Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Umasikini ni LaanaUnaona shida ya umasikini. Badala ya kuwaza namna ya kuwa memba. Au pia kushusha kiingilio. Wenyewe wanawaza mbususu tu.
😂
👊🏾👊🏾👊🏾Nipo pembeni yako blood mpk tuwe na kazi km hizi 👊😂
Amini👊🏾👊🏾👊🏾
Blood
🤜🏿💥🤛🏿
Kama wana akaunti rasmi ni swala la muda tu katachunguliwa na wazee wa kijicho. Yaani hao wakiamua jambo lao liwe linakuwa hakuna wa kuwazuia.Kama kiingilio ni 500m mkiwa kama 100 mnaweza kupindua nchi au hata kumroga Rais🐼
Unawajua watu wa mfalanyaki na Lizaboni kwa vibuno🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona hausemi analisha bunge na tenda za chakula kwenye baadhi ya kambi za jeshiMzee Koka hapo ana SF group ndani kuna kampuni ya laundry
Sasa kwa kuanzia tuu anaweza kuwa anafua mizigo ya Delina apartments ya Mosha etc
Yupi huyo mkuuHuyu jamaa alisumbuliwa na system muda fulani tukabaki kushangaa jamaa ana deals gani za kumpa tabu hivi
Kweli kabisa ina maana kaoa malaya hadi kila mtu mwenye hela kukuzidi unakuwa na wasiwasiUnafikiria vitu vya chini sana. Yaani ukwasi wa hao jamaa kilichokujia akilini ni kukut@£~~@ mkeo.
Wana-support biashara za wenzao Tu.Meza haina serengeti lite wala kilimanjaro, ni hill water na wine.
Tuendelee kunywa mabeer haya, au tuwaige royal family.
Si hata davis mosha ndoa imemshinda, kuishi na mke siyo hela tu kuna mambo mengi sana kufanya mwanamke akupende na akuheshimuUnajua wanaume hawajui kwamba wanaume wenye hela kama hivyo huwa sio wahongaji kivile kwanza wana viburi nadharau
Kwa hiyo mkuu uwezo wako wa kufikiri unataka kutuambia kuwa hiyo syndicate imeanza rasmi 2021??Enzi za Magufuli angeviazia hiyo akaunt akaipiga ban na kuchota hayo mabilioni na kesi za uhujumu uchumi juu
Huyu anaonekana ndiyo mawazo yake muda wote! Fikra finyu kabisa! Matajiri wapo tangu kuumbwa kwa Dunia na maskini pia wapo! Hakuna jambo jipya Duniani!Unafikiria vitu vya chini sana. Yaani ukwasi wa hao jamaa kilichokujia akilini ni kukut@£~~@ mkeo.
MoshaYupi huyo mkuu
Mmmm itakuwa humjui vizuri weweeeMosha
Mwendazake alikuwa mshamba, ndiyo maana ALIKUFA mapema akiwa madarakani.Enzi za Mwendazake haya mambo yalipotea🐼
Wabongo tunawaza shallow sana. Hili kundi ni kundi lakibishara na kijamii watu wamechanga hela zao wanafanya uwekezaji wa pamoja na pia kusaidiana kibiashara bila kuwepo urasimu wa kibenki halina tafauti na yale ya wahindi msikitini na ndio kitu waafrika tumekosa. Kuna moja la kina Anselem Minja namuona hapo pia ni member wa Royal family lilikuwa Arusha linaitwa Arusha club nafikiri mpaka sasa lipo . member anakopa 200m bila dhamana yeyote ni watu walio shibana na kuaminiana. sio kundi la wahuni.