20mbps ambayo ni speed nzuri,

Issue ya TTCL ni kuipata hadi kuja kukufungia kwako, ama umeshafungiwa then lipite gari la takataka likate waya huko support yao ni mbovu.
Scars ameshea experience yake na hawa jamaa, aisee shikamoo.
 
Vijana wenzentu huko kenya angalau serikali yao inawaza mbali,serikali inajipanga kusambaza fiber optic cables km laki moja na kutakuwa na free wi-fi installation sehemu mbalimbali
IMG_7336.jpeg
 
Mkuu hata sisi tutafika hapa kadri watu watakavyo adapt 5G, faida ya 5G over technology nyengine za wireless ni capacity, ndio maana unaona hata hapa Tz 5G zimezinduliwa na unlimited moja kwa moja.

Gharama za mwanzo kwa mitandao ya simu ni Fixed, ila sababu capacity ni kubwa kadri mnavyoongezeka ndio gharama zinashuka kwa mtu, India wapo wengi sana ndio maana wameweza kupunguza hizo gharama.
Nani kakwambia urongo huo ndugu yangu?!

Wacha maneno ya kujipa moyo na kuwapamba sifa hao wajinga wa huko juu... Katu hatutafika huko, hao wapo kutumaliza sisi kwa misongo ya mawazo! Majinga sana hayo majitu ya huko juu
 
Huku walijishaua kuweka hizo free WiFi kwenye vituo vya mwendokasi... Kiko wapi? 😂

Hii nchi ina laana!
Sio laana tuna viongozi ambao sio proactive bado wanaishi zama za mawe, na kwasababu wana uhakika watoto wao wanasoma feza basi hawajali kuhusu watoto wengine wasiokuwa na uwezo. Kenya pamoja na kuwa na internet provider wa kila aina lakini serikali yao bado inapambana vijana wapate internet ya uhakika na bei nafuu ili wasiachwe na technology, Wanajua technology inaweza kuajiri vijana wengi sana.
 
Kwani hapa hawayajui hayo au ujeuri na ubinafsi wa kipumbavu tu
 
Wamedai kwa mita 500 ni free, ila kwangu ni mita 900, so nilipe 50k, bila shaka hiki ni kifuta jasho chao nje ya ofisi.

Vifaa vingine vyote ni free kabisa.
Mwaka jana niliwacheki Halotel nikaweka mrejesho kwenye uzi maalumu wa vifurushi
Screenshot_20240524-170701.png
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Wamedai kwa mita 500 ni free, ila kwangu ni mita 900, so nilipe 50k, bila shaka hiki ni kifuta jasho chao nje ya ofisi.

Vifaa vingine vyote ni free kabisa.
Niliwacheki pia kuhusu hizo mita 500 namimi walisema hivyo
 
Back
Top Bottom