Mkuu
kavulata, japo mimi ni mtaalamu wa habari, ila nakiri sijui mengi kuhusu marketing.
Democracy has nothing to do with tourism. Utamaduni wa mtalii has nothing to do utalii, utamaduni wa host ndio what matters. mavazi ya mtalii doesn't matter hata akitembea uch.. Dini ya mtalii doesn't matter hata kama anaabudu shetani. Hata siasa doesn't matter, hata lugha doesn't matter much!, hata tabia matters very little.
Alivyo vaa Mama,
(najua unamaanisha nini), doesn't matter
Siasa za a host country has nothing to do with tourism and tourists unless ni utalii wa kisiasa!.
Hili neno!.
Hili neno!. This matters most, service delivery na hapa ndipo jirani alipotupiga bao!.
What has the rule of law and democracy got to do with tourism?.
Hili neno!.
Kiukweli maswali yako!. Japo mimi ni Mwandishi wa habari na huwa nina maswali lakini kiukweli wewe umenizidi, watu intelligent kama wewe ndio mlipaswa kuwa kwenye newsroom zetu, au kule kwa wale "jamaa zetu" ili msaidie taifa letu kufanya economic intelligence. Tanzania tunajinasibu kuwa na Sera Economic Diplomacy kwenye foreign policy lakini hatufanyi economic intelligence. Tanzania ndio tunaongoza Kwa vivutio vya utalii, Zanzibar beach ndio the best upande huu, Kenya wanatupiga bao, Madagascar, Mauritius na Seychelles wanaipiga bao Zanzibar, tungeisha fanya tourism industry intelligence kujua wanatushinda nini ndipo tuboreshe, tunakimbilia to make movie, watu kama nyinyi wenye insights na maswali chokonozi, ndio unayaleta hapa ukitegemea kujibiwa na Wizara ya maliasili na utalii na washauri wa mama ambao none is here!, unatemea nini?.
P