Royal Tour ndo ishasahaulika?

Royal Tour ndo ishasahaulika?

Kesho wapo Zanzibar... Kumbuka kuwa hata Mwinyi yupo katika RT.... Jumapili watakuwepo Dar na baada ya show watatoa nakala na haki ya kuionyesha kwa vituo vyote vya TV vya Tanzania.

Awali wameshatoa nakala kwa vituo 350 vya USA... ambapo itaonyeshwa kwa muda wa miezi sita.

Hapana shaka utaiona tu kupitia moja ya local tv hapo mtaani kwako...
Ni local stations zipi ambazo zitaionyesha hiyo filamu?
 
Bado mapema kujua mafanikio ya hiyo filamu maana msimu wa utalii bado haujaanza. Subirini mpaka mwakani ndiyo mtajua kama filamu imeongeza watalii au la.
 
Utajua ujui nipo na nyonga mbengu nipumzishe fuvu saiz ndo tunaanza kupapaswa
 
Watu wanafikiri US ni kama kakijiji watu na watu wengi eti walihudhuria huo uzinduzi kumbe watu walikua busy na issue zao za muhimu na chawa wa huyu bibi wakaaminishana awareness kuhusu hili igizo ni kubwa US .

Mfumo wetu wa elimu ni dezo kwa wanasiasa ndio maana hata jana kawaambia watu mafuta ni bei chini US kuliko Tanzania , ajabu ni kuwa kuna wajinga kibao aliwachota wakamuamini.
 
Watu wanafikiri US ni kama kakijiji watu na watu wengi eti walihudhuria huo uzinduzi na chawa wa huyu bibi wakaaminishana awareness kuhusu hili igizo ni kubwa US .

Mfumo wetu wa elimu ni dezo kwa wanasiasa ndio maana hata jana kawaambia watu mafuta ni bei chini US kuliko Tanzania , ajabu ni kuwa kuna wajinga kibao aliwachota wakamuamini.
Hapo na mm ndio niliona tatizo, Hakuna mtu yoyote influential kutoka US aliyehudhuria. Zaidi wengi walitoka huku
 
Hello Pirraaaaaa,
Yeah me tooooo.

Mama yenu ana vituko [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji3] clip yake ninayo
"Hey mommy come here"

"Ooooh yess am comin"

Jaman sichoki kutazama, huku wakishikana mikono. Mweeeh
 
Halafu mimi nina mashaka sana mama alikuwa anafanya nini vichakani na yule mzungu Peter Greenberg sijui Greenbird?

Wakatokomea machakani kule wanatuzuga wako kwenye royal tour kumbeeee....

Mhhh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama upepo ulivyo, habari za Royal Tour zishaanza kupita.

Watanzania tushahamia kwenye habari za Lengai Sabaya.

Toka mwanzo, mimi nilikuwa na shaka sana juu ya hiyo filamu.

Kama lengo lake lilikuwa ni kuitangaza Tanzania, mbona wahusika wake hawajafanya yale yanayopaswa kufanywa ili kuitangaza filamu hiyo pamoja na Tanzania?

1. Kwa nini Hangaya na waigizaji wenzake hawajaenda na kwenye nchi zingine? Kwa nini wameenda Marekani tu?

2. Na huko Marekani walikoenda, ni nani hasa mwenye habari na hiyo filamu?

3. Matangazo ya hiyo filamu yako wapi? Sasa hivi kuna playoffs za ligi mbili kubwa, NBA na NHL, mbona matangazo ya hiyo filamu hayapo kwenye chaneli za TNT, TBS, ABC, wala ESPN?

Michezo hii ya playoffs huangaliwa na watu wengi sana. Hapo ndo ilikuwa pazuri pa kuitangaza Tanzania na vivutio vyake.

Lakini hamna kitu. Sasa Mmarekani atajuaje kuhusu hiyo filamu?

4. Hiyo filamu ina kipi kipya ambacho hakijulikani kuhusu Tanzania hadi kumshawishi Mmarekani aje?

Documentaries zote kuhusu vivutio vya Tanzania ambazo zimewahi kuonyeshwa na PBS, National Geographic, A&E, YouTube, n.k., zina tofauti gani na Royal Tour?

5. Hii Royal Tour sidhani kama italeta chochote kipya na zaidi. Watu wamepata tu fursa ya kupiga hela.

Na kama ilivyo jadi yetu Watanzania, tushaanza kuisahau na ndani ya muda mfupi tutaisahau kabisa na hakuna hata mmoja wetu atayekuja kuuliza mafanikio yake huko mbeleni.

6. Ni nani atayekuja kumhoji Samia juu ya mafanikio ya hiyo filamu ifikapo 2024, kwa mfano?

Sisi ni watu wa ajabu kweli.
Tz inaendeshwa na matukio, Sasa hivi tupo na rufaa ya Sabaya kwanza.
Nguruvi3
JokaKuu
Yoda
Matola
Bulesi mfianchi HARUFU Gagnija wa kupuliza black sniper Imeloa
 
Royal tour isingefanyika NY&LA(US) badala yake ingefanyika Moscow na Gronzy (Russia) kipindi hiki ingemake headlines duniani kote!!!
 
Back
Top Bottom