Royal Tour pamoja na kutumia mabilioni ya pesa haikumulika utalii wa mali kale na historia

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Nchi kama misri na Southa Afrivca zina pata pesa nyingi kupitia utalii wa mali kale historia.

Angalia senema ya Royal tour haijakuwa na nia tjabiti kupromote utalii bali usanii wa kutafuna pesa za wananchi.

Inaonyesha viongozi wanavua samaki na wachimba migodi wanazama mgodini for what?

Mtalii gani hajui habari za mlima kilimanjaro na wanyama wa Serengeti.

Kwa nini msiandae makala maalumu ajili ya utalii wa mali kale na historia?

Au ndio kutwanga watu na vyuma vizito bila huruma?
👇
Tanzania inavyopoteza mapato utalii wa malikale, historia Tanzania inavyopoteza mapato utalii wa malikale, historia
 
UNAUMIA UKIWA WAPI MKUU NA ULICHANGIA SHILINGI NGAPI KWANI?
 
Nguvu nyingi mno zimetumika kwa jambo ambalo mtu mmoja tu angeweza kulifanya kwa ufanisi na likafanikiwa.
 
Royal tour imekuja ku boost utaliii kwa 60% watalii wengi walianza kukimbilia kenya kutokana na misururu ya kodi za hotel zilizoongezeka ki holela, baada ya Royal tour watalii wameanźa kurudi wote ..Mama ameupiga mwingi na anaendelea kuhupiga mwingi mnaoendelea kuteseka endeleeni...Viva samia..
Kwenye zile kodi 52 zimefutwa ngapi?
 
Back
Top Bottom