Royal Tour ndo ishasahaulika?

Royal Tour ndo ishasahaulika?

Kiazi ni wewe unayekurupukia mambo bila kudigest, upo tu na kila jambo la maza unalishadadia likija kubuma unajikausha. Yaani ukisikia sugar mami la mtu flani ndo km wewe, husikii wa huoni.
Ala ina maana nyinyi magufulism ndoto zenu ni kutaka rais samia project zake zilifeli mpate kufurahi basi hilo halitotokea kwa sababu mama anaendesha nchi kisomi hskurupuki kama bwana yenu mwendazake aliyekuwa akiendesha nchi kivyake bila kushikikisha wateule wake.
 
Walahi ukiwa na familia ya matoto kumi km hilo jamaa! Nenda kwa mfalme zumaridi kama anaweza kuyauza mpe. [emoji23][emoji23]
Hivi ile mbuga yetu pale chato/burigi inapokea watalii wangapi kwa mwaka
 
Nguvu Kubwa Imetumika Halafu Imekufa Kibudu
Lawama Kwa Nani?Peter Ama Vita
Ukweli Ccm Ndiyo Imetufikisha Hapa
 
wazo lolote ambalo halisaidii kuzalisha ajira kwa maelfu ya vijana wasio na kazi ni ufujaji wa pesa.

royo tuwa ni kichekesho.

tunaendelea kumkumbuka Magufuli.
 
Hata kama siikubali sana Royo Tua na tumepigwa mabilioni na napenda falsafa za Mwendazake ila ni ukweli kwa mtu unaetumia akili vizuri kuwa ni lazima Royo Tua itaongeza watalii kwa kiwango kikubwa kwa kuwa inawaonesha kuna nini Tanzania kupitia mtandaoni ambako wenye pesa ndo wapo.

Effect ya Royo Tua ni unlimited maana wapo watu watakaoitazama hiyo sinema mwaka 2025 na watavutiwa kuja Tanzania. Wako watakoitazama 2055 na watakuja bongo na wapo watakaoitazama 2099 na watashuka bongo.si lazima uone kila kitu ukiwa hai

Binafsi nampongeza sana Bimkubwa for this was excellent idea na afikirie kufanya na kingine kikubwa bila kuwaza wala kujali wanaompinga ila ili awe "Rais wangu" namuomba ahakikishe tu Nyerere Dam na SGR vimekamilika before 2030 nae ataandikwa kwenye vitabu vya historia.

ila wizi , rushwa na ufisadi vinashamiri serikalini hii ni mbaya kwa utawala wake amtumie sana Majaliwa ana msuli na interest ya kutumbua majinga yanayokwamisha maendeleo
 
Nje ya mada kidogo, kiongozi unaonekana una stress kweli kweli.
 
Did you think that royal tour outcome will be like an instaant coffee..??
Watanzania tunatia aibu sana.
Kwa taarifa yako hata influx ya watalii unayoiona huwezi kusema ni matokeo ya tour.
Binafsi ningetoa 6months kutarajia matokeo
Either ni ushamba au kutokuwa na elimu kuhusu sekta ya utalii inavyofanya kazi.
Watu wengi haswa huyo ulie mjibu walitarajia instant impact wakati wageni wanakuja kwa msimu maalum.
Halaf wanakuja kulalama humu as if wao ndio wanajua sekta ya utalii kuliko wengine
 
Back
Top Bottom