Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni local stations zipi ambazo zitaionyesha hiyo filamu?Kesho wapo Zanzibar... Kumbuka kuwa hata Mwinyi yupo katika RT.... Jumapili watakuwepo Dar na baada ya show watatoa nakala na haki ya kuionyesha kwa vituo vyote vya TV vya Tanzania.
Awali wameshatoa nakala kwa vituo 350 vya USA... ambapo itaonyeshwa kwa muda wa miezi sita.
Hapana shaka utaiona tu kupitia moja ya local tv hapo mtaani kwako...
Majina ya hizo local channels hawajata bado... Labda yatatajwa hiyo tarehe 8... ila kumbuka tu ni 350Ni local stations zipi ambazo zitaionyesha hiyo filamu?
Kuna uongo mwingi sana mnapigiwa. Uzinduzi tu wa huko hakuna mtu yoyote influential aliyeshiriki. Na mbaya zaidi mkaphotoshop tangazo kwenye NY times squareMajina ya hizo local channels hawajata bado... Labda yatatajwa hiyo tarehe 8... ila kumbuka tu ni 350
Hapo na mm ndio niliona tatizo, Hakuna mtu yoyote influential kutoka US aliyehudhuria. Zaidi wengi walitoka hukuWatu wanafikiri US ni kama kakijiji watu na watu wengi eti walihudhuria huo uzinduzi na chawa wa huyu bibi wakaaminishana awareness kuhusu hili igizo ni kubwa US .
Mfumo wetu wa elimu ni dezo kwa wanasiasa ndio maana hata jana kawaambia watu mafuta ni bei chini US kuliko Tanzania , ajabu ni kuwa kuna wajinga kibao aliwachota wakamuamini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji3] clip yake ninayoHello Pirraaaaaa,
Yeah me tooooo.
Mama yenu ana vituko [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu mimi nina mashaka sana mama alikuwa anafanya nini vichakani na yule mzungu Peter Greenberg sijui Greenbird?
Wakatokomea machakani kule wanatuzuga wako kwenye royal tour kumbeeee....
Mhhh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Filamu ni ya pira.
Mapato yote ni ya pira.
Facilities ni za GOT.
Tz inaendeshwa na matukio, Sasa hivi tupo na rufaa ya Sabaya kwanza.Kama upepo ulivyo, habari za Royal Tour zishaanza kupita.
Watanzania tushahamia kwenye habari za Lengai Sabaya.
Toka mwanzo, mimi nilikuwa na shaka sana juu ya hiyo filamu.
Kama lengo lake lilikuwa ni kuitangaza Tanzania, mbona wahusika wake hawajafanya yale yanayopaswa kufanywa ili kuitangaza filamu hiyo pamoja na Tanzania?
1. Kwa nini Hangaya na waigizaji wenzake hawajaenda na kwenye nchi zingine? Kwa nini wameenda Marekani tu?
2. Na huko Marekani walikoenda, ni nani hasa mwenye habari na hiyo filamu?
3. Matangazo ya hiyo filamu yako wapi? Sasa hivi kuna playoffs za ligi mbili kubwa, NBA na NHL, mbona matangazo ya hiyo filamu hayapo kwenye chaneli za TNT, TBS, ABC, wala ESPN?
Michezo hii ya playoffs huangaliwa na watu wengi sana. Hapo ndo ilikuwa pazuri pa kuitangaza Tanzania na vivutio vyake.
Lakini hamna kitu. Sasa Mmarekani atajuaje kuhusu hiyo filamu?
4. Hiyo filamu ina kipi kipya ambacho hakijulikani kuhusu Tanzania hadi kumshawishi Mmarekani aje?
Documentaries zote kuhusu vivutio vya Tanzania ambazo zimewahi kuonyeshwa na PBS, National Geographic, A&E, YouTube, n.k., zina tofauti gani na Royal Tour?
5. Hii Royal Tour sidhani kama italeta chochote kipya na zaidi. Watu wamepata tu fursa ya kupiga hela.
Na kama ilivyo jadi yetu Watanzania, tushaanza kuisahau na ndani ya muda mfupi tutaisahau kabisa na hakuna hata mmoja wetu atayekuja kuuliza mafanikio yake huko mbeleni.
6. Ni nani atayekuja kumhoji Samia juu ya mafanikio ya hiyo filamu ifikapo 2024, kwa mfano?
Sisi ni watu wa ajabu kweli.
Hamna mtu mwenye habari na hiyo tour.Hapo na mm ndio niliona tatizo, Hakuna mtu yoyote influential kutoka US aliyehudhuria. Zaidi wengi walitoka huku
Naiomba niione…[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji3] clip yake ninayo
"Hey mommy come here"
"Ooooh yess am comin"
Jaman sichoki kutazama, huku wakishikana mikono. Mweeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa inashindwa ku upload, ngoja nijaribu tena kesho asubuh.Naiomba niione…
Labda yatatajwa?Majina ya hizo local channels hawajata bado... Labda yatatajwa hiyo tarehe 8... ila kumbuka tu ni 350
Marekani ni kubwa sana. Na ukweli ni kwamba, kiujumla, hakuna Wamarekani waliokuwa na muda na hiyo Royal Tour…Hapo na mm ndio niliona tatizo, Hakuna mtu yoyote influential kutoka US aliyehudhuria. Zaidi wengi walitoka huku
Walisema local stations zote zitapewa bure haki ya kuonesha hiyo filamu.Ni local stations zipi ambazo zitaionyesha hiyo filamu?