Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sahivi habari ya mjini ni kukopeshana magari ya umma kwa bei ya bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ndiyo maana wamejiwekea kinga wasishitakiweBillion Saba imepotea kinyemela mam afikishwe mahakama za kifisadi kujibu tuhuma zianzomkabili za kusababishia hasara wananchi ya billion Saba huku akijuwa kuwa kufanya hvyo Ni ufisadi na Ni kutojali pesa za wafuja jasho la taifa hili
Ikiwa atadhibitika atakwenda jela moja kwa moja na kwa kifungo Cha miaka 27 bila dhamana
Instant impacts tayari ila mafuriko sasa ni coming years,wasikie hapa wadau wa Utalii wenyewe wakiongea 👇Either ni ushamba au kutokuwa na elimu kuhusu sekta ya utalii inavyofanya kazi.
Watu wengi haswa huyo ulie mjibu walitarajia instant impact wakati wageni wanakuja kwa msimu maalum.
Halaf wanakuja kulalama humu as if wao ndio wanajua sekta ya utalii kuliko wengine
Naona umeanza na kejeli halaf ukaandika basic shit ambayo ilikuwepo toka 1960.We mpuuzi unajua nini juu ya utalii? Unapiga kelele tu. Msimu ukianza kwa mtalii mwenye pesa lazima atembelee Vivutio vyote Tanzania bila hata ya Royal your.
Jitu hata haliko kwenye sekta ya Utalii linajifanya kujua mambo ya utalii kuzidi wahusika..We mpuuzi unajua nini juu ya utalii? Unapiga kelele tu. Msimu ukianza kwa mtalii mwenye pesa lazima atembelee Vivutio vyote Tanzania bila hata ya Royal your.
Kama upepo ulivyo, habari za Royal Tour zishaanza kupita.
Watanzania tushahamia kwenye habari za Lengai Sabaya.
Toka mwanzo, mimi nilikuwa na shaka sana juu ya hiyo filamu.
Kama lengo lake lilikuwa ni kuitangaza Tanzania, mbona wahusika wake hawajafanya yale yanayopaswa kufanywa ili kuitangaza filamu hiyo pamoja na Tanzania?
1. Kwa nini Hangaya na waigizaji wenzake hawajaenda na kwenye nchi zingine? Kwa nini wameenda Marekani tu?
2. Na huko Marekani walikoenda, ni nani hasa mwenye habari na hiyo filamu?
3. Matangazo ya hiyo filamu yako wapi? Sasa hivi kuna playoffs za ligi mbili kubwa, NBA na NHL, mbona matangazo ya hiyo filamu hayapo kwenye chaneli za TNT, TBS, ABC, wala ESPN?
Michezo hii ya playoffs huangaliwa na watu wengi sana. Hapo ndo ilikuwa pazuri pa kuitangaza Tanzania na vivutio vyake.
Lakini hamna kitu. Sasa Mmarekani atajuaje kuhusu hiyo filamu?
4. Hiyo filamu ina kipi kipya ambacho hakijulikani kuhusu Tanzania hadi kumshawishi Mmarekani aje?
Documentaries zote kuhusu vivutio vya Tanzania ambazo zimewahi kuonyeshwa na PBS, National Geographic, A&E, YouTube, n.k., zina tofauti gani na Royal Tour?
5. Hii Royal Tour sidhani kama italeta chochote kipya na zaidi. Watu wamepata tu fursa ya kupiga hela.
Na kama ilivyo jadi yetu Watanzania, tushaanza kuisahau na ndani ya muda mfupi tutaisahau kabisa na hakuna hata mmoja wetu atayekuja kuuliza mafanikio yake huko mbeleni.
6. Ni nani atayekuja kumhoji Samia juu ya mafanikio ya hiyo filamu ifikapo 2024, kwa mfano?
Sisi ni watu wa ajabu kweli.
Ningependa kama ungeonyesha data za nyuma zaidi achana na hizo za lockdownNdio mkuu,nawapa data bila kupepesa
Data zipi za nyuma? Huoni kila kwenye data unaonyeshwa na za nyuma?Ningependa kama ungeonyesha data za nyuma zaidi achana na hizo za lockdown
Hebu Rudi nyuma kuanzia 2020 ili tujie hiyo royo tua yako kama imeleta mafanikio Kwa mwezi mmoja unafikiri huku wako mandezi kama wewe? Hizo kazi za utalii wengine ndio ajira zetu tunazifahamu vizuri msipende kufanya watanzania mazuzuData zipi za nyuma? Huoni kila kwenye data unaonyeshwa na za nyuma?
Unataka data zipi za nyuma uwekewe
Royal imezinduliwa mwaka upi hadi nokupe Takwimu za nyuma ya 2020?Hebu Rudi nyuma kuanzia 2020 ili tujie hiyo royo tua yako kama imeleta mafanikio Kwa mwezi mmoja unafikiri huku wako mandezi kama wewe? Hizo kazi za utalii wengine ndio ajira zetu tunazifahamu vizuri msipende kufanya watanzania mazuzu
Kwa hiyo wewe hilo gazeti la habari Leo na msemaji wa serikali ulitaka waandike ukweli? Ndio maana nimekupa mtihani mdogo tu leta hapa takwimu za 2020 ili tuone hao watalii wa royo tua yako wamevunja rekodi za nyuma? Halafu Kwa akili yako hiyo imeweza kusahau lockdown? Nakukumbusha Tena watanzania sio mazuzuRoyal imezinduliwa mwaka upi hadi nokupe Takwimu za nyuma ya 2020?
Impacts ya Royal tour itakuaje miaka ya nyuma?
Kama unajua kusoma soma ila kama chuki binafsi zinakusumbua sina jinsi ya kukusaidia zaidi ya kuzidi kukukera kwa Takwimu zaidi [emoji116]
Kwa hiyo hizo Takwimu waandishi wanazitunga au? Hizo Takwimu utazikita uhamiaji na kwenye mamlaka za uhifadhi ndiko wamenukuu..Kwa hiyo wewe hilo gazeti la habari Leo na msemaji wa serikali ulitaka waandike ukweli? Ndio maana nimekupa mtihani mdogo tu leta hapa takwimu za 2020 ili tuone hao watalii wa royo tua yako wamevunja rekodi za nyuma? Halafu Kwa akili yako hiyo imeweza kusahau lockdown? Nakukumbusha Tena watanzania sio mazuzu
Wee jamaa una shida gani?Kama upepo ulivyo, habari za Royal Tour zishaanza kupita.
Watanzania tushahamia kwenye habari za Lengai Sabaya.
Toka mwanzo, mimi nilikuwa na shaka sana juu ya hiyo filamu.
Kama lengo lake lilikuwa ni kuitangaza Tanzania, mbona wahusika wake hawajafanya yale yanayopaswa kufanywa ili kuitangaza filamu hiyo pamoja na Tanzania?
1. Kwa nini Hangaya na waigizaji wenzake hawajaenda na kwenye nchi zingine? Kwa nini wameenda Marekani tu?
2. Na huko Marekani walikoenda, ni nani hasa mwenye habari na hiyo filamu?
3. Matangazo ya hiyo filamu yako wapi? Sasa hivi kuna playoffs za ligi mbili kubwa, NBA na NHL, mbona matangazo ya hiyo filamu hayapo kwenye chaneli za TNT, TBS, ABC, wala ESPN?
Michezo hii ya playoffs huangaliwa na watu wengi sana. Hapo ndo ilikuwa pazuri pa kuitangaza Tanzania na vivutio vyake.
Lakini hamna kitu. Sasa Mmarekani atajuaje kuhusu hiyo filamu?
4. Hiyo filamu ina kipi kipya ambacho hakijulikani kuhusu Tanzania hadi kumshawishi Mmarekani aje?
Documentaries zote kuhusu vivutio vya Tanzania ambazo zimewahi kuonyeshwa na PBS, National Geographic, A&E, YouTube, n.k., zina tofauti gani na Royal Tour?
5. Hii Royal Tour sidhani kama italeta chochote kipya na zaidi. Watu wamepata tu fursa ya kupiga hela.
Na kama ilivyo jadi yetu Watanzania, tushaanza kuisahau na ndani ya muda mfupi tutaisahau kabisa na hakuna hata mmoja wetu atayekuja kuuliza mafanikio yake huko mbeleni.
6. Ni nani atayekuja kumhoji Samia juu ya mafanikio ya hiyo filamu ifikapo 2024, kwa mfano?
Sisi ni watu wa ajabu kweli.
Nchi ya wadanganyika wenye kumbukumbu ndogo kama bata ambaye hufakamia hata damu ya bata mweziye na kukaa kwenye machinjio ya mabata hadi achinjwe yeye!Kama upepo ulivyo, habari za Royal Tour zishaanza kupita.
Watanzania tushahamia kwenye habari za Lengai Sabaya.
Toka mwanzo, mimi nilikuwa na shaka sana juu ya hiyo filamu.
Kama lengo lake lilikuwa ni kuitangaza Tanzania, mbona wahusika wake hawajafanya yale yanayopaswa kufanywa ili kuitangaza filamu hiyo pamoja na Tanzania?
1. Kwa nini Hangaya na waigizaji wenzake hawajaenda na kwenye nchi zingine? Kwa nini wameenda Marekani tu?
2. Na huko Marekani walikoenda, ni nani hasa mwenye habari na hiyo filamu?
3. Matangazo ya hiyo filamu yako wapi? Sasa hivi kuna playoffs za ligi mbili kubwa, NBA na NHL, mbona matangazo ya hiyo filamu hayapo kwenye chaneli za TNT, TBS, ABC, wala ESPN?
Michezo hii ya playoffs huangaliwa na watu wengi sana. Hapo ndo ilikuwa pazuri pa kuitangaza Tanzania na vivutio vyake.
Lakini hamna kitu. Sasa Mmarekani atajuaje kuhusu hiyo filamu?
4. Hiyo filamu ina kipi kipya ambacho hakijulikani kuhusu Tanzania hadi kumshawishi Mmarekani aje?
Documentaries zote kuhusu vivutio vya Tanzania ambazo zimewahi kuonyeshwa na PBS, National Geographic, A&E, YouTube, n.k., zina tofauti gani na Royal Tour?
5. Hii Royal Tour sidhani kama italeta chochote kipya na zaidi. Watu wamepata tu fursa ya kupiga hela.
Unafiki mtupu.Siku hizi kila mzungu anapigwa picha tunaambiwa matunda ya royo tuwa [emoji1]