Royal Tour ndo ishasahaulika?

Jamaa ndiyo maana wamejiwekea kinga wasishitakiwe
 
Instant impacts tayari ila mafuriko sasa ni coming years,wasikie hapa wadau wa Utalii wenyewe wakiongea 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220614-110828.png
    191.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220614-111144.png
    70.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220614-110900.png
    101.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220614-111129.png
    112.8 KB · Views: 4
We mpuuzi unajua nini juu ya utalii? Unapiga kelele tu. Msimu ukianza kwa mtalii mwenye pesa lazima atembelee Vivutio vyote Tanzania bila hata ya Royal your.
Naona umeanza na kejeli halaf ukaandika basic shit ambayo ilikuwepo toka 1960.

Hiyo ni biashara man, watalii hawaongezeki kwa kutokufanya lolote. Yaani unakaa tu waongezeke aoutomatic?
Kuja watakuja ila watakuja wachache.

Zile nchi ambazo zinapata wageni wengi kuliko tz? Wao wamefanyaje au wamekaa tu watalii wanakuja bila kufanya chochote?
 
We mpuuzi unajua nini juu ya utalii? Unapiga kelele tu. Msimu ukianza kwa mtalii mwenye pesa lazima atembelee Vivutio vyote Tanzania bila hata ya Royal your.
Jitu hata haliko kwenye sekta ya Utalii linajifanya kujua mambo ya utalii kuzidi wahusika..

Sababu tuu ni chuki binafsi za kisenge 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220613-113438.png
    90.1 KB · Views: 5

Wanasiasa walivyo wa ajabu, Hangaya ukimuuliza baadaye kuhusu mafanikio ya Royal Tour atakutajia idadi ya tourists ambao watakuwa wamekuja Tanzania tangu Royal Tour izinduliwe as if hakuna mtalii ambaye alikuwa anakuja kabla ya hapo!
 
Data zipi za nyuma? Huoni kila kwenye data unaonyeshwa na za nyuma?

Unataka data zipi za nyuma uwekewe
Hebu Rudi nyuma kuanzia 2020 ili tujie hiyo royo tua yako kama imeleta mafanikio Kwa mwezi mmoja unafikiri huku wako mandezi kama wewe? Hizo kazi za utalii wengine ndio ajira zetu tunazifahamu vizuri msipende kufanya watanzania mazuzu
 
Hebu Rudi nyuma kuanzia 2020 ili tujie hiyo royo tua yako kama imeleta mafanikio Kwa mwezi mmoja unafikiri huku wako mandezi kama wewe? Hizo kazi za utalii wengine ndio ajira zetu tunazifahamu vizuri msipende kufanya watanzania mazuzu
Royal imezinduliwa mwaka upi hadi nokupe Takwimu za nyuma ya 2020?

Impacts ya Royal tour itakuaje miaka ya nyuma?

Kama unajua kusoma soma ila kama chuki binafsi zinakusumbua sina jinsi ya kukusaidia zaidi ya kuzidi kukukera kwa Takwimu zaidi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220612-163931.png
    126.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220612-163951.png
    131.6 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220612-164000.png
    134.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220613-113438.png
    90.1 KB · Views: 5
Kwa hiyo wewe hilo gazeti la habari Leo na msemaji wa serikali ulitaka waandike ukweli? Ndio maana nimekupa mtihani mdogo tu leta hapa takwimu za 2020 ili tuone hao watalii wa royo tua yako wamevunja rekodi za nyuma? Halafu Kwa akili yako hiyo imeweza kusahau lockdown? Nakukumbusha Tena watanzania sio mazuzu
 
Kwa hiyo hizo Takwimu waandishi wanazitunga au? Hizo Takwimu utazikita uhamiaji na kwenye mamlaka za uhifadhi ndiko wamenukuu..

Mwisho Royal tour na Takwimu za kabla ya 2020 wapi na wapi?

Nikajua una Takwimu tofauti kutoka vyanzo vyako kumbe huna ila unaropoka 😂😂
 
Siku hizi kila mzungu anapigwa picha tunaambiwa matunda ya royo tuwa [emoji1]
 
Wee jamaa una shida gani?
Ulifikiri royal tour promo ni ya kudumu.??
Leo ilikuwa kuwatangazia watalii juu ya vivutio tulivonavyo. Pamoja nq kuwaambiq anaetaka kujua ategemee nini Bongo basi aangalie Royal Tour. Kazi imeshakamilika. Sasa tunaangalia Returns tu.
Je watalii wameashaanza kuja au tutegemee matokeo kuanza kuyapata lini?


Kwa sasa hatuzungumzii Royal Tour bali tunazungumzia Watalii wanaoletwa na Royal Tour!!
 
Kuna mdau anasema eti ukimuoneesha mzungu vivutio vyako hawezi kuja maana si keshaona kwenye filamu sasa aje kufanya nini?
 
Nchi ya wadanganyika wenye kumbukumbu ndogo kama bata ambaye hufakamia hata damu ya bata mweziye na kukaa kwenye machinjio ya mabata hadi achinjwe yeye!
 
Siku hizi kila mzungu anapigwa picha tunaambiwa matunda ya royo tuwa [emoji1]
Unafiki mtupu.

Kabla ya Corona Dk Kigwangala alivunja rekodi za kuleta watalii tangu nchi hii iundwe.

Akina Ombama, Beckam walikuja kutalii bila ya hiyo royal tour
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…