Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Embu ngojea tukaone aisee.Tembelea uzi wa chakula utaona natupiamo huko nikikatakata kachumberi na mihogo..... [emoji39][emoji39][emoji39].
Mwanamke napenda kula mie, ntauzwa gengeni hakyanani...[emoji12].
Maisha ni pamaoja na misosi.