Royal Tour inatupa deni tusiloliweza

Royal Tour inatupa deni tusiloliweza

Huo upuuzi woote ulioandika hakuna ambacho kinamhusu mtalii moja kwa moja.

Watalii wanakuja kuangalia vivutio vya utalii na sio vivutio vya kisiasa.

Wanapotaka ku-book safari wanakwenda kwa travel agents au Tour operators wa nchi zao,na sio kwa Political analysts.

Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye wahudumu wa utalii wanaoijua kazi yao vizuri.
Ndio maana tunapata hizo tuzo za kimataifa.

Siasa inaharibu utalii hasa pale vyama au makundi ya wanaharakati wanapotumika kuleta Political unstable kwenye nchi husika.

Chuo cha kwanza cha kitaaluma na chenye kuheshimika kuhusu wanyama pori kiko Tanzania.

'Mweka College Of African Wildlife Management"

Acheni kuichafua nchi ambayo mkishashiba na mkilala ndio nyumbani kwenu.
Kwahiyo sio kweli kwamba Mbowe alifungwa kwasababu za kisiasa, kwahiyo sio kweli kwamba Lissu na Godbless Lema hawajapewa hadhi ya ukimbizi huko waliko, kwahiyo sio kweli kwamba kuna watanzania wamezuiwa kwenda marekani kwasababu za kisiasa na haki za binadamu? Bro usipotoshe, utalii na good governance are inseparable.
 
Kama wewe ni mtaalam wa habari unajuwa mengi kuhusu marketing, culture, timing, quality and clarity ni vitu muhimu kwenye kufanikisha biashara:
Mkuu kavulata, japo mimi ni mtaalamu wa habari, ila nakiri sijui mengi kuhusu marketing.
1. culture: Unapokwenda kutafuta wateja/habari sehemu fulani lazima uzingatie utamaduni wa sehemu ile. Royal tour imekwenda kuzinduliwa Marekani, jee, wamarekani wana utamaduni gani kwenye mavazi, dini, siasa, demokrasia, lugha na tabia zao?
Democracy has nothing to do with tourism. Utamaduni wa mtalii has nothing to do utalii, utamaduni wa host ndio what matters. mavazi ya mtalii doesn't matter hata akitembea uch.. Dini ya mtalii doesn't matter hata kama anaabudu shetani. Hata siasa doesn't matter, hata lugha doesn't matter much!, hata tabia matters very little.
Je, alivyovaa Mama Wamarekani vinawavutia au angevaa kama wao au kitalii?,
Alivyo vaa Mama,
(najua unamaanisha nini), doesn't matter
Je, siasa za Tanzania zinawavutia Wamarekani?, nk.
Siasa za a host country has nothing to do with tourism and tourists unless ni utalii wa kisiasa!.
2. Timing: Tanzania tuna watalii ambao wamekwama kurudi kwao kwasababu ya Vita ya Ukraine mpaka sasa wapo. Dunia nzima focus yao kwa sasa hivi imeelekea kwenye vita ya Ukraine na urusi, maisha yamepanda na uchumi wa dunia unashuka kote duniani ikiwemo marekani. Je, huu ni muda mwafaka kwa sisi kwenda kutangaza utalii Marekani?, Kama Marekani ndiyo mfadhili mkuu wa Ukraine kwenye vita yake na Urusi, je kwenda marekani kipindi hiki cha vita kutangaza utalii wetu kunauweka wapi uhusiano wa Tanzania na Urusi, Belarus, N.Korea na pro-Russia wote kwenye mzozo huu?
Hili neno!.
3. Quality: Je, viwango vya huduma zetu za utalii vinalingana na expectations zao? ni kama za mshindani wetu yupi?,
Hili neno!. This matters most, service delivery na hapa ndipo jirani alipotupiga bao!.
rule of law and democracy ipo.
What has the rule of law and democracy got to do with tourism?.
Clarity: Je, tuyayasema kwenye royal tour tunayaishi, ni kweli tuko na iko hivyo? tunaeleweka? wanatuelewa?
Hili neno!.
Maswali haya yalipaswa kuulizwa na watanzania wote na kujibiwa na Wizara ya maliasili na utalii na washauri wa mama wote.
Kiukweli maswali yako!. Japo mimi ni Mwandishi wa habari na huwa nina maswali lakini kiukweli wewe umenizidi, watu intelligent kama wewe ndio mlipaswa kuwa kwenye newsroom zetu, au kule kwa wale "jamaa zetu" ili msaidie taifa letu kufanya economic intelligence. Tanzania tunajinasibu kuwa na Sera Economic Diplomacy kwenye foreign policy lakini hatufanyi economic intelligence. Tanzania ndio tunaongoza Kwa vivutio vya utalii, Zanzibar beach ndio the best upande huu, Kenya wanatupiga bao, Madagascar, Mauritius na Seychelles wanaipiga bao Zanzibar, tungeisha fanya tourism industry intelligence kujua wanatushinda nini ndipo tuboreshe, tunakimbilia to make movie, watu kama nyinyi wenye insights na maswali chokonozi, ndio unayaleta hapa ukitegemea kujibiwa na Wizara ya maliasili na utalii na washauri wa mama ambao none is here!, unatemea nini?.
P
 
wazungu wanatuzomea kwahilo, tunadhani wao hawana taarifa kuwa hatuna uchaguzi huru, tunadhani kuwa hawajui kuwa nguvu ya raia kwenye kisunduku cha kura imeporwa. Watu wetu wanajifanya hawajui kuwa wazungu wana vyama vinavyobadilishana kuingia Ikulu kwa kutumia ballot papers
Mbona hoja ya mdau iko wazi.. political issues hazihusiani na utalii moja kwa moja. After all wanakuja watalii sio wanasiasa au diplomats au wanaharakati. Hebu angalia nchi za Afrika zinazoongoza kwa kupata watalii wengi mwaka 2019;
1. Morocco 12.3ml
2. Misri 11.3ml
3. Afrika kusini 10.5ml
4. Tunisia 8.3ml
5. Zimbabwe
6. Ivory Coast
7. Uganda
9. Kenya
10. Mauritius
Kwani Egypt ina demokrasia gani mpaka itembelewe na watalii 12ml. Zimbabwe wa tano kwa kipi walichotuzidi kwenye siasa au Uganda.. Kifupi nchi nyingi zinazoongoza hata utulivu wake ni mdogo ukilinganisha na Tanzania wametuzidi
Ichukue Zanzibar na matatizo yake ya kisiasa lakini inaonoza kwa utalii wa visiwa Africa..

Ukiambiwa utalii sio siasa sijui demokrasia au utawala bora uwe unaelewa.
Mtalii anafuata vivutio kama tu atahakikishiwa usalama wake full stop.
 
Huo upuuzi woote ulioandika hakuna ambacho kinamhusu mtalii moja kwa moja.

Watalii wanakuja kuangalia vivutio vya utalii na sio vivutio vya kisiasa.

Wanapotaka ku-book safari wanakwenda kwa travel agents au Tour operators wa nchi zao,na sio kwa Political analysts.

Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye wahudumu wa utalii wanaoijua kazi yao vizuri.
Ndio maana tunapata hizo tuzo za kimataifa.

Siasa inaharibu utalii hasa pale vyama au makundi ya wanaharakati wanapotumika kuleta Political unstable kwenye nchi husika.

Chuo cha kwanza cha kitaaluma na chenye kuheshimika kuhusu wanyama pori kiko Tanzania.

