Royal Tour: Serikali itoe mchanganuo wa gharama

Umeona wapi hayo yakifanyika? Serikali kuweka orodha ya wachangiaji na michango waliyochanga?

Nani kakwambia Hakuna watalii wanaotembea kipindi hiki? Tafuta mtu anayefanya kazi viwanja vya Zanzibar na KIA muulize hali ilikuwaje mwezi uliopita? Watalii wapo na wanatembea Kama kawa!

Alafu kwa akili zako Nani kakwambia program hii inalenga soko la utalii kwa sasa tu?? Program hii imelenga soko kubwa miaka ijayo, sio kiutalii tu Ila hata Kwa bidhaa zinazotengenezwa Tanzania na uwekezaji kwa hapa Tanzania
 
Sie wazalendo wachache tumefadhili iyo program kwa kupenda sir wenye
 
Kwa sababu ni Serikali ya majizi. Serikali ambayo inajali utawala wa sheria utawala bora haiwezi kuogopa kuwa Transparent kwa lolote lile.
Kwa ufinyu wa akili zako matunda ya huu upuuzi tunatakiwa kusubiri miaka chungu nzima ijayo baada ya corona kutoweka duniani. Utumie billions leo hii na hujui faida zake utaziona lini. Nchi hii imejaa Wapumbavu kweli!!
 

Siasa safi za kupora uchaguzi, kudhulumu Wakulima , Wafanyabishara na Wafanyakazi kubambikia kesi wapinzani kwa ushahidi FEKI, kuminya uhuru, haki na usawa wa raia vyombo vya habari, raia na vyama vya siasa.


 
Ebu tutajie hizi taasisi binafsi zinazogharamikia huo upuuzi. Husisahau pia kututajia na mchanganuo wa pesa zilizochangwa. Nchi ni yetu sote, ngonjera za nini? This is not a private agenda....kima wewe!
 
Wafuasi wa Upinzani Ndo mana kila siku mnazidi kudharaulika.

Nimegundua wengi hamfuatilii mambo ya nchi yenu
program hii haitatumia fedha za Serikali bali michango kutoka sekta binafsi.
unaonesha ni kwa jinsi gani sio tu hufuatilii mambo ya nchi yako bali wewe ni kilaza ulietukuka
Katika kuweka uwazi, hiyo miezi yote kama kulifanyika harambee au kutembeza bakuli, huoni sababu ya kutangazwa kwa mapato yote yaliyokusanywa kwa shughuli hiyo, pengine na wachangiaji kutajwa pamoja na viasi walivyotoa ili na sisi tuwajue wazalendo wetu hao?

Au hizo private sector ndo hizo zilizotupandisha bei na kutuongezea tozo?
 
Nikimuona juzi akielekea bagamoyo na msafara wa magari zaidi ya mia. Huyu mama hana mvuto na weledi wa kuvuta watalii
 
U
Ebu tutajie hizi taasisi binafsi zinazogharamikia huo upuuzi. Husisahau pia kututajia na mchanganuo wa pesa zilizochangwa. Nchi ni yetu sote, ngonjera za nini? This is not a private agenda....kima wewe!
tajiwe umechangia?
 
Kwa hiyo zikiwa fedha za Sekta binafsi ndo kiasi chake kisijulikane? Tena hizi ndo lazima kujulikana maana isije ikawa Shughuli za Rais zinafadhiliwa na fedha za bangi/sembe
Uzijue ili iweje?
 
Kwa taarifa nilizo nazo (sijazithibitisha bado), ni kuwa, nje ya bajeti ya Ikulu inayojulikana na Samia mwenyewe, Utalii huu umebomoa mifuko ya Taasisi na Mashirika ya Umma....yapo yaliyochanga hadi Sh. Milioni 400 kurekodi Movie hii ya Samia
Kwa kutunga uongo tu hamjambo!
 
Utangaziwe ili iweje? Umechangia?
 
Nilitegemea wangeanza kwanza na mipango madhubuti yakuiwezesha hiyo wizara inayoshughulika na utalii ifanye kazi kwa weledi.Tanzania inachokosa sio wingi wa vivutio au kutokufahamika kwa vivutio ila tunakosa mipango thabiti na ubora wa shughuli zakitalii na huduma pamoja na taratibu nzima kwenye sekta ya utalii kwa ujumla.Ata kwenye sekta zingine kinachotukwamisha ni kukosekana kwa weledi. Kwa hili linavyoondeshwa usishangae uko mbele ukaja kusikia hiyo ziara haikua na tija yoyote tarajiwa.
 
jumong alivosema yeye na magufuli ni sawa basi anajikuta kweli nae ni magufuli 🤣
 
Nakumbuka ziara za Hamisi kuutangaza Mlima Kilimanjaro akiwa na masupa staa wa bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…