OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wafuasi wa Upinzani Ndo mana kila siku mnazidi kudharaulika.Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa?
Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha kupiga kodi za wananchi. Rais asituambie tu anafanya tour, atuambie bajeti ya tour ni pesa ngapi anategemea mapato/impacts ya kiasi gani kutokana na tour yake.
Kingine ni bunge lipi limepitisha matumizi ya hii tour, maana wakati wa bunge hatukusikia, tunakuja kusikia tu kama jambo la dharura? Tour ni dharura?
Walipa kodi tunahitaji kujua
Fedha za Sekta binafsi ndizo zinaendesha mipango ya maendeleo kwa TZ, Je ni mikopo au ni misaada? Kama kutakuwa na mafanikio serikali itapata mapato zaidi, je hao sekta binafsi watafaidikaje, sababu wametoa pesa zao + wanaendelea kulipa kodi.Jibu la Maswali uliyouliza hapa ni kuwa siku Rais ametangaza kufanyika kwa hii program takribani miezi 3 au 4 iliyopita alisema wazi kuwa program hii haitatumia fedha za Serikali bali michango kutoka sekta binafsi.
Mama anawakomesha mataga na sukuma gang ee?Tozo inatoa hela ya bure ya kula Bata. Mama wa kambo inabidi atafute njia za kuipiga.
No! anayo hoja ya msingi, wachangiaji toka secta binafsi ni kina nani? Wako wangapi? Wametoa kiasi gani? Wananufaikaje?Wafuasi wa Upinzani Ndo mana kila siku mnazidi kudharaulika.
Nimegundua wengi hamfuatilii mambo ya nchi yenu ila ndo wa kwanza kuja kulalamika mitandaoni.
Jibu la Maswali uliyouliza hapa ni kuwa siku Rais ametangaza kufanyika kwa hii program takribani miezi 3 au 4 iliyopita alisema wazi kuwa program hii haitatumia fedha za Serikali bali michango kutoka sekta binafsi.
Unavyosema Leo kuwa Bunge halikuwai kupitisha fedha za program hii unaonesha ni kwa jinsi gani sio tu hufuatilii mambo ya nchi yako bali wewe ni kilaza ulietukuka
Huyu Dogo anajifanya mjuaji hawezi kujibu hizo hoja zakoFedha za Sekta binafsi ndizo zinaendesha mipango ya maendeleo kwa TZ, Je ni mikopo au ni misaada? Kama kutakuwa na mafanikio serikali itapata mapato zaidi, je hao sekta binafsi watafaidikaje, sababu wametoa pesa zao + wanaendelea kulipa kodi.
Mama anawakomesha mataga na sukuma gang ee?
Huwezi kukwepa! Huo usumbufu unaosababisha utukie njia mbadala ndio chamoto checheweKwani anamkomesha nani, maana mimi situmi hela kwa miamala ya simu.
Kuna sheria inamtaka Rais kutaja watu anaowaomba wachangie shughuli fulani na kiasi walichotoa?No! anayo hoja ya msingi, wachangiaji toka secta binafsi ni kina nani? Wako wangapi? Wametoa kiasi gani? Wananufaikaje?
Isijekuwa Raisi wetu anafadhiliwa na hela chafu ikapelekea kuweka mfukoni na hao sponsors?
Haya matundu yameenda kujenga vituo vya afya 255, endeleeni kujaza tukajenge madarasa 500..........msichoke ndugu zanguni.Tozo za wanyonge zinavuja!πππ
View attachment 1925943