'Mweka College Of African Wildlife Management"

Acheni kuichafua nchi ambayo mkishashiba na mkilala ndio nyumbani kwenu.
Siasa haikwepeki kwenye utalii hilo weka kichwani.... uimara wa siasa safi huvutia utalii ukitaka kujua hilo katalii Ukraine
 
Kama wewe ni mtaalam wa habari unajuwa mengi kuhusu marketing, culture, timing, quality and clarity ni vitu muhimu kwenye kufanikisha biashara:

1. culture: Unapokwenda kutafuta wateja/habari sehemu fulani lazima uzingatie utamaduni wa sehemu ile. Royal tour imekwenda kuzinduliwa Marekani, jee, wamarekani wana utamaduni gani kwenye mavazi, dini, siasa, demokrasia, lugha na tabia zao? Je, alivyovaa Mama Wamarekani vinawavutia au angevaa kama wao au kitalii?, je, siasa za Tanzania zinawavutia Wamarekani?, nk.

2. Timing: Tanzania tuna watalii ambao wamekwama kurudi kwao kwasababu ya Vita ya Ukraine mpaka sasa wapo. Dunia nzima focus yao kwa sasa hivi imeelekea kwenye vita ya Ukraine na urusi, maisha yamepanda na uchumi wa dunia unashuka kote duniani ikiwemo marekani. Je, huu ni muda mwafaka kwa sisi kwenda kutangaza utalii Marekani?, Kama Marekani ndiyo mfadhili mkuu wa Ukraine kwenye vita yake na Urusi, je kwenda marekani kipindi hiki cha vita kutangaza utalii wetu kunauweka wapi uhusiano wa Tanzania na Urusi, Belarus, N.Korea na pro-Russia wote kwenye mzozo huu?

3. Quality: Je, viwango vya huduma zetu za utalii vinalingana na expectations zao? ni kama za mshindani wetu yupi?, rule of law and democracy ipo.

Clarity: Je, tuyoyasema kwenye royal tour tunayaishi, ni kweli tuko na iko hivyo? tunaeleweka? wanatuelewa? tunaaminika? hatugeukigeuki? leo ni kama kesho au kisho ina mambo yake?

Maswali haya yalipaswa kuulizwa na watanzania wote na kujibiwa na Wizara ya maliasili na utalii na washauri wa mama wote.
Hizo ni notes tu za mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Bachelor of Business Administration/Marketing. Leta hoja zenye mashiko, usitupotezee muda
 
Kama mitaa ya nchi ni michafu sana, demokrasia ya uchaguzi bado hatuna, vilio vya katiba havijakoma na wasiojulikana bado hawajakamatwa, je, tunadhani kuwa watalii hawana akili?

Je, wananchi, madereva, waongoza watalii, polisi na watoa huduma kwa watalii wana ufahamu na ujuzi kuhusu watalii wanataka na hawataki nini?

Royal Tour itatulipa? au lazima tumalize kulipa madeni yetu ya usafi, demokrasia, usalama na customer care kwa wateja?
Hivi Mataga wapo ? Muda sijajawasikia
 
Huo upuuzi woote ulioandika hakuna ambacho kinamhusu mtalii moja kwa moja.

Watalii wanakuja kuangalia vivutio vya utalii na sio vivutio vya kisiasa.

Wanapotaka ku-book safari wanakwenda kwa travel agents au Tour operators wa nchi zao,na sio kwa Political analysts.

Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye wahudumu wa utalii wanaoijua kazi yao vizuri.
Ndio maana tunapata hizo tuzo za kimataifa.

Siasa inaharibu utalii hasa pale vyama au makundi ya wanaharakati wanapotumika kuleta Political unstable kwenye nchi husika.

Chuo cha kwanza cha kitaaluma na chenye kuheshimika kuhusu wanyama pori kiko Tanzania.

'Mweka College Of African Wildlife Management"

Acheni kuichafua nchi ambayo mkishashiba na mkilala ndio nyumbani kwenu.
[emoji419]
 
Mkuu kavulata, japo mimi ni mtaalamu wa habari, ila nakiri sijui mengi kuhusu marketing.

Democracy has nothing to do with tourism. Utamaduni wa mtalii has nothing to do utalii, utamaduni wa host ndio what matters. mavazi ya mtalii doesn't matter hata akitembea uch.. Dini ya mtalii doesn't matter hata kama anaabudu shetani. Hata siasa doesn't matter, hata lugha doesn't matter much!, hata tabia matters very little.

Alivyo vaa Mama,
(najua unamaanisha nini), doesn't matter

Siasa za a host country has nothing to do with tourism and tourists unless ni utalii wa kisiasa!.

Hili neno!.

Hili neno!. This matters most, service delivery na hapa ndipo jirani alipotupiga bao!.

What has the rule of law and democracy got to do with tourism?.

Hili neno!.

Kiukweli maswali yako!. Japo mimi ni Mwandishi wa habari na huwa nina maswali lakini kiukweli wewe umenizidi, watu intelligent kama wewe ndio mlipaswa kuwa kwenye newsroom zetu, au kule kwa wale "jamaa zetu" ili msaidie taifa letu kufanya economic intelligence. Tanzania tunajinasibu kuwa na Sera Economic Diplomacy kwenye foreign policy lakini hatufanyi economic intelligence. Tanzania ndio tunaongoza Kwa vivutio vya utalii, Zanzibar beach ndio the best upande huu, Kenya wanatupiga bao, Madagascar, Mauritius na Seychelles wanaipiga bao Zanzibar, tungeisha fanya tourism industry intelligence kujua wanatushinda nini ndipo tuboreshe, tunakimbilia to make movie, watu kama nyinyi wenye insights na maswali chokonozi, ndio unayaleta hapa ukitegemea kujibiwa na Wizara ya maliasili na utalii na washauri wa mama ambao none is here!, unatemea nini?.
P
wanasoma, they are with us humu. the only voiceless platform is jf
 
Mbona hoja ya mdau iko wazi.. political issues hazihusiani na utalii moja kwa moja. After all wanakuja watalii sio wanasiasa au diplomats au wanaharakati. Hebu angalia nchi za Afrika zinazoongoza kwa kupata watalii wengi mwaka 2019;
1. Morocco 12.3ml
2. Misri 11.3ml
3. Afrika kusini 10.5ml
4. Tunisia 8.3ml
5. Zimbabwe
6. Ivory Coast
7. Uganda
9. Kenya
10. Mauritius
Kwani Egypt ina demokrasia gani mpaka itembelewe na watalii 12ml. Zimbabwe wa tano kwa kipi walichotuzidi kwenye siasa au Uganda.. Kifupi nchi nyingi zinazoongoza hata utulivu wake ni mdogo ukilinganisha na Tanzania wametuzidi
Ichukue Zanzibar na matatizo yake ya kisiasa lakini inaonoza kwa utalii wa visiwa Africa..

Ukiambiwa utalii sio siasa sijui demokrasia au utawala bora uwe unaelewa.
Mtalii anafuata vivutio kama tu atahakikishiwa usalama wake full stop.
Umebunibuni maneno kuhalalisha unachotaka kusema, lakini ni mara nyingi tunawasikia wanasiasa wa Marekanani wakiwaonya raia wao wakiwemo watalii wasiende au waondoke kwenye nchi fulani kwasababu za kiusalama. Wamarekani kipaumbele chao namba 1 ni safety/usalama. Egypt ni nchi ambayo iko stable sana kimataifa, wale sio waafrika wenzetu, hata wazungu wanaiona egypt kama nchi ya ulaya tu, hawataki iwe na siasa za uislam mkali hasa kwaajili ya Usalama wa Israel. Egypt ni sehemu ya Marekani na iko kwenye bajeti ya Marekani ya kila mwaka, inapokea pesa nyingi sana kutoka US. Zimbabwe ni sehemu ya Uingereza, ni shamba na ghala la Uingereza. wazungu wengi wamezaliwa Zimbabwe na kuna makaburi ya mababu zao wengi sana, Nchi haiwezi kuwa chafu halafu ivutiea watalii, nchi haiwezi kujaa rushwa kila kona halafu ivutie watalii na wawekezaji, nchi haiwezi kuwa na watu wasiojulikana wanaopora watalii halafu useme watalii wanafuata vivutio tu, nonsense
 
Kama mitaa ya nchi ni michafu sana, demokrasia ya uchaguzi bado hatuna, vilio vya katiba havijakoma na wasiojulikana bado hawajakamatwa, je, tunadhani kuwa watalii hawana akili?
Ukifahamu nini kina waleta watalii hutauliza swali kama hili ?
 
Royal tour ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Majizi yanajitafutia mianya ya kula tu. Nonsense
 
wazungu wanatuzomea kwahilo, tunadhani wao hawana taarifa kuwa hatuna uchaguzi huru, tunadhani kuwa hawajui kuwa nguvu ya raia kwenye kisunduku cha kura imeporwa. Watu wetu wanajifanya hawajui kuwa wazungu wana vyama vinavyobadilishana kuingia Ikulu kwa kutumia ballot papers
MBONA MNAPOTOSHA?!? KWANI SASA HIVI WATALII HAWAJI?!? MTALII HAYUKO INTERESTED NA POLITIKI ZENU YEYE ANAKUJA KUPUNGA UPEPO NA KUFURAHIA MISIMBA,MIFISI,MITEMBO, MINDEGE!!!!. WEWE NA WEWE UNAIKALIAGA TU POLITI KAZI HAUTAFUTE!!!! ITAKULA KWAKO
 
Mkuu kavulata, japo mimi ni mtaalamu wa habari, ila nakiri sijui mengi kuhusu marketing.

Democracy has nothing to do with tourism. Utamaduni wa mtalii has nothing to do utalii, utamaduni wa host ndio what matters. mavazi ya mtalii doesn't matter hata akitembea uch.. Dini ya mtalii doesn't matter hata kama anaabudu shetani. Hata siasa doesn't matter, hata lugha doesn't matter much!, hata tabia matters very little.

Alivyo vaa Mama,
(najua unamaanisha nini), doesn't matter

Siasa za a host country has nothing to do with tourism and tourists unless ni utalii wa kisiasa!.

Hili neno!.

Hili neno!. This matters most, service delivery na hapa ndipo jirani alipotupiga bao!.

What has the rule of law and democracy got to do with tourism?.

Hili neno!.

Kiukweli maswali yako!. Japo mimi ni Mwandishi wa habari na huwa nina maswali lakini kiukweli wewe umenizidi, watu intelligent kama wewe ndio mlipaswa kuwa kwenye newsroom zetu, au kule kwa wale "jamaa zetu" ili msaidie taifa letu kufanya economic intelligence. Tanzania tunajinasibu kuwa na Sera Economic Diplomacy kwenye foreign policy lakini hatufanyi economic intelligence. Tanzania ndio tunaongoza Kwa vivutio vya utalii, Zanzibar beach ndio the best upande huu, Kenya wanatupiga bao, Madagascar, Mauritius na Seychelles wanaipiga bao Zanzibar, tungeisha fanya tourism industry intelligence kujua wanatushinda nini ndipo tuboreshe, tunakimbilia to make movie, watu kama nyinyi wenye insights na maswali chokonozi, ndio unayaleta hapa ukitegemea kujibiwa na Wizara ya maliasili na utalii na washauri wa mama ambao none is here!, unatemea nini?.ll
Inawezekana kweli elimu ya marketing huna lakini hata kujua kuwa mtalii mmoja kama akipigwa roba na bodaboda na kuibiwa dollars zake tutakuwa uwa tumepoteza watalii wengine 100 hujui?
 
Back
Top Bottom