Usiende mbali, hapo Myfair Plaza yuko mama Beuty Point.... kipindi niko na mshuferi akiwa amekalia kiti nilikuwa navaa nguo za huyo mama hela analeta dereva na STK....
Alikiwa akilipa roho inaniuma, gauni la mtoko milioni na laki 2, mengine hadi milioni 2, laalekiii.
Japo kama imekatika kutokana na mambo flaniflani nyeti, baada ya mshuferi kutumbuliwa ila hadi leo nguo ninazo siku nikijiskia natupiamo utasema mtu wa maana kuumbeee.....🙄🙄🙄.
Nilikuwa nachoka bleza tuu laki 3....!! Kuna watu wanajua kutengeneza pesa.
Ndo hivo wakati ukuta....
Wacha tutafute pesa ndugu yangu, maana iliandikwa ukiwa nayo utaongezewa ukiwa huna hata kiakiba ulichokuwa nacho unapokonywa....!