Royal Tour: Serikali itoe mchanganuo wa gharama

Ikitoa mchanganuo Ili iwaje? Umewahi pewa lini mchanganuo wa gharama za Ziara za Rais ? Acha ujinga.
 
Tunakusanya kwa jasho watu wanakula kiulaini tu bila jasho [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Royal Tour imekua Photo shop Tour.
Kwa picha hizi wanazotumia ni wazi TZ tumepigwa tena


Wadau wa kimataifa wanatucheka


Taifa linazalilika
 
 
Kwa taarifa nilizo nazo (sijazithibitisha bado), ni kuwa, nje ya bajeti ya Ikulu inayojulikana na Samia mwenyewe, Utalii huu umebomoa mifuko ya Taasisi na Mashirika ya Umma....yapo yaliyochanga hadi Sh. Milioni 400 kurekodi Movie hii ya Samia
Aisee
 

Hivi ile miradi ya chato tulijua gharama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…