Royal Family wadhibitiwe, watavunja NDOA za watu!

Tembelea uzi wa chakula utaona natupiamo huko nikikatakata kachumberi na mihogo..... [emoji39][emoji39][emoji39].

Mwanamke napenda kula mie, ntauzwa gengeni hakyanani...[emoji12].
Embu ngojea tukaone aisee.
Maisha ni pamaoja na misosi.
 
Sawa tajiri
 
Lakini Wanadamu sometimes wana maisha ya sifa.
Kuna watu wanakosa chakulq, mavazi, na makazi ila kuna wengine wapo busy kujiunga na vyama visivyo na maana yoyote.
Dadeq, wanakera. Bora Tsunami ije itumalize dunia iishe kabisa
Sasa kama kuna watu wanakosa kula wenyewe inawahusu vipi?
 
Hilo limeisha shosteee, nikipatamo tuu vijisenti nakualika tule, tunywe, halafu tunacheza mziki sebleni hadi tusinzie...πŸ˜….

Nakuwaga na hekaheka kama dera la mcheza kigodoro πŸ˜„.
Tutafute hela mwaya
Last month kuna boutique niliingia kila nguo pale laki Saba.
Kama nilitoka usingizini.kumbe nchini hapa mtu kununua gauni Tu ya kawaida laki Saba inawezekana
Ngoja nitafute hela shoga yangu .nikipata nakushtua
 
Tutafute hela mwaya
Last month kuna boutique niliingia kila nguo pale laki Saba.
Kama nilitoka usingizini.kumbe nchini hapa mtu kununua gauni Tu ya kawaida laki Saba inawezekana
Ngoja nitafute hela shoga yangu .nikipata nakushtua
Shida nyingine ni ile kuifanya hela ikae, piga tu hesabu hela kiasi gani zimepita mkononi mwako na zimebaki kiasi gani kwako.
 
Wenye hela ndefu huwa hawashobokei ujinga huo wa kubadili malaya au kukugongea mke
Yaani niache kupambana zaidi badala yake nitafute wanawake?
Siku ukipata hela utayakumbuka haya maneno

Unaona shida ya umasikini. Badala ya kuwaza namna ya kuwa memba. Au pia kushusha kiingilio. Wenyewe wanawaza mbususu tu.
πŸ˜‚
 
Unajua wanaume hawajui kwamba wanaume wenye hela kama hivyo huwa sio wahongaji kivile kwanza wana viburi nadharau
Huu ndio ukweli , ukishakua na pesa kila mwanamke unamuona malaya , utataka kupita naye na kummwaga , mwanamke anahongwa na average Joe , kuna wanawake hujitoa out mahotel makubwa na migahawa mikubwa wengi huishia kuliwa Tu bila pesa au hata namba wasiombwe , kwa sababu perception ya pesa ni kua huyu manzi kafuata pesa so hisia kwenye pesa inakua kubwa kuliko hisia kwa mwanamke, maskini anakua na hisia kwa mwanamke zaidi maana Hana issue nyingine na access ya wanawake Hana , pesa inakupa access ya wanawake aina yoyote duniani
 
Nashowashauri hao Wabongo wenzetu wa Royal Family ni kuhakikisha wanawapita wahindi katika kudhibiti njia kuu za uchumi. Na ikiwezekana wawe ruthless katika hilo.

Huwa Nasikitika sana Hawa jamaa kushita biashara zote tena Kwa support yetu sisi Wabongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…