RPC aliyetamani cheo cha IGP huenda kuna kitu kakiona kuwa hakipo sawa

Tamaa mbaya, wenzake wanafanya kimya kimya Mambo Yao na yanaenda
 
Tuache utani,Polisi kuna jambo kubwa.
Kama chama tulizoea kuwaagiza washughulikieni wapinzani mda si mrefu yatasemwa yote hadi majimboni namna kura zilivyoibwa.
 
Nina wasiwasi kama sio mtego wa IGP.
Siamini kama afisa mkubwa wa polisi tena ACP hajui taratibu za polisi.
Hata mm nimeshangaa sana....hata alipohojiwa tena akarudia yale yale
 
Pamoja na madhambi yote ya jeshi letu la polisi, ukweli unabaki pale pale; jeshi lolote bila nidhamu ndani yake, linakuwa ni kikundi cha wahuni. Jamaa kakosea, wacha aione joto ya jiwe.
 
Yule mtu siyo serious. Yaani IGP huyu ametoka (Wilaya ya) Butiama. Na anayefuatia pia atoke Mara?
 
Huyu kamanda yuko organized na amejipanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…