Royal Tour ya Rais Samia Yapaisha Utalii wa Tanzania Hadi Namba 5 Afrika.Watalii Zaidi ya Milioni 5.5 Watembelea Tanzania 2024.

Royal Tour ya Rais Samia Yapaisha Utalii wa Tanzania Hadi Namba 5 Afrika.Watalii Zaidi ya Milioni 5.5 Watembelea Tanzania 2024.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Tanzania imeshika namba 5 Kwa Utalii Afrika mwaka 2024 kutoka namba 7 mwaka 2023.

Mafanikio haya yametokana na juhudi za Serikali ya Samia kutangaza Utalii Kwa njia mbalimbali lakini njia mojawapo ni Filamu za Royal tour sanjali na Amazing Tanzania alizorekodi.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFhajv-N47p/?igsh=dDV4YjEzM2lxMWV6

My Take
Wale waliobeza Sasa wanaona aibu.

View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1896283186604179543?t=QhMtz4harL55vMWr5KyaNQ&s=19

Nawakumbusha tuu hakuna kitu ambacho Samia amewahi kigusa kikafeli,ana nyota Kali sana.

View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1896282573523083712?t=xFN9vbhu41Y9a0UdpAqD4A&s=19

Pia soma hapa Tanzania yavunja rekodi ya kuvutia watalii milioni 5 mwaka 2024. Huu ni ushindi mwingine wa kwa Sera ya kufungua nchi

View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1775548980346204221?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1775548980346204221%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
 
Tanzania imeshika namba 5 Kwa Utalii Afrika mwaka 2024 kutoka namba 7 mwaka 2023.

Mafanikio haya yametokana na juhudi za Serikali ya Samia kutangaza Utalii Kwa njia mbalimbali lakini njia mojawapo ni Filamu za Royal tour sanjali na Amazing Tanzania alizorekodi.👇👇

View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1896195836863717499?t=ghYFsNu2_A4TFuFfCY3W7A&s=19

My Take
Wale waliobeza Sasa wanaona aibu.

Nawakumbusha tuu hakuna kitu ambacho Samia amewahi kigusa kikafeli,ana nyota Kali sana .

View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1896195836863717499?t=ghYFsNu2_A4TFuFfCY3W7A&s=19

Hao Morocco wana mbinu gani zinazovutia watalii wengi hivyo au vivutio gani wanavyoo?
 
Hao Morocco wana mbinu gani zinazovutia watalii wengi hivyo au vivutio gani wanavyoo?
Utalii wa kuangalia kenge ulishapitwa n wakati 😁😁

Wako jirani na Nchi Zinazoongoza Kwa Utalii Duniani yaani France na Spain sanjali na zingine zote za mediteranian sea so Wana take advantage ya hiyo.

Ishu kubwa ni stunning beaches,Utalii Tiba na mambo ya kale.
 
Huwa mnaandika tu kama mahayawani. Kama kila siku unaandika threads kusifia kukuwa kwa hiki na kile inakuwaje tunazidi kukopa?

Inakuwaje deni la taifa linazidi kukuwa badala ya kupungua?

Uwe unatumia akili sio mafiii
 
Wewe si ndiye unayesema utalii wa wanyama hauna mvuto?
Kwani unadhani hapo ni Utalii wa wanyama tuu,? Unaijuaafia? Kwa Sasa Kuna Utalii mkubwa sana wa cruise ships

Pia unaijua Zanzibar vizuri?
 
Huwa mnaandika tu kama mahayawani. Kama kila siku unaandika threads kusifia kukuwa kwa hiki na kile inakuwaje tunazidi kukopa?

Inakuwaje deni la taifa linazidi kukuwa badala ya kupungua?

Uwe unatumia akili sio mafiii
Inahusianaje na mada? Mbona hujauliza inakuaje maendeleo yanazisi kukimbia?
 
Ila wewe jamaa bhana yaan msukuma katoka zake geita kaenda visiwa vya sanane yeye na familia yake huyo naye ni mtalii

Machinga naye kaenda zake yale makumbusho ya taifa pale posta huyo naye ni mtalii?
Mtalii anatakiwa awe kabila gani na aende wapi?

Nyumbu grow up n tafuta maarifa ujielimishe.

Kama huna data na huna akili usije kujadiliana na Mimi.
 
Tupe ushahidi pasi na shaka kuwa hayo ni matokeo ya filamu ya Samia
Ushahidi ni namba za kazi ya Samia.Wewe hater unataka namba gani?

Kila sekta aliyogusa Samia imeleta matokeo makubwa sana no way out lazima kukubali
 
Ushahidi ni namba za kazi ya Samia.Wewe hater unataka namba gani?

Kila sekta aliyogusa Samia imeleta matokeo makubwa sana no way out lazima kukubali

Weka ushahidi sasa,Kwamba Filamu imeleta hiki,Unachokizungumzia,
 
Weka ushahidi sasa,Kwamba Filamu imeleta hiki,Unachokizungumzia,
Hizo namba za Utalii ni nini kama sio ushahidi?

Je unajua kwamba Serikali iliweka target ya kufikia watalii 5mln by 2025 na Mapato $3.5bln?

Baada ya hizo target ndio mama akaingia mzigoni .

Target ya Watalii imefika ila Fedha zomefikia $3bln
 
Back
Top Bottom