Royal Tour ndo ishasahaulika?

Mkuu na wewe umesahau kuwa Rais wa Tanzania huwa hahojiwi?
Wapi pameandikwa Rais wa JMT, hahojiwi?. Kilichopo ni Rais wa JMT, wakati akiwa ni Rais, hawezi kushitakiwa mahakamani, ila anaweza kushitakiwa Bunge.

Na hilo la rais kuhojiwa, kila siku tunakutana na rais na kumhoji.
P
 
Royal Tour ni kitu kipya kwa waigizaji wenyewe kwani ufahamu kuhusu hii nchi mdogo sana. Kutokana na ufahamu finyu walishawishika kirahisi na bila kupata ushauri wa kitaalam wa kutosha. Kazi yenyewe ikiwa ni pamoja na uzinduzi wake imefanyika kizimamoto. Ndiyo maana kuna kauli tata na za kuudhi.
 
07 May 2022

Tanzania Royal Tour Zanzibar leo Mwijaku aruka kwa parashuti

 
Point #4 umewaza nilichowaza, sijaona kipya kwenye royal tour kulinganisha na nilivyowahi kuviona nyuma
 
Documentaries zote kuhusu vivutio vya Tanzania ambazo zimewahi kuonyeshwa na PBS, National Geographic, A&E, YouTube, n.k., zina tofauti gani na Royal Tour?
Ujuaji acha wewe, tofauti ya kwanza hii ina character ambaye ni Rais wa nchi ya ahadi.

Meza wembe
 
Sukuma gang mnaweweseka sana..
 
Uliahidiwa utendaji wa mtaa, mwendazake kafa bila kukupa fursa, kazikwe naye
 
Ngoja kwanza mbona mapema hivyo
Kwanza ina character wangapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…