Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Umeona wapi hayo yakifanyika? Serikali kuweka orodha ya wachangiaji na michango waliyochanga?Unaiamini hii Serikali iliyojaa waongo? Waweke hadharani majina ya hao wa sekta binafsi na kiasi kilichochangwa na kila mmoja ná gharama halisi za huu upuuzi? Unapromote utalii wakati dunia nzima imekumbwa na COVID-19 na nchi inaficha idadi ya new cases na vifo vya kila siku. Wa KUDEMKA KAKURUPUKA!!!
Nani kakwambia Hakuna watalii wanaotembea kipindi hiki? Tafuta mtu anayefanya kazi viwanja vya Zanzibar na KIA muulize hali ilikuwaje mwezi uliopita? Watalii wapo na wanatembea Kama kawa!
Alafu kwa akili zako Nani kakwambia program hii inalenga soko la utalii kwa sasa tu?? Program hii imelenga soko kubwa miaka ijayo, sio kiutalii tu Ila hata Kwa bidhaa zinazotengenezwa Tanzania na uwekezaji kwa hapa Tanzania