Royal Tour: Rais Samia asimama Jimbo la Kawe na kusikiliza wananchi kupitia Mbunge wao, Askofu Gwajima

Kuna baadhi ya mambo yanafikirisha sana awamu hii. Sasa kama Raisi anazunguka kupiga picha za utalii, Waziri wa maliasili anafanya nini?
Hili linadhihirisha kuwa kuna driving force nyuma ya tunaemuona raisi, kwa maana ana Job Description katengenezewa na kuna anao report kwao na kumwambia cha kufanya. In other words yeye ni sura tu ya uraisi.
Sikuwahi mpenda Magufuli mpaka anakufa ila Magufuli alikuwa shujaa katika kusimama na maamuzi na kujua hasa nguvu yake kama raisi. Mpaka 2025 ambapo nina hakika ndio ukomo wa mtangaza utalii, tutaona mengi sana
 
mkuu usijihangaishe. ni ishara ya kukwepa majukumu mazito, na ni wazi anakimbilia mambo mepesi mepesi.
 
Huu ndo ukweli hata Kama hawaupendi, huwezi jitenga na falsafa za Jiwe ukatoboa mfano no kwenye hi issue ya chanjo.
 
Issue siyo tozo issue ni matumizi makubwa ya serikali bila sababu za msingi
Na hili huwasikii wakiligusia, ni matumizi ya ma viieite kwa kwenda mbele kwa waheshimiwa wateuliwa.........bajeti ya matumizi ya kawaida 80%, bajeti ya maendeleo 20% eti utarajie maendeleo, hapo ndo umbumbu wa ngozi nyeusi ulipo na bila shaka wazungu wanatuona vima......
 
Issue siyo tozo issue ni matumizi makubwa ya serikali bila sababu za msingi
Ni kweli na pia uchepushaji/rushwa. Inabidi alikemee na hilo. Pia amtaje Mungu kuwa ndiye muweza wa yote. Ajikite kuwa mtoa matumaini maana watanzania wanahitaji kiongozi anayebeba maono. Mama anafaa sana kuendelea kwa jinsi nilivyomsikiliza leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…