Isakhamisi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 387
- 448
Ala ina maana nyinyi magufulism ndoto zenu ni kutaka rais samia project zake zilifeli mpate kufurahi basi hilo halitotokea kwa sababu mama anaendesha nchi kisomi hskurupuki kama bwana yenu mwendazake aliyekuwa akiendesha nchi kivyake bila kushikikisha wateule wake.Kiazi ni wewe unayekurupukia mambo bila kudigest, upo tu na kila jambo la maza unalishadadia likija kubuma unajikausha. Yaani ukisikia sugar mami la mtu flani ndo km wewe, husikii wa huoni.