Royal Family wadhibitiwe, watavunja NDOA za watu!

Huyu jamaa alisumbuliwa na system muda fulani tukabaki kushangaa jamaa ana deals gani za kumpa tabu hivi
 
Unafikiria vitu vya chini sana. Yaani ukwasi wa hao jamaa kilichokujia akilini ni kukut@£~~@ mkeo.
Huyu anaonekana ndiyo mawazo yake muda wote! Fikra finyu kabisa! Matajiri wapo tangu kuumbwa kwa Dunia na maskini pia wapo! Hakuna jambo jipya Duniani!
 
Wabongo tunawaza shallow sana. Hili kundi ni kundi lakibishara na kijamii watu wamechanga hela zao wanafanya uwekezaji wa pamoja na pia kusaidiana kibiashara bila kuwepo urasimu wa kibenki halina tafauti na yale ya wahindi msikitini na ndio kitu waafrika tumekosa. Kuna moja la kina Anselem Minja namuona hapo pia ni member wa Royal family lilikuwa Arusha linaitwa Arusha club nafikiri mpaka sasa lipo . member anakopa 200m bila dhamana yeyote ni watu walio shibana na kuaminiana. sio kundi la wahuni.
 
Mswahili wa kawaida anafikiri kina meku wanawaza kama makwele wakware.
 
Back
Top Bottom