Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mkuu hapaswi kudanganyikaIlikuwa ni kazi ya wizara ya utalii Lakini ikawa ndio hivyo tena... Mkuu mwenyewe akaenda front line...!
UNAUMIA UKIWA WAPI MKUU NA ULICHANGIA SHILINGI NGAPI KWANI?Nchi kama misri na Southa Afrivca zina pata pesa nyingi kupitia utalii wa mali kale historia.
Angalia senema ya Royal tour haijakuwa na nia tjabiti kupromote utalii bali usanii wa kutafuna pesa za wananchi.
Inaonyesha viongozi wanavua samaki na wachimba migodi wanazama mgodini for what?
Mtalii gani hajui habari za mlima kilimanjaro na wanyama wa Serengeti.
Kwa nini msiandae makala maalumu ajili ya utalii wa mali kale na historia?
Au ndio kutwanga watu na vyuma vizito bila huruma?
👇
Tanzania inavyopoteza mapato utalii wa malikale, historia Tanzania inavyopoteza mapato utalii wa malikale, historia
Matumizi mabaya ya pesa ya walipa kodiIlikuwa ni kazi ya wizara ya utalii Lakini ikawa ndio hivyo tena... Mkuu mwenyewe akaenda front line...!
Walimuwahi.. [emoji23]Mkuu hapaswi kudanganyika
Lack of senseUNAUMIA UKIWA WAPI MKUU NA ULICHANGIA SHILINGI NGAPI KWANI?
UNAUMIA NA VITU HUJAVIGARAMIA KWELI? HUNA KAZI YA KUFANYALack of sense
Kwenye zile kodi 52 zimefutwa ngapi?Royal tour imekuja ku boost utaliii kwa 60% watalii wengi walianza kukimbilia kenya kutokana na misururu ya kodi za hotel zilizoongezeka ki holela, baada ya Royal tour watalii wameanźa kurudi wote ..Mama ameupiga mwingi na anaendelea kuhupiga mwingi mnaoendelea kuteseka endeleeni...Viva samia..
wataalamu wameshaanza kuzifanyia kazi kodi zote ambazo zilikuwa ndio chanzo cha kuanza kupoteza watalii wetuKwenye zile kodi 52 zimefutwa ngapi?
Mleta mada anaishi na maumivu ya moyo, hakuna wa kumsaidia.wataalamu wameshaanza kuzifanyia kazi kodi zote ambazo zilikuwa ndio chanzo cha kuanza kupoteza watalii wetu
karibia 25% ya zile kodi 52 tayari zimeshapunguzwa na zitaendelea kupungua kadiri siku zinavyoenda baada ya wataalamu kuzichanganuaKwenye zile kodi 52 zimefutwa ngapi?
Kukosa elimu ni janga la dunia na hasara kubwa sana.UNAUMIA NA VITU HUJAVIGARAMIA KWELI? HUNA KAZI YA KUFANYA
Jibu swali. Hoja sio kodi kufutwa. Hoja ni promotion kutangaza utalii jikite kwenye mada.wataalamu wameshaanza kuzifanyia kazi kodi zote ambazo zilikuwa ndio chanzo cha kuanza kupoteza watalii wetu