Royal Tour pamoja na kutumia mabilioni ya pesa haikumulika utalii wa mali kale na historia

Royal Tour pamoja na kutumia mabilioni ya pesa haikumulika utalii wa mali kale na historia

Huko tumeshatoka..., Sasa hivi tunaangalia Tuzo, ya kesho tutayajua kesho...
 
Royal tour imekuja ku boost utaliii kwa 60% watalii wengi walianza kukimbilia kenya kutokana na misururu ya kodi za hotel zilizoongezeka ki holela, baada ya Royal tour watalii wameanźa kurudi wote ..Mama ameupiga mwingi na anaendelea kuhupiga mwingi mnaoendelea kuteseka endeleeni...Viva samia..
Royal tour imepunguza kodi ama imefanya nini maana umesema walikimbia misururu ya kodi fafanua kidogo mkuu.
 
Back
Top Bottom