Usiamini Sana inawezekana ni picha ya nje tu kumbe ndani mtima nyongo.🤣🤣🤣🤣Mpaka sasa hiyo timu ambayo Ndugai aliiunda imtukane Gwajiboy inajuta. Mama kaonesha yupo na Gwajiboy, Sirro na PCCB hawajamkamata Gwajiboy. In short kila anayepinga mawazo na fikra za Dkt Magufuli atafeli vibaya mno. Ili Mama aweze kushinda 2025 abebe maono ya Dkt Magufuli. Mfano leo kagusia misaada ni mibaya.
Magu alimwaga upupu mbaya sana, wananchi walimuelewa. Ukienda tofauti nae unakwamaHuu ndo ukweli hata Kama hawaupendi, huwezi jitenga na falsafa za Jiwe ukatoboa mfano no kwenye hi issue ya chanjo.
Kwa akili yako!?Aisee kwa hiyo alikuwa Mungu
Nani?Aisee kwa hiyo alikuwa Mungu
Ukienda tofauti lazima upotee.Magu alimwaga upupu mbaya sana......
wananchi walimuelewa......
ukienda tofauti nae unakwama
Huyu mama huyumkuu usijihangaishe. ni ishara ya kukwepa majukumu mazito, na ni wazi anakimbilia mambo mepesi mepesi.
Checki Gwajima alivyoshangiliwa na wananchi alipoitwa na Raisi aongeeWeka kavideo bana
Nakazia ...KUMMKEEKwahiyo Mama ni dhahiri kuishi Dodoma hawezi...
Sasa lile liikulu Dodoma La nini. !!!! lingejenga madarasa mangapi!!?
Hivi ku run two state house in a year.. Ni vyumba vingapi vya madarasa..!!?
Nchi hii kmmmk..!!!
Taasisi ni watu sio hewa!!!SIKU HIZI UMEISHIWA SANA MKUU MWANZO BADALA MSAPOTI SERIKALI MLIKUWA MNASAPOTI MTU MKASAHAU SERIKALI ILIPASWA KUWA TAASISI NA SIO MTU
NyaniNani?
Tukio liko mubashara ITV
Rais Samia akiwa na mbunge wa Kawe wanahutubia wananchi wa jimbo la Kawe eneo la Tegeta manispaa ya Kinondoni.
Kwa sasa askofu Gwajima amepanda kwenye gari ya Ikulu na anatoa salamu za shukrani kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi.
Gwajima anasema wananchi wa Kawe siyo tu Wanampenda mama Samia bali wana mahaba naye.
Helicopter za polisi zinavinjari juu ya anga kuulinda mkutano huu mtakatifu.
Rais Samia amewataka wananchi waendelee kulipa kodi kwani kodi ni kwa maendeleo ya taifa.
Rais Samia amesema anaelekea Bagamoyo katika mtiririko wa uchukuaji picha ya filamu ya vivutio vya utalii wa Tanzania itakayozinduliwa nchini Marekani na kuonyeshwa dunia nzima.
Karibu
Hahahaaaa....... Kama namuona Kingu wa Singida!Checki Gwajima alivyoshangiliwa na wananchi alipoitwa na Raisi aongee