Royal Tour ndo ishasahaulika?

Royal Tour ndo ishasahaulika?

Baada ya Dhiki ni faraja....

But sometimes baada ya dhiki yanaweza kuja Mauti,, na faraja ikabaki historia..

Waswahili tutunze muda
 
IMG-20220422-WA0079.jpg
tumebaki na kumbukumbu
 
Inasikitisha sana bora zile hela tungempa kabhi lame tu na Kili paul watutangazie nchi tena na chenji ingebaki!
 
Royal tour iko live daraja la salander bure kabisa ,huku Royal tour kule UEFA final👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220529-082839.png
    Screenshot_20220529-082839.png
    148.3 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220529-082855.png
    Screenshot_20220529-082855.png
    47.5 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220529-082917.png
    Screenshot_20220529-082917.png
    48.6 KB · Views: 13
Ukweli mchungu na Watalii naona kawaida tu
 
𝕫𝕚𝕝𝕚𝕜𝕦𝕨𝕒 𝕜𝕚𝕜𝕚 𝕫𝕒 𝕞𝕤𝕚𝕞𝕦 𝕫𝕚𝕝𝕖 𝕞𝕒𝕥𝕠𝕜𝕣𝕠 𝕫𝕖𝕣𝕠
 
Matokeo yake hayawezi kuwa hivi kwa sasa,acheni propaganda mfu zenu vilaza.
Ungeandika haya baada ya miezi 6 ungekuwa ukweli.
Vilaza msiojua hata jinsi ya kufanya propaganda.
Ndo yamekuwa sasa na bado..

Wewe Unataka yaweje? Mbona unateseka Sana ndugu 😬😬
 
Hii royo toa haina faida yeyote kwa watz.tulidanganywa italeta wawekezaji lakini hadi sasa hakuna mwekezaji wa maana zaidi ya wawekezaji uchwara wanaojichotea tu madini yetu.Makaa ya mawe yameanza kuchotwa tu kwa pesa ndogo kabisa.Makinikia yetu yameanza kugawiwa kwa vigogo kama zawadi.Ninyi viongozi mafisadi ipo siku yenu mtamalizia maisha yenu gerezani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